Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Salamu kwenu wana jukwaa. Hivi karibuni kumeshuhidiwa majanga ya mafuriko au mvua zinazoambatana na upepo mkali ambazo zilipelekea maafa kwa jamii husika. Na wakati yalipotokea maafa hayo...
2 Reactions
1 Replies
245 Views
Habari za muda huu wakuu. Naomba kuuliza, je, huduma za usajili kama cheti cha kuzaliwa mtandaoni, TIN online, BRELA na nyinginezo—ni lazima upate msaada kutoka kwa wahusika, au ni suala la kuwa...
0 Reactions
0 Replies
298 Views
Habari wanaJF . Kiufupi Mimi Baba wa watoto watatu ambao wote ni wa kike. Naishi nao pamoja na Mama yao . Tumefanikiwa kuishi miaka 12 mpaka sasa katika ndoa yetu. Changamoto kubwa ambayo...
44 Reactions
297 Replies
10K Views
Wale waliokuwa wakitetea kuwa DP World wakija hawatapunguza watu kazi njooni hapa mtueleze. Jamaa ndio wameishauziwa taratibu wanaanza kuondoa watu. Kiko wapi? --- Tarehe 22 Oktoba, 2023 Mamlaka...
11 Reactions
128 Replies
11K Views
Watu kadhaa wanahofiwa kufariki dunia huku wengine wakijeruhiwa baada ya Lori kufeli breki na kugonga Magari madogo mawili, katika mteremko wa Inyala mkoani Mbeya. Endelea kutufuatilia kwa...
10 Reactions
313 Replies
30K Views
Tujifunze kupitia nyakati tofauti zilizopita, walikuwepo watu wenye nguvu sana hapo zamani lakini mwisho wao ulikuwa ni mbaya sana Wapo waliojifanya Wana nguvu na wengine madikteta uchwara lakini...
5 Reactions
13 Replies
676 Views
Mkuu wa Shule ya Msingi Nakayaya iliyopo TUNDURU MKOA WA RUVUMA asimamishwa kuwa Mkuu wa shule hiyo bila sababu yoyote ya Msingi. Inaelezwa kuwa migogoro binafsi baina yake na Mwenyekiti wa...
1 Reactions
36 Replies
2K Views
Huyo dogo mwenye asili ya Marekani na Congo kwa kushirikiana na baba yake walijaribu kufanya coup ila ilishindikana kupelekea baba kuuawa na yeye kukamatwa akiwa katika harakati za kutoroka.
2 Reactions
4 Replies
387 Views
Sina mengi video inajionyesha japo zipo nyingine sijapenda kuziweka hapa.
3 Reactions
31 Replies
1K Views
Leo nimeboeka nikasema niende Temeke nikatembee mida ya sa5 usiku, kuna bar nikaingia nikawa nakunywa wine palikua panapigwa miziki ya bongo flava, lakini ilivyofika saa 6 usiku wakaingia VIJANA...
74 Reactions
275 Replies
23K Views
Kiufupi maisha ya Dar sio poa ila Dar ndio mji wa maajabu zaidi duniani kwanini nasema hivi ? Utakuta kijana hana kazi hana chanzo cha mapato chochote ila ana smartphone ya gharama anakula...
6 Reactions
41 Replies
13K Views
Saudi Arabia ni nchi ambayo inaongozwa kwa sheria ya dini ya Kiislamu yaani Sharia. Tena ukiwa Saudi Arabia ni kosa kubwa kuishi na mwanamke ambaye haujamuoa. Lakini Cristiano Ronaldo anaishi...
2 Reactions
8 Replies
765 Views
Chama cha Kutetea Haki na Maslahi ya Walimu Tanzania (CHAKAMWATA), kimetangaza kutua mahakamani kuzishtaki Halmashauri mbalimbali nchini kwa madai ya kushindwa kulipa stahiki za walimu zaidi ya...
2 Reactions
3 Replies
987 Views
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akitoa hotuba ya Bajeti ya Ofisi ya Waziri mkuu na Bunge 2025/2026 "Serikali imeendelea kubuni na kutekeleza mikakati mbalimbali ya kuzalisha fursa za ajira nchini...
1 Reactions
1 Replies
338 Views
Mkuu wa Wilaya ya Songea Wilman Kapenjama Ndile amemshauri msajili wa vyama vya wafanyakazi Tanzania kutathmini upya demokrasia ya uwanzishwaji wa vyama vingi vya wafanyakazi kwa kada moja...
0 Reactions
11 Replies
749 Views
Hali ya uchafu imeendelea kutisha katika maeneo mbalimbali ya Manispaa ya Moshi, ikiwa ni pamoja na stand kuu ya mabasi, kituo cha afya Mbuyuni, soko la Mbuyuni, kata ya Kiborloni, Njoro, Pasua...
1 Reactions
3 Replies
399 Views
Mataifa ya afrika ni wakati wetu wa kuamka na kupigana hii vita ya tatu ya dunia iliyobadilishwa upepo na kugeukia kwenye vita ya kiuchumi. Waafrika hii vita ni yetu na tukicheza vizuri hakika...
1 Reactions
3 Replies
365 Views
Je kuna ukweli kwenye hili analoelezea huyu Moran? Msikilize kwa makini https://www.facebook.com/reel/910568581022962
0 Reactions
3 Replies
477 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…