Hivi kuna mradi wa serikali ulio chini ya bilioni moja?

Chick_tz

JF-Expert Member
Joined
Mar 2, 2025
Posts
2,447
Reaction score
3,302
Hii sijui serikali inafanya kuwa sifa maana sijawai ona mradi ulio chini ya bilioni moja hata uwe wa hovyo
 
Ipo mingi sana, ila sasa ukijumlisha 10% na za upigaji ndo zinazidi hiyo B ila za kiutendaji miradi ya chini ya B zipo.
 
Hii sijui serikali inafanya kuwa sifa maana sijawai ona mradi ulio chini ya bilioni moja hata uwe wa hovyo
Hata limwendokasi ni mabilioni lakini hamna kitu mradi unakufa kwa kuzidiwa na wateja, kwakweli Bongo tunweza kusifiana tu lakini nothing serious we can do.
 
Hata wale ATCL kazi kuambulia hasara na ndege zao zile
 
Hujaona kituo cha afya au zahanati zinajengwa kwa 500 milion achilia mbali shule za msingi.
 
Back
Top Bottom