Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Je, unajua kwamba unapowalilia wafu wako, unajililia wewe na sio wao? Unalia kwa sababu "umewapoteza", kwa sababu huna WAO kwa upande wako. Unafikiri yote yameishia kwenye kifo. Na unafikiri...
10 Reactions
16 Replies
948 Views
Je kuna umuhimu wowote wa watu kuombeana kheri na baraka katika maisha yao? jibu ni ndiyo . Katika MAISHA chochote kinachokufikia wewe kuna sehemu kilikuepo na kuna sehemu kimetoka hadi...
4 Reactions
6 Replies
383 Views
Jitahidi sana maisha yako yawe baraka kwa wengine hata ukitoka sehemu watu waone wamepungukiwa , kuna aina ya watu huwa wakitoka sehemu watu waliobakia wanasema afadhali hayupo , hii ipo sana...
5 Reactions
32 Replies
1K Views
Huwa nawaonea huruma kuwapigania Watanzania wapumbavu hii ni sadaka kubwa wanajitoa chadema Nina uhakika mtoto wa Lissu haki chini Mke wa Lema hakosi matibabi ya kujifungua Heche hakosi maji ya...
20 Reactions
60 Replies
2K Views
Zamani kwa ruti ya Dar Arusha ilitawaliwa na Kampuni ya Mabasi ya Kilimanjaro chini ya Mkurugenzi Sawaya. Siku hizi naona makampuni ni mengi na Kilimanjaro Bus ni kama utawala wake umefika...
3 Reactions
29 Replies
2K Views
Vijana haswa hawa viongozi wa chuo wanajisahau sana baadaye wakirudi mtaana wanaanza kulalamika tena kwa hivi sasa wana platform wanaishia kuimba mapambio. === Rais wa Jumuiya ya Wanafunzi wa...
0 Reactions
15 Replies
720 Views
Mwenyekiti wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, Mhe. Jaji wa Rufani Jacobs Mwambegele akizungumza wakati akiongoza kikao cha pamoja kati ya Tume na wadau wa uchaguzi kutoka Halmashauri ya Wilaya ya...
2 Reactions
2 Replies
254 Views
Wakuu, natumaini mnaendelea vizuri na majukumu yenu ya kila siku. Kuna huu mjadala nimeukuta somewhere lakini nikaona si mbaya kama nikiuletajamvini hapa sote tuchangie mawazo. Suala ni kuhusu hii...
4 Reactions
18 Replies
2K Views
01. Kukalia kiti kikubwa hakukufanyi kuwa mfalme. 02. Tunasubiri vitu vingi na kwa bahati mbaya vitu hivyo huwa havitokei. 03. Kumbuka baada ya kimbuga kupita kifuatacho ni upinde wa mvua. 04...
3 Reactions
4 Replies
546 Views
18 Aprili 2025 Hii ni zaidi ya mahojiano – ni safari ya fikra, imani, na maisha. Usikose sehemu hii ya kwanza yenye uzito mkubwa ! https://m.youtube.com/watch?v=-R-V189rsbA Tido Mhando is...
1 Reactions
1 Replies
300 Views
Nimejikuta nashawishika kwa mara ya kwanza kuandika uzi humu jukwaani kwani miaka yote nimekuwa msomaji na mchangiaji tu! Hii ni baada ya jana kupitia uzi wa mkuu TORABORA akiwa haelewi hatma ya...
14 Reactions
102 Replies
10K Views
Wakuu! Ile ajali ya wabunge ukitazama kama ilikuwa ndogo lakini baadhi ya wabunge hali zao bado ni mbaya hadi wamehamishiwa MOI au tuseme maombi ya baadhi a wabongo? =====================...
2 Reactions
13 Replies
1K Views
China bhana kila kitu kinawezekana!! Umeshawahi kuwaza siku utembee umbali mrefu kwenda kumtafutia mteja aliyetukana bidhaa zako na kumpiga. Kuna jamaa mmoja ambaye ni muuzaji wa bidhaa...
3 Reactions
10 Replies
608 Views
Miaka 12 ya utafiti imetoa matokeo chanya Kwa watafiti Wazalendo waliofanikiwa kugundua dawa ya kutoesha nywele na kuzuia Kipara. My Take Hongera sana Wazalendo,haya ndio mambo Sasa sio Kila...
1 Reactions
7 Replies
563 Views
Utafiti wa kisayansi uliofanywa miaka 12 na watafiti toka Taasisi ya Watafiti ya Wanyama pori Tanzania (Tawiri) imefanikiwa kupata dawa ya Asilia inayosadia kuotesha nywele na kuzuia kukatika kwa...
1 Reactions
0 Replies
378 Views
Habari za muda huu Wana Jf. Niende Moja kwa Moja kwenye mada husika, Kuna aina ya watu sijui roho zao zikoje, tuseme ndio roho mbaya au vipi. Nafahamu tumetofautiana tabia na mienendo kutokana na...
13 Reactions
26 Replies
2K Views
Yangu mm ni gladiator iliyotoka mwaka 2000.. how bout yours...?
3 Reactions
147 Replies
5K Views
[emoji599]UKIKUTANA NA SIMBA GHAFLA, FANYA HAYA:... Achana na simba (kolo).... we're talking about the real Simba Uwapo porini au sehemu yoyote ya wazi, halafu ghafla ukamwona simba (akiwa...
27 Reactions
218 Replies
7K Views
Wakuu, heshima zenu. Mna habari kwamba unabii huu nao tayari umetimia? Mathayo 24:24 – "Kwa maana watatokea Makristo wa uongo, na manabii wa uongo, nao watatoa ishara kubwa na maajabu; wapate...
4 Reactions
29 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…