Hili swali Huwa najiuliza sana alafu sipati majibu
Hivi ni kweli hawa viongozi wa serikali hawajui magumu wanayopitia watoto pale wanapoingia kidato Cha kwanza na kukuta lugha imebadirika ghafla...
Habari Wakuu!
Moja ya kitu kinachomfanya mtu aishi maisha yenye furaha ni kujua kusudi lake na โkuliishi kusudi lake.
Bila shaka najua ya kuwa watu wengi hawajui kusudi lako lao la kuwepo hapa...
Ni vingi lakini hivi ni baadhi,
-Mmasai albino
-Mwanajeshi albino
-Ambulance ikiwa sheli (kituo cha kujazia mafuta)
Najua hata nyie vitinda mimba hamjawahi kuwaona mama zenu wakiwa wajawazito...
Leo nilikuwa kwenye bus muda mfupi baada ya safari kuanza kama ilivyo utaratibu wa bus nyingi kama sio zote za kisasa mhudumu wa gari akaanza matangazo mbalimbali lakini kabla ya yote akawataka...
Kama mada isemavyo hapo juu, ni kama mwenzi mmoja sasa tangu nikutane na mwana unajimu kutoka Ufaransa nilikuwa nasoma utabiri wa maisha yangu kama 90% kwa njia ya barua pepe nimejifunza mambo...
Nimepanga kwenda beach yoyote siku ya tarehe 11 Desemba 2020, kwa ajili ya kwenda kutumia nusu siku kule nikilia machozi. Siku hiyo itakuwa siku moja baada ya sherehe za kutunukiwa degree pale...
1. To me, nikiangalia watawala wa Afrika ambamo papa anategemewa kutoka, ninakuwa na wasi wasi mwafrika kushika nafasi hiyo! Ukabila, ndugunisation, rushwa, kuua wapinzania na maujinga mengi ya...
Leo nimemtembelea ja.aa yangu. Mtoto wake alikuwa rafiki yangu sana.
Kabla hajapelekwa Boarding kwa sababu zisizozuilika alikuwa mchangamfu, mbunifu, anaonyea leadership skills akiwa na wenzake...
----------------------------------
Johann Wolfgang von Goethe alikuwa mshairi, mwandishi wa riwaya, mwanafalsafa, mwanasayansi, na mwanafalsafa wa Kijerumani aliyeishi kati ya 1749 na 1832...
๐๏ธ
#Mazishi ya PapaFrancis yanazua maswali mengi kuliko majibu. Kuondoka kwa mila ya karne nyingi ni kitendo cha makusudi na cha mfano. Lakini ni nini maana ya kweli nyuma yake? Je, ni...
Daaah! Hii nchi bhana, katika pitapita zangu nimeibukia maeneo ya Mlowo Wilayani Mbozi Mkoa wa Songwe.
Halmashauri ya Wilaya hiyo imefanikiwa kujenga Stendi mpya ya mabasi eneo la Forest lakini...
Sunan Abi Dawood (Kitabu cha Sala, Hadith Na. 184)
Matn ya hadithi ni kama hivi:
ุนููู ุฃูุจูู ููุฑูููุฑูุฉูุ ููุงูู ุฑูุณูููู ุงูููููู ุตูู ุงููู ุนููู ูุณูู :
"ุตูููููุง ููู ู ูุฑูุงุจูุถู ุงููุบูููู ูุ ููููุง...
Pesa ni matokeo ya kufanya kile upendacho kutokana na talanta ulizopewa,kila mtu akitambua kipawa chake na akakitumia kwa faida ya wengine tatizo la ajira litatoweka, mabadiliko ya maisha yako ni...
Waziri wa Madini, Anthony Mavunde na Balozi wa Canada nchini Tanzania, Emily Burns, Aprili 26, 2025 wamekutana Jijini Dodoma na kufanya kikao juu ya maendeleo ya sekta ya madini nchini.
Balozi...
Hellow!
1. Ni mke wa mtu, unakwnda kwenye closet, Kisha unachagua nguo nusu uchi, inayobana, au mini skirt Kisha unakwenda ofisini ukijua mumeo siye atakayekuwako huko uendako kuuangalia...
Hii nchi ngumu sana,
Chini ya CCM na viongozi wake rushwa, undugulization, ukabila hautakuja kuisha kwenye nchi hii.
Nakumbuka mwaka 2014 nimesafiri toka Kigoma kwenda mjini Dar es Salaam...
Serikali kupitia Wizara ya Madini imetunga kanuni za msaada wa kiufundi katika Leseni ndogo za uchimbaji wa Madini ambapo zitaratibu ushiriki wa wageni katika Leseni ndogo za uchimbaji wa...
Chama cha Walimu Tanzania (CWT) Mkoa wa Ruvuma, kimeiomba serikali kuwongezea walimu kikokotoo kutoka asilimia 40 wanayopokea sasa hadi kufikia asilimia 50 waliyokua wakiipokea awali ili iweze...
Katika miaka ya hivi karibuni, dhana ya body positivity imekuwa ikijadiliwa sana kwenye mitandao ya kijamii na katika jamii kwa ujumla. Hata hivyo, mara nyingi maana halisi ya ujumbe huu...
Leo nimeamka na ninyi waalimu hakika haipendezi kabisa na sio sawa.
Ni mara kadhaa sasa hii tabia baadhi yenu(walimu) huwa tukituma hela za matumizi kwa watoto/wadogo zetu mnawakata hela zao...