Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Katika jamii za Kibantu tumelelewakatika maisha ya utandi uliyosaidia kuleta udugu na utengamano na umoja wataifa hili na kuondoa ukabila! Nachotaka kusema watani zangu Wangonina Wamatengo...
3 Reactions
232 Replies
62K Views
๐—›๐—ฎ๐˜๐—ฎ๐—ฟ๐—ถ ๐˜†๐—ฎ ๐—บ๐—ถ๐˜๐˜‚๐—ป๐—ด๐—ถ ๐˜†๐—ฎ ๐—š๐—ฒ๐˜€๐—ถ ๐˜†๐—ฎ ๐—ธ๐˜‚๐—ฝ๐—ถ๐—ธ๐—ถ๐—ฎ Sehemu yoyote unayoishi ndo sehemu pa kwanza panapaswa kuwa Salama zaidi kuliko mahali pengine popote, ndo maana ukipita maeneo mbalimbali utakutana na...
1 Reactions
14 Replies
1K Views
Mei 11, 2023 watuhumiwa 6 kati 9 wameshtakiwa kwa makosa ya kughushi, kujipatia fedha kwa njia za udanganyifu, kuongoza genge la uhalifu na utakatishaji fedha haramu. Washtakiwa hawa...
4 Reactions
18 Replies
3K Views
Kwa mtazamo Naona ''watamuapproach" Mwijaku (the national disgrace) na ahadi kadhaa za maokoto. Jamaa alivyo hana mshipa wa aibu yaani atakubali na kufurahia hilo deal. Tujiandae na matukio ya...
6 Reactions
10 Replies
963 Views
Ma Mc's katika sherehe mbali mbali za wafanyakazi za meimosi....Hivi kwa nini hamuwezi maliza kutusherehesha bila kuita tupite mbele tucheze kwaito? Tena muda mwingine mnatutoa mbele ya watoto...
4 Reactions
13 Replies
616 Views
Badala ya kuzungumzia changamoto za Wafanyakazi zilizojaa lukuki....once in a year wanakuja na Hotuba ya kusifia majukumu ya serikali. Hii nchi imekuwaje?
2 Reactions
18 Replies
955 Views
Huwa nikiona Memo zao zinakuwa zipo smart sana . Ni.nadra sana kuona memo kama hizi hapa Tanzania. Imagine hata memo kutoka ikulu huwaga nyepesi sana haitoi attention ya kusoma Tuna la kujifunza...
9 Reactions
61 Replies
3K Views
Maelfu ya wanavyuo kutoka vyuo mbalimbali mkoani Dodoma wamefanya matembezi maalum kwa ajili ya kuweka maazimio kuelekea Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2025. Matembezi hayo yamefanyika chini ya uongozi...
0 Reactions
5 Replies
466 Views
MKUU wa mkoa wa Simiyu, Kenan Kihongosi, amewataka watumishi wa umma mkoani humo kuachana na tabia za fitina, majungu na chuki katika maeneo ya kazi, akisisitiza kuwa hali hiyo inachangia...
0 Reactions
1 Replies
402 Views
JINA LA YESU LITUKUZWE WATOTO WA MUNGU! Watu wa Mungu walio okoka na ambao bado hawajaokoka! Leo ngoja tuzungumze juu ya Habari Njema ya Yesu Kristo, Mwana wa Mungu aliye hai! Leo natangaza...
11 Reactions
33 Replies
2K Views
Kuna hii stori kila siku inapigiwa kelele mitandaoni, kwenye redio na tv, mashuleni n.k kwamba mwanamke na mwanaume wawe sawa, 50 kwa 50, kwenye kila jambo hadi kwenye uongozi. kwamba Wanataka...
2 Reactions
0 Replies
284 Views
Kazi hata kama unalipwa kidogo, ndio inayokuingizia kipato. Sikukuu ya meimosi ulipaswa kutumia kama fursa ya kumshukuru Mungu KWA kukupatia Kazi ambazo wenzako wanazutafuta Hadi damu. Sikukuu za...
2 Reactions
14 Replies
643 Views
Hivi waumini wa Kanisa la Katoliki nchini mmeshagundua kwamba hadi sasa, kupitia matamko ya viongozi wenu, ni msimamo rasmi wa kanisa kwamba serikali ya awamu ya sita chini ya CCM ni serikali...
0 Reactions
3 Replies
360 Views
Whether you are agree not you are agree Rais Samia ni Rais bora sana kuwahi kutokea kwenye taifa hili ama hakika haya aliyoyafanya na anayo endelea kuyafanya ama rais yoyote yule aliwahi kuyafanya...
12 Reactions
84 Replies
2K Views
Wanajeshi wa Ulinzi wa Wananchi wamechukua eneo iliyokuwa shamba la mifugo la Utegi bila ridhaa kwa kuwa Shamba hili tayari ilikwishagawiwa kwa wananchi wa Vijiji vinavyozunguka shamba hilo...
4 Reactions
23 Replies
1K Views
Katika maisha hakuna mtu hatari kama mtu mjinga aliejaaliwa Kujiamini na kukosa aibu. Mfano wa watu wa aina hii ni huyu Steve Nyerere, huyu ni moja ya watu wa hovyo sana nchini, ambapo imekuwa...
8 Reactions
35 Replies
2K Views
Dc wa Singida - Godwin Gondwe amesema kitendo cha Rais Samia kuadhimisha siku hii kubwa Singida na kujenga uwanja mkubwa kwa siku chache, wana Singida wanasema hawamdai chochote Rais Samia.
2 Reactions
8 Replies
432 Views
Hii haijakaa sawa watumishi walioajiriwa taasisi/idara mbalimbali mwingine kupewa zawadi kubwa sana tofauti na mwenzake ilihali wote watanzania na pia wanahudumia Taifa. Na mzizi wa haya yote...
1 Reactions
11 Replies
900 Views
Wananchi wa Kata ya Kihesa katika Halmashauri ya Manispaa ya Iringa mkoani Iringa wakikagua majina yao katika daftari la awali la wapiga Kura lililobandikwa katika kiuo cha kujiandikishia wapiga...
0 Reactions
2 Replies
304 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ