Hii ni baada ya mh CHASHA FARMING kunitoa usingizi na ndipo nilipo kumbuka kwenye miaka ya 2004 tuliikata sana Ile miti lakini Bado nikakumbuka Kuna poli kama heka2-3 tulibakiza Kwa ajiri ya...
Hiyo sayari ni potential sana kwa miaka kadhaa ijayo, taifa la watu wenye akili ni vema tukapimiana viwanja tukiwa huku huku Duniani, tutakapoanza kwenda huko kazi yetu ni kuwalangua watu viwanja...
Kama mliogopa kufeli
Hamwoni wenzenu wanapiga kazi na vyeti feki
Je ungejua na wewe ungepiga cheti feki ukooo boss mkubwa
Nawaasa mnaosoma endeleen kusoma msiache msikate tamaaa lipo tegemeo...
Viongozi waandamizi walio kijenga Chama kwa jasho na damu; John Mrwma, John Mnyika, Mwalimu, Kigaiya na Katherine wamebwaga manyanga na wamesema gharika kubwa inakuja.
Tulisema Lisu na Henche...
โขKuanza mwaka wa Fedha 2025/26 kwa mafunzo
Na Mwandishi Wetu, JAB.
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Prof. Palamagamba Kabudi, ameitambulisha rasmi Bungeni Bodi ya Ithibati ya...
Ndugu zangu, jihadharini sana na marafiki wa karibu hasa kwenye maswala yanayohusu hela. Nimekutwa na utapeli wa aina ambayo yeyote mwenye rafiki anayemwamini hawezi kutoboa kwenye utapeli huo...
๐ก Hakika Maendeleo ya Teknolojia yanazidi kwenda Kasi lakini kuendelea kwasi kumepelekea watu kujisahau sana na kupelekea maadili kushuka.
๐ก Mtandao wa X ambao Zamani ulikua unaitwa Twitter...
Miradi mingi inapokamilika husubiria kiongozi flani kuzinduliwa ,sawa ni jambo sahihi kuweka alama ya kumbukumbu ya kihistoria lakini sioni kama ni sahihi kuzuia huduma kwani ni kukosa maana...
Huo ndio ukweli police wetu Africa Mashariki wana uwezo mkubwa wa kuchunguza matukio ya uhalifu
Fuatilia upelelezi wa mauaji ya mbunge Charles Were utakubaliana nami kwani Wauaji wanatajana hadi...
Barabara ya Kitunda - Banana imekuwa kero kubwa, yaani ni mashimo kiasi kwamba kuna gari nyingi zikiwemo Daladala wahusika wame-cancel route njia hiyo na kusababisha Watu wengi kukosa usafiri...
Kitengo alichotoka akiwa Meja Jenerali halina ubishi kuwa anafaa na anastahili kuwa Mkuu mpya wa Majeshi nchini Tanzania.
Na hata Kimuonekano tu anaonekana ni Mtu wa Kazi Kweli na nasikia (...
Kwa wafuatiliaji wa Bbc swahili dira ya dunia, kupitia matangazo yanayorushwa saa tatu usiku kuanzia jumatatu hadi ijumaa kupitia Star tv watakubaliana nami kuwa urushaji wa taarifa umekosa mvuto...
Hakika Jeshi la Tanzania limempata anayelijua vyema na anayeliweza na Kuwamudu Maadui zote wa Ukanda na hata wale wa Kimataifa wakithubutu Kujitokeza.
Atalisaidia sana tu Jeshi letu la JWTZ.
Mara kadhaa nimewambia kuwa chadema ni genge la wahuni wapiga dili, wanatumia chama kama kitegauchumi.
Mungu sio asumani leo hii leo hii tunawaona jinsi wanavyo tuhumiana wao kwa wao kula...
Mama Maria Nyerere amelazwa hospitali kwa zaidi ya wiki moja sasa. Umri wake ni 96.
Kwa hiyo tunamtakia speedy recovery. Naona it is a big secret. Amelazwa muda mrefu lakini habari nimezipata...
Umewahi kukutana janga la simu yako kufuatiliwa au kuingiliwa mawasiliano yako bila wewe kujua? Basi sasa unaweza kufuta ufuatiliaji wowote uliofanywa kwenye simu yako kwa kujua au kutojua.
Pia...
Katika historia ya harakati za kisiasa duniani, mara nyingi mabadiliko ya kweli yamekuwa yakipatikana kwa gharama kubwa, ikiwemo maisha ya wale wanaojitolea kwa ajili ya haki na demokrasia. Katika...
Walengwa hapa ni JWTZ, POLISI, JKT, Magereza na Zimamoto!
Wengi wa askari wenye vitambi ni "mabosi'
Vitambi kwa askari wa vyeo vya juu vina manufaa gani kwao na kwa Taifa?
Wanajua kuwa hivyo...
Wadau hamjamboni nyote?
Ni mambo ya Imani na siwezi yabishia kwani wenyewe wanaamini hivyo
Bado nawaza nifanyeje kwani nahofia.nosijeipanda miti hiyo kisha baadaye mayahudi wakaja jificha...
Sina hakika kama hii ni sheria ya kazi au la, lakini nimeona mara nyingi sana tena wakati mwingine hata magari yenyewe hawaendeshi wao. Utakuta anaendesha rafiki yake wa kike ama wa kiume !
Je...