Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Nimeona kwenye mtandao kuna mzee anawataja watu (ASIKARI) kwa majina Ya "X" na " Y" Kuwa walimfuata na kumpa Kazi ya kijasusi, wamuoneshe alipo Mdude Nyangali Kisha Wao watimize jambo lao...
2 Reactions
18 Replies
816 Views
Jambo la kwanza naombeni tumpe sana Mungu nafasi katika maisha yetu ikiwa tunayahitaji sana amani,,Tusiache kumwamini Mungu hata kama nafsi zetu zimebeba majuto , Maana kumwamini Mungu kunaleta...
8 Reactions
15 Replies
848 Views
Naomba kuuliza kwa wanaofahamu. Je kabla deed poll haijasajiliwa wizara ya ardhi je inakubalika kuitumia? Nauliza kwa sababu inabidi niitumie kwenye application ya kazi na kule ardhi wanasema...
2 Reactions
12 Replies
2K Views
Mtu hyu amekuwa na matukio mengi ya ajabu mara kurekodi picha za uchi , mara kutembea na wanafunzi mara kudhalilisha wake za watu yaani ni mtu Mjinga mjinga tu lkn ndio huyu huyu anapewaa ubalozi...
3 Reactions
7 Replies
475 Views
Ukisikia bangi inaumhimu wake fanya Kazi ya mochwari usivute bangi utaelewa ! Uhalisia wa mochwari sehemu ya kwanza Hapo zamani kazi ya Mochwari attendant ilikuwa siyo ya kusomea (Sauti ya mzee...
2 Reactions
18 Replies
7K Views
Sala kwa WanaJF – Kwa Mafanikio, Nguvu na Ukombozi Ee Mungu mwenye nguvu, mwenye huruma na anayejibu maombi, tunakuletea wana wa JamiiForums wote – kila mmoja wao aliye na kiu ya mafanikio...
1 Reactions
1 Replies
243 Views
Maishani mwangu nimekuwa nikiwaua nyoka kwa namna rahisi sana. Sikuwahi kujua kwanini nyoka wakiniona huwa wanaduwaa, na kubako kunishangaa. Hata nikienda mbali kutafuta kitu cha kuwapigia...
21 Reactions
130 Replies
6K Views
Chereko, nderemo, shangwe na vifijo. Bitcoin the world leading crypto inazidi kuchanja Mbuga. Navyoandika sasa hivi imeshafika 101 K USD. Tangu February ilikuwa under 100k. Wadau tunasubiri...
2 Reactions
9 Replies
508 Views
TUNDUMA Kamati ya Pamoja ya Wataalamu wa Tanzania na Zambia (JTC) inayokutana katika mji wa Tunduma mkoa wa Songwe kujadili Mpango Kazi wa Uimarishaji Mpaka wa Kimataifa imetembelea na kukagua...
1 Reactions
1 Replies
587 Views
Watu wengi wamefocus kwenye misaada kusitishwa, na kusema tunaweza kujitegemea. Ila kitu kikubwa ambacho mimi nakiona ni kubaki wenyewe kama tupo Jangwani kitu kikubwa Rais wetu mpendwa mama...
3 Reactions
2 Replies
428 Views
Husika na somo tajwa, Kama ni mfuatiliaji wa mashauri mbali mbali utagundua kuwa wakati mawakili wana toa hoja zao au kupinga hoja upande wa jamuhuri unakuwa umelemewa huwa najiuliza kuwa kwa...
3 Reactions
3 Replies
344 Views
Anonymous
Mimi ni mkazi wa Isyesye Mbeya Tunashukuru kwa maboresho ya barabara yanayofanyea na Serikali lakini tunaomba mumuelekeze Mkandarasi wa Kampuni ya Marmo kutengeneza barabara za michepuko...
0 Reactions
1 Replies
483 Views
Siku hizi wavivu wa lugha hawaandiki au kutamka tena Sebule- wanasema seble Muziki- wansema mziki Muda- wansema mda!
25 Reactions
133 Replies
4K Views
PLATO ( 427 -347 K.K ), alisema……… “The soul of man is immortal and imperishable.” ("Nafsi ya mwanadamu ni ya milele na haiwezi kuangamia. SOCRATES,alisema……… “Death may be the greatest of all...
1 Reactions
3 Replies
400 Views
Wanajamvi :Aiiih,Mimi njaa inauma bana!. wanajukwaa njaa inaniuma bana.Na yapo maswali Bado najiuliza na njaa yangu!, ni lini nitakaa mkao wa kula?ama nani ataniambia sogea huko nikiwa nimekaa...
1 Reactions
1 Replies
513 Views
Aliyekuwa mtumishi wa Jeshi la Magereza Tanzania, Salum Shamte (56), amesimulia namna kanuni za kukokotoa mafao (kikokotoo) ilivyosababisha apigwe butwaa baada ya kupokea ujumbe (sms) wa kiasi cha...
11 Reactions
59 Replies
5K Views
Habari za majukumu ndugu wazalendo wa nchi yenye maziwa na asali. Hata kama hulambi asali basi endelea kuwa mzalendo wa kulipa kodi na tozo ili tujenge nchi yetu(kama inavyosemekana). Imekuwa ni...
1 Reactions
10 Replies
2K Views
Unataka kufikia uhuru wa kifedha? Ni lazima upitie hizi hatua sita.. Na ili ufike hatua ya sita ni lazima upitie hatua y Akiba kisha uwekezaji 1. Tengeneza Bajeti ya Kila Mwezi Tambua kipato...
1 Reactions
3 Replies
801 Views
Waziri wa Maji Juma Aweso amesema upatikanaji wa Maji kwa Sasa ni asilimia 83 katika maeneo ya vijijini na 91.6 mijini. Kauli hiyo ameitoa Leo bungeni wakati akiwasilisha makadirio ya Mapato na...
1 Reactions
6 Replies
505 Views
Aiseeh wanajamvi habari zenu Jana niliachwa hoi na kitu kilichonitokea yaan Imani imekua kitu cha kuchezewa na watu waliopewa dhamana. Jana nilishinda mitaa ya Leaders Club nikipoteza mawazo na...
32 Reactions
266 Replies
31K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…