Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Hivi watu mnaokaa huko Manzese, Tandale, Buguruni, Vingunguti, hadi mwananyamala mnasavaivu vipi kipindi hiki cha joto kali na ukame?? Najiuliza nakosa majibu kabisa, huko hakuna AC huko nyumba...
18 Reactions
66 Replies
2K Views
👉🏾👉🏾BEACH PLOT ⛱️ FOR SALE 👉🏾A Bigger and Wonderful Beach Plot for sale at Kizimkazi Beach Zanzibar.* 👉🏾Nice sea view and Beach. 👉🏾The Home of the Dolphins in Zanzibar. Sun 🌞🌞 Set Beach...
1 Reactions
0 Replies
299 Views
Kufuatia mamalamiko ya dereva Bi. Pamela Bukumbi, kudai kuongezewa uzito katika mzani wa Vigwaza mkoani Pwani, Wakala wa Barabara Tanzania (TANROADS), wametolea ufafanuzi sakata hilo na kuwataka...
4 Reactions
27 Replies
3K Views
Miaka 18, umemaliza kidato cha sita. Umebeba ndoto zako zote mgongoni kama mzigo mwepesi, macho yako yanang’aa kwa matumaini. Unajiambia, “Nikimaliza chuo nitayabadilisha maisha ya familia yangu.”...
24 Reactions
45 Replies
2K Views
Mama ikikupendeza kesho watumishi wajaze manoti yao, waje mtaani watulipe madeni yetu na wanunue bidhaa,sikukuu hii mama mtaani kugumu watu hawana kitu biashara haziendi
3 Reactions
9 Replies
1K Views
UZAMIAJI UTAPELI UKAHABA USHOGA UHARIFU URAIBU Kuanzia 2010 hadi 2020, idadi ya vijana iliongezeka kwa karibu 40%, kutoka takriban milioni 10.2 hadi zaidi ya milioni 14. Sasa by 2025 labda...
0 Reactions
3 Replies
374 Views
Haiwezekani kama nchi maskini tuendelee kubembelezana kuijua vizuri hii lugha muhimu ya kibiashara duniani. Kama tunatakiwa kufanya export zaidi ya products na services zetu hatuwezi kukwepa...
6 Reactions
32 Replies
1K Views
Mtumishi wa Mungu Prophet Nicolaus Suguye Jumapili hii tarehe 16/3/2025 kwenye UZINDUZI WA WIKI YA OPERATION YA KUVUNJA, KUBOMOA NA KUHARIBU MALANGO YA KUZIMU NDANI YA FAMILIA ambapo Nabii Suguye...
3 Reactions
16 Replies
2K Views
Mimi nililelewa na bibi na baba yetu ndo alikuwa anaprovide for the family. Kwa bahati mbaya baba akafariki nikiwa form 1 na bibi alikuwa mzee na hajishughulishi na chochote. Ili nipate msaada wa...
9 Reactions
44 Replies
3K Views
Kuna hawa wadada wanafanya kazi sheri na vijana wakiume mda wote wana hasira huduma zao mbovu sana leo nimepitia pale sheri moja kufika nikamwambia niwekee mafuta ya kiasi fulani nikawa na scan...
14 Reactions
120 Replies
5K Views
Kaburi alilozikwa Yesu baada ya kufa msalabani, limehifadhiwa katika nchi ya Israeli hadi leo. Watu wanaoingia ndani ya kaburi hilo, wamekuwa wakishuhudia uwepo wa Mungu na miujiza mingi. Katika...
14 Reactions
31 Replies
2K Views
Mwaka 1967 yalifanyika mashindano ya urembo kwa mara ya kwanza nchini, na dada Theresia Shayo akabeba taji. Mwalimu Nyerere akayapiga marufuku kwa madai kwamba yalikuwa yanaendeleza ukoloni...
4 Reactions
14 Replies
862 Views
Nchini Kenya shirika la anga la Kenya (Ksa) lilitoa tahadhari kuhusu uwezekano wa kuanguka mabaki ya chombo cha Angani chenye jina la NORAD ID 61909 / 2024 -2025 R ni kipande kikubwa cha Roketi...
1 Reactions
17 Replies
917 Views
Nimeambiwa na jamaa zangu watumishi wa umma kuwa hawajapata mshahara hivyo hii pasaka kwao ni motrooo. Poleni wazee wa kuisubiri salary.
2 Reactions
3 Replies
498 Views
Maneno yasiwe mengi ebu tuumize akili shusheni majibu tafadhari
7 Reactions
73 Replies
2K Views
Kama kichwa kinavyojieleza. Ikatokea nchi zote duniani kuanzia bara la Ulaya, Afrika, Asia yote tukaungana kumpiga mmarekani. Si tutamshinda asubuhi mapema? La sivyo ataendelea kuisumbua hii...
9 Reactions
86 Replies
3K Views
Ndipo tulipofikia kama nchi watu wengi hasa dar ma barmaid fuatilia sana wengi wamesoma kama sio diploma basi wana degree.wengi sana kikubwa tu maisha yaendelee inawabidi wafanye hivyo.imagine mtu...
8 Reactions
17 Replies
962 Views
Kwanini Afrika wazungu,wahindi,wachina,nk hawasali makanisani/misikitini kwa wingi na wamefanikiwa lakini Waafrika wanaosali kwa wingi ni MASIKINI? Umewahi kujiuliza hili swali na je umepata...
1 Reactions
22 Replies
1K Views
Habari wakuu Kuna biashara ukizifanya lazima akili kidogo icheze, uwe kama dish limeyumba hivi! Biashara gani ulishawahi kuifanya ukahisi kabisa kichwa kinawaka moto! Sio kwamba unamwa ila tu...
22 Reactions
128 Replies
4K Views
"Ana tabia ya kuamka na kukaa kwenye Giza totoro Kwenye kitanda kingine,hufungua madirisha usiku was kiza kinene Hadi pale sim inapopigwa kwa namba 70,ndio huamka na kuipokea huku akisimama na...
5 Reactions
70 Replies
4K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…