Nukuu za Kifalsafa Kuhusu Umilele na Hatima ya Nafsi

Nukuu za Kifalsafa Kuhusu Umilele na Hatima ya Nafsi

Paspii0

JF-Expert Member
Joined
Apr 10, 2020
Posts
638
Reaction score
1,043
PLATO ( 427 -347 K.K ), alisema………

“The soul of man is immortal and imperishable.” ("Nafsi ya mwanadamu ni ya milele na haiwezi kuangamia.


SOCRATES,alisema………

“Death may be the greatest of all human blessings.”
("Kifo kinaweza kuwa baraka kuu zaidi kwa mwanadamu.")

​

MARCUS AURELIUS ( 121 - 180 B.K), alisema ……
“It is not death that a man should fear, but he should fear never beginning to live.”
("Si kifo ambacho mtu anapaswa kuogopa, bali ni kutokuanza kuishi kabisa.")


Epicurus (341–270 KK),alisema……..!

“Death is nothing to us, for when we exist, death is not present, and when death is present, we no longer exist.”
("Kifo si kitu kwetu, kwa maana tukiwa hai hakipo, na kikifika, sisi hatupo tena.")

Jean-Paul Sartre (1905–1980), aliwahi kusema………
“Death is not the end, not if you live on in the hearts of others.”
("Kifo si mwisho, si kama unaendelea kuishi katika mioyo ya wengine.")
 
Kifo ni mchakato wa ambao hawatatimiza Kazi waliokuja kuifanya Ila wenye hakika hawafi .
 
Back
Top Bottom