Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Habari za muda huu wadau. Yoyote ambaye amezaliwa tarehe na mwezi kama wa Leo 11 April, wa jinsia yote kama anaishi Dar es salaam na maeneo jirani natamani nipate partner wa ku share nae siku hii...
2 Reactions
9 Replies
528 Views
😁 Hili li nchi ni kichekesho , yaan kuitamaza Tanzania wakati ukiwa unaishi taifa lingine , nikama umepata ofa ya kutizama stand-up comedy Bure. Siasa za kipumbavu sana!
5 Reactions
57 Replies
2K Views
UNAWEZA UKAWA WIFE MATERIAL NA BADO DUNIA IKAWA KINYUME NA WEWE. NDOA IKAWA NGUMU KWAKO. FANYA HAYA. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Ni kweli wapo wife material ambao hawajaolewa na ambao...
3 Reactions
7 Replies
812 Views
Wiki hii Waziri wa Kilimo, Mhe. Hussein Bashe, alihutubia wajumbe wapya wa Bodi ya Chai inayoongozwa na Banker Abdulmajid Mussa Nsekela. Katika hotuba yake, Waziri Bashe alimwelekeza mwekezaji...
1 Reactions
8 Replies
887 Views
Anonymous
Kumekuwa na changamoto ya miundombinu hasa vyoo na madarasa hali inayosababisha Wanafunzi pamoja na Walimu kujisaidia vichakani, kwani vyoo vilivyopo vina hali mbaya sana, taarifa fiche kutoka kwa...
0 Reactions
17 Replies
1K Views
Moja ya darasa la Shule ya Msingi Tella iliyopo katika Wilaya ya Hai hapa Mkoani kwetu Kilimanjaro limeporomoka kutokana na uchakavu wa majengo hayo ya shule lakini hakuna msaada tunaoupata kutoka...
5 Reactions
19 Replies
2K Views
Wakazi wa kijiji cha Buzilasoga Wilayani Sengerema wametoa wito kwa serikali kuharakisha kubomoa madarasa mabovu katika shule ya msingi Buzilasoga ili kuepusha hatari inayoweza kuwakumba wanafunzi...
2 Reactions
5 Replies
464 Views
Kutokana na uhaba wa madarasa pamoja na madawati, Wanafunzi Shule ya Misingi Kitonga iliyopo katika Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam (Ilala) wamekuwa wakilazimika kwenda na viroba shuleni kwa...
2 Reactions
45 Replies
3K Views
Haji Manara pole sana ila kwa Tabia zako ambazo hata Nduguzo wanazichukia nilijua tu hutodumu kamwe na Zaylisa. Halafu naona kila kona Watu wanampongeza Mange Kimambi wakati GENTAMYCINE hapa hapa...
5 Reactions
24 Replies
1K Views
Wanabodi,Ukishangaa ya Musa utastaajabu ya Firauni,Nguvu iliyotumika kumkamata Tundu Lissu inashindwaje kuitoa pikipiki iliyopo kituo cha mabasi pale bondeni darajani upande wa kushoto ukiwa...
4 Reactions
38 Replies
3K Views
--- Hekima ya Siri Ndani Yetu Mafundisho haya yanafunua ukweli wa kina wa ki-esoteric: uchawi si nguvu ya nje, bali ni urithi uliofichwa ndani ya asili ya uhai. Kila nafsi hubeba uwezo wa...
2 Reactions
2 Replies
756 Views
Watu wamejazana kusachi mifukoni ili angalau watapata hela zilizosahaulika na wenye nguo wa awali. Kuna wafanyabiashara wa nguo za mitumba ambao huwa hawachambui kwanza mitumba yao, wao hufungua...
1 Reactions
5 Replies
470 Views
Je, China itaendelea kuhimili vizingiti vya kibiashara vya Marekani bila yuan kuporomoka? Au iko tayari 'kudhoofisha' sarafu yake kimkakati ili kuendelea kushindana? Vita vya kiuchumi si risasi...
1 Reactions
2 Replies
207 Views
Habari Wana JF, naomba kujuzwa kidogo kwa Wenye uelewa wa Sheria, Je Kuto kupiga kura ni Kosa kisheria, na kama nikosa adhabu zake ni zipi. Maana mi Binafsi naomba Kujua Hilo kwa Manufaa yangu na...
2 Reactions
23 Replies
970 Views
Aliyekuwa mtangazaji wa StarTv, Muhsin Mambo Alias MC Hammer afariki dunia siku ya leo tarehe 8 Februari nyumbani kwake nchini Marekani. Pia soma > Muhsin Mambo yuko wapi? Mwanahabari Mukhsin...
17 Reactions
199 Replies
79K Views
Siasa ni unafiki in general ila Siasa za kiafrika ni ushetani overall. Ushetani mtupu usiojali utu. Siasa ni mchezo in general ila siasa za kiafrika ni vita overall. Vita ya kulinda kiti hata...
1 Reactions
4 Replies
271 Views
UTIRIRISHAJI MAJITAKA POSTA WADHIBITIWA Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA) imedhibiti utiririshaji wa majitaka kwa uondoaji wa majitaka na taka ngumu zilizokuwa...
0 Reactions
0 Replies
287 Views
Na imani mnaendelea poa. Jana nilikuwa kijijini ndani ndani na kwa bahati mbaya katika hicho Kijiji mtandao wa HALOTEL, VODACOM kasi ya internet ipo chini sana. Sasa nikapata ushauri kwa Wadau...
2 Reactions
4 Replies
418 Views
Mtangazaji Fred Fidelis maarufu kwa jina la Fredwaa amefariki dunia leo tarehe 12 Juni, 2021 baada ya kupata ajali eneo la Kawe. Kwa wale wakongwe, utamkumbuka Fredwaa kwa lipi? ==== Dar es...
45 Reactions
361 Replies
75K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…