Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Imani ni ufunuo wa Mungu kwa mwanadamu; ni ile hali ya akili ya mtu kupokea ukweli uliofunuliwa na Mungu akiambatanisha nafsi yake kwa Mungu. Kuhani Musa Richard Mwacha amejulikana kama mtumishi...
7 Reactions
528 Replies
73K Views
Habari zenu wadau. Naomba kujua tafadhali. Kipi bora kati ya hivi : 1. Ninunue mpunga nikoboe zitoke kilo elfu moja niweke ndani kwa ajili ya matumizi ya familia. Au ninunue mpunga, niweke...
1 Reactions
19 Replies
2K Views
Ni dogo tu wa miaka 17. Amewauua alafu akaishi na maiti zao ndani. Haya ni matokeo ya afya mbovu ya akili na utoto mwingi pale vyote vinapokutana na influence ya mitandao na habari za mrengwa wa...
6 Reactions
39 Replies
2K Views
Naibu Waziri ofisi ya Rais TAMISEMI, Dkt. Festo Dugange amesema Serikali imeongeza umri wa ukomo katika mikopo ya asilimia 10 itokanayo na mapato ya ndani ya Halmashauri kwa vijana kutoka miaka 35...
0 Reactions
0 Replies
361 Views
Rais wa Jumuiya ya Wanafunzi wa Taasisi za Elimu ya Juu nchini (TAHLISO), Ndg. Geofrey Kiliba, ametoa wito kwa wanafunzi wa vyuo na jamii kwa ujumla kuhakikisha wanaendeleza amani na utulivu...
0 Reactions
0 Replies
333 Views
Mwanadiplomasia wa Kichina ameeleza hivi karibuni kuwa China haigopi kuangushwa kiuchumi na imeshajifunza kuwa wavumilivu miaka 5000 iliyopita na inataraji kuishi miaka 5000 ijayo....!!YAANI 5000...
1 Reactions
8 Replies
534 Views
Na hali hii ya mvua ,je Jangwani panapitika?
3 Reactions
6 Replies
478 Views
Naona sasa wameamua kuwapa vijana ng'ombe wakatumie muda mwingi machungani === Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi (UVCCM) chini ya Mwenyekiti wake, Ndg. Mohammed Ali Kawaida umekabidhiwa...
0 Reactions
0 Replies
174 Views
Lagos Nigeria - Mkurugenzi Mtendaji wa CRDB Bank Foundation na Mkurugenzi wa MahusianowaBenki ya CRDB Bank, Tully Esther Mwambapa, ametajwa kuwa Kiongozi Anayeongoza kwa Uwezeshaji Barani Afrika...
1 Reactions
1 Replies
443 Views
Maoni yako Tafadhali
1 Reactions
12 Replies
620 Views
* Albert Einstein aliwahi kuulizwa akili ni nini? What is intellect? Akasema akili ni kile kinachobakia baada ya kuondoa yote uliyofundishwa darasani. Kwa mujibu wa Einstein kuna watu wakiondoa...
12 Reactions
38 Replies
2K Views
1.Hutamkuta akichanganya matumizi vyombo yaani kwa mfano beseni la kufulia hilohilo aoshee vyombo hata kama an umaskini ila atatafuta njia nyingine sio kushare matumizi. 2.Akimaliza kula au...
6 Reactions
19 Replies
1K Views
Ni takriban week tatu sasa kisiwa cha Mafia kilichopo ndani ya mkoa wa Pwani, kimekumbwa na kukosekana kwa mawasiliano ya mtandao wa Halotel, ambapo wanachi wanapata kadhia ya kushindwa kuwa na...
1 Reactions
1 Replies
538 Views
Ndugu katika mapambano. Leo jumatatu nimestuka saa tisa usiku naona mvua ipo kidogo nimejilaza naamka saa 11 mapema haijapoa. Nimeshindwa kutoka mpka naandika huu Uzi hapa na nmesogea nilipo...
0 Reactions
4 Replies
526 Views
Huu mtaa wa loresho jijini Nairobi unaonesha kuna pengo kubwa kati ya masikini na matajiri au ni mwanya mkubwa?😁😁😁 Wakenya tunaomba mkija Tanzania kila mkitembea hatua 5 mpige saluti
2 Reactions
8 Replies
504 Views
Kila mara tunaelezwa kuwa shillingi yetu ni HIMILIVU na inafanya vizuri. Kila Jumatano ya kwanza ya mwezi Serikali inatangaza bei mpya ya mafuta na tunaelezwa kuwa bei ya mafuta huko ughaibuni...
0 Reactions
2 Replies
281 Views
Wanajamvi hivi hizi kampuni ni za familia gani maana naambiwa na baadhi ya matrafic kwamba zikivunja sheria hazipigwi faini na wala hazilipi kodi pindi zinapoingiza magari yao hazilipii kodi ya...
1 Reactions
2 Replies
2K Views
Habari wana JF, Ngoja nisonge kwenye mada, kwa kipindi cha miezi ya hivi karibuni nilikumbwa na changamoto iliyohitaji fedha ya haraka. Basi katika pita pita zangu nikaangukia kwenye kampuni za...
1 Reactions
17 Replies
2K Views
Uongozi wa Shirika la Umeme Tanzania ( TANESCO) Desemba 19, 2024 umetembelea Mradi wa Kufua umeme wa Bwawa la Julius Nyerere kujionea kasi ya maendeleo ya ujenzi unavyoendelea na kuweka mkazo kwa...
0 Reactions
2 Replies
516 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…