Tunayaweza yote katika yeye atutiaye Nguvu

Tunayaweza yote katika yeye atutiaye Nguvu

Attachments

  • criadormaloka-meme-1718421492453.jpeg
    criadormaloka-meme-1718421492453.jpeg
    89.5 KB · Views: 27
Mleta mada wahi hospital haraka. Hizo ni dalili za ugonjwa wa kichwa a k a akili
 
Matthew 23:37
[37] Ee Yerusalemu, Yerusalemu, uwauaye manabii, na kuwapiga kwa mawe wale waliotumwa kwako! Ni mara ngapi nimetaka kuwakusanya pamoja watoto wako, kama vile kuku avikusanyavyo pamoja vifaranga vyake chini ya mabawa yake, lakini hamkutaka!

Hata awake ulinzi gani, bado watu watakufa leo(thousands), watapata ajali leo, wataumwa leo, wengine watashinda njaa, wengine wataibiwa, kuna watakaofukuzwa kazi.

I highly doubt this mighty ...!
Je nawe ni kati ya wale walioikataa sauti? Fanya uamuzi sahihi leo.
 
Back
Top Bottom