Mwenyekiti mpya wa Bodi ya Wakurugenzi ya Bodi ya Chai Tanzania (TBT) ambaye ni Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB pia, Abdulmajid Nsekela (wa pili kushoto) akipokea vitendea kazi vya majukumu...
Wiki hii nzima alikuwa anazurula tu hapa Kampala Uganda na baadae akaenda Gulu na muda si mchache kaonekana huko nchini Ethiopia na kote anapeleka tu Ujumbe Maalum wa Rais Samia.
Habarini wanaJamiiForums!
Kwa Dar es Salaam, ni maeneo yapi yanatoa huduma za kulipia za mafunzo ya karate kwa ajili ya kujihami?
Kijana wangu ana miaka 10 na ningependa apate japo abc's za...
Salaam Wakuu, natumai kaubaridi mwororo kawapapasa vyema huko mliko, twende kwenye mada.
Sehemu yoyote mjini inachukuliwa kama sehemu ya kutolea ushamba, kutokana na kupiga hatua kwenye mambo...
⚠️ 🎭`
WIZI MPYA
Kuna mbinu mpya ya matapeli wamekuja na kuwalaghai watu inaoitwa 'IMERUKA'.
Tapeli hukutumia pesa kwenye simu yako akitumia namba yake.
Hii si pesa fake, ni ya kweli kabisa...
Kwa heshima na uzito mkubwa wa kiakili na kijamii, natangaza kwa sauti ya wazi na isiyoyumba kuwa vijana wengi wa kizazi hiki wanapoteza dira, maadili na mwelekeo wa maisha. Tunaushuhudia ushindi...
Habari ya wakati huu
Nikiwa na akili zangu timamu miezi michache ijayo natimiza miaka 30 tangu nilipoletwa duniani na wazazi wangu.
Katika ukuaji wangu wote tangu nimezaliwa mpaka umri huu...
Mitandao hii inaweza kukufanya ukawa star kwa mambo ambayo hukutarajia au ulifanya makusudi ila iikaenda ndivyo sivyo, nafikir ameamua kujificha kuiepuka aibu
🤣habari za tajiri muulize masikini.
Utasikia:
"Oooh yani mwanaume mzima kama yule anatembela IST"
"Oooh ule ukuta hakupaswa kuufanyia vile skimming"
"Ooh yani jamaa ana hela ila mke wake...
Wadau hamjamboni nyote
Niwapongeze wenzetu kwa kuenzi na kutunza Mila na desturi zetu za kiafrika kupitia ngoma za jadi
Indlamu is a traditional Zulu dance from Southern Africa, synonymous...
👉Jina hili asili yake ni kutoka katika enzi za kukomesha uasi katika kanisa katoliki katika miaka ya 1100,: ambapo kwa kiimgereza nyakati hizo ziliitwa inquisition, pia ni wakati ambapo kulikuwa...
leo hii april mwaka 2025 huko somalia kuna maandamano makubwa, sababu shehe ameoa mtoto wa miaka nane na kuishi nae kinyumba kwa miezi sita.
wanaoandamana kupinga ni waislamu pia, ila shehe...
The hanged man Upright : pause, surrender, letting go, new perspective.
The Hanged Man reminds you that sometimes you have to put everything on hold before you can take the next step, or the...
Wanajamvi, naandika uzi huu nikiwa na hasira kali sana.
Mimi nina ka kabiashara kangu ambapo pia nimeweka uwakala wa Tigopesa na mitandao mingine. Mke wangu anasimamia hako ka biashara, hata...
Vodacom wamekuwa na makato yasiyoeleweka kwa mawakala wa mitandao ya kifedha hasa mkoa wa Mbeya, inapokaribia mwisho wa mwezi wanakata pesa kwenye faida ya wakala ambayo angeipata, ukiwapigia na...
.
👉Tuanze na Dini ni mfumo maalumu wa Imani ,ibada na maadili yanayofuatwa na wanachama wake.
Wakati👉 UKIROHO ni uzoefu wa mtu binafsi na uhusiano na Mungu ,ulimwengu wa roho au Hali ya juu ya...