Mkuu Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Zanzibar,Bi. Abeida Rashid Abdallah amesema,Tanzania kwa ujumla imejifunza mengi kutokana na Mradi wa Chaguo Langu Haki Yangu.
Mradi huo...
Kwa Jinsi mambo yalivyo, naimani ipo siku waha, wataanza kukopesha kila kitu
Maana Hawa jamaa wameshika hatamu uku mtaani kwa Biashara ya kukopesha.
Malipo Buku kwa siku.....
Zoezi hilo litafanyika katika ofisi za tume huru ya taifa ya uchaguzi kesho juma mosi tar.12.4.2025, huku ikisemekana kwamba G55 watashiriki zoezi hilo muhimu endapo hapatakuwepo na muwakilishi wa...
Waziri wa Posta na Mawasiliano wa Madagascar, Stéphanie Delmotte (katikati), akionesha mkataba wa dola za Marekani milioni 100 uliosainiwa kati ya Benki ya Uwekezaji ya Ulaya (EIB) na Axian...
Ufunuo imeandikwa mambo ya kutisha sana sana yani sana, mtumishi wa MUNGU Yohana nahisi hata yeye alitetemeka wakati anayaandika mambo hayo.
Panapotisha zaidi ni mapigo saba ya malaika saba wenye...
Cha kwanza usikubali mtoto wako mdogo awekwe katika mazingira kama ya hii video hapa chini. Hauwezi kuamini idadi ya comments chafu nilizoziona nilipotoa hii video.
pili, haijalishi udogo wa...
Kwa uchunguzi wangu wa haraka haraka nimegungua hilo.
Mchele au wali na ngano huwa vinatumika sana maeneo yenye Waislam wengi. Kwa Afrika, Kaskazini mwa Afrika mchele na Ngano huwa vinaliwa sana...
UPATIKANAJI WA MBOLEA UMEONGEZEKA
Hali ya upatikanaji wa mbolea nchini imeendelea kuimarika ambapo hadi kufikia tarehe 31 Januari, 2025 kulikuwa na jumla ya tani milioni 1.21 sawa na asilimia...
Zambia to start importing power from Tanzania
ZAMBIA will soon start importing electricity from Tanzania following the launch of the Zambia–Tanzania Interconnector this morning.
The project has...
Mkurugenzi wa Uchaguzi wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, Ndg. Kailima, R. K akifafanua jambo.
Na Mwandishi Wetu Dodoma.
Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, vyama vya siasa na Serikali kesho tarehe...
Wakuu
Mimi ni kijana wa miaka 24,nina ndoto ya kwenda burundi,nimefuatilia fursa nyingi za humu jukwaani kulihusu taifa hili zimenivutia mno
Naombeni mnipe utaratibu na jinsi gani naweza kufika...
Kosa kubwa kwa nchi za AFRIKA ni kudhani kwamba viongozi wa siasa na wa dini za kuja watawakomboa
Dini ya Magharibi haikuwahi kusudiwa kuokoa Waafrika bali kuwafanya Waafrika watumwa .
WAAFRIKA...
OMBI KWA RAIS NA WIZARA YA UTAMADUNI – ROYAL TOUR SEHEMU YA PILI
Napenda kutoa wazo la dhati kwa Mheshimiwa Rais na Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo kuhusu kuanzishwa kwa Royal Tour Sehemu...
Mkuu wa Operesheni Jeshi la Polisi Mkoa wa Mtwara, Emmanuel Garuyamoshi amefariki dunia Aprili 9,2025 akipatiwa matibabu katika Hospitali ya Misheni Ndanda.
Taarifa za kifo chake zimetolewa leo...
JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA
OFISI YA RAIS,
TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAA
HALMASHAURI YA MANISPAA YA UBUNGO
Tarehe: 11-04-2025
TANGAZO
MKURUGENZI WA HALMASHAURI YA MANISPAA YA...
Habari ja jioni wadau.
Kuna jambo nimejiuliza nikakosa majibu nikaona niwashirikishe wadau saa nyingine yupo mwenye uelewa akanisaidia kunielimisha.
Ni kuhusu tukio lililotokea siku za karibuni...
Je unataka kufanikiwa haraka? Mambo ni mawili tu, nayo ni haya hapa.
1. Usitumie mali/ kitu cha mtu bila kuomba na upewe.
2. Usiombe kitu wala mali ya mtu yeyoye. Tafuta chako, kumbuka, mtegemea...
.
Ujuzi ni nguvu, maarifa ni nguvu na yanawakilisha kiasi kilicho patikana cha kujifunza, ambacho wa Kemet wa kale walikuwa wamefikia katika uwezo wa kutumia kikamilifu nguvu ya ubunifu...