Ukipita katika hii barabara utajiuliza maswali mengi sana. Kama kweli Tanzania tuna viongozi na serikali inayojisifu kuwa inakusanya Kodi kupita malengo.
Ni aibu sana kuwa na barabara kuu Kama...
Asubuhi ukifungulia redio kwa masaa zaidi ya 2 utasikia wanajadili mechi ya simba na yanga. Wanajadili jambo hilohilo kila siku.
Wakibadili mada basi italetwa mada ya kamari. Mara cheza pesa...
Ndugu zangu
Ukweli upo wazi kwamba kipofu hawezi kumuongoza kipofu mwezake ila watadumbukia shimoni wakiongozana
Wanawake wengi wanaojiita mama wachungaji au wake wa wachungaji tunajua wazi...
Siku hizi, watu wengi wanashinda kutwa nzima wakibenua simu, wakipiga scroll mitandaoni hadi vidole vinachoka – lakini mwisho wa siku hawana hata shilingi mia mfukoni, achilia mbali wazo moja...
Ninashukuru sana kupata gawio langu toka Mama Samia Bond baada ya kupiga kelele nyingi.
Mbona tena nimeona imekatwa kodi ili hali mlituaminisha kuwa itakuwa haikatwi kodi?.
Nawaomba msiwe...
Kijana mmoja ajulikanae Kwa jina la jimmy au almaarufu Baba Adriana, mwenye umri wa miaka 30 mkazi wa Lemara ameokolewa akitaka kujinyonga baada ya mtoto wake wa kike mwenye umri wa miaka 6...
Shalom Mwana wa Mungu, karibu tujifunze biblia, chakula cha uzima, kitupacho afya rohoni, leo kwa Neema za Bwana tutajifunza kwa ufupi, juu ya SIRI YA MUNGU.
Biblia imetaja sehemu kadha wa kadha...
Katika Matendo ya Mitume:
“Anania, akaposikia maneno haya, akaanguka, akafa... vijana wakaingia, wakamkuta amekufa, wakamtoa nje, wakamzika.”
(Matendo 5:5–6)
Na baadaye mke wake Safira...
Ni kwenye moja ya hizi hotel yanaposimama mabasi ya ruti ndefu za mikoani.
Tuliambiwa huyo ni kuku nikaagiza nipewe paja moja chap lakini kwa ukubwa wa mapaja ya huyo 'kuku' mwenyewe na 'uwingi...
Hivi Tanzania na Shirika letu la Ndege ATCL tuna kipi tunakiweza ikiwa route profitable kama hiyo tumeiacha?
Badala ya sisi wenye ndege za ukweli tungekuwa na route ya Dar-Entebe-Lagos tupo tupo...
Tafakari sana kabla hujafikia hitimisho Fulani ambalo ndio litakuwa la kudumu katika maisha yako.
Kuna watu wengi sana ambao shetani kawafumba macho, na kuwafanya wasifikiri vyema kabla ya...
Mwanza, Shinyanga, Kahama, Geita, Kagera, na Kigoma! Kote huko sijawahi kukutana na ndizi mshare. Ndizi zinazopikwa maeneo tajwa ni ndizi ambazo kwa Arusha na Kilimanjaro, ukikuta mtu kazipika...
Mwanzoni mwa Mwezi Machi, 2025 mdau aliripoti Meli ya New Mv Victoria Hapa Kazi Tu kutofanya kazi, na niliona mamlaka husika zilitolea ufafanuzi suala hilo kwamba meli ilikuwa imesitisha huduma...
Nilipata nafasi nikahudhuria tafrija hiyo fupi iliyoandaliwa na ofisi ya Mkuu wa mkoa Arusha ,
Kuna mambo machache sana nilijionea yaliyonitoa machozi Kwa muda mfupi niliokaa hapo.
Kwanza kabisa...
Wacha nikwambie kitu moja straight up bila kuzungusha — hii AI ni kama dope mpya ya kizazi cha dot com. Inakufanya ujione mwerevu, lakini deep down ina-slow kill akili zako. You feel me? Yani mtu...
Hivi hichi kituo kina matatizo gani ya kifundi? Ni mara kwa mara hakipo hewani kweye FM 88.3. Mchana huu tunasubiria wajiunge na DW lakini haipo hewani. Ni mitambo yao imechakaa au ni nin?
Kuna vitu vingi vime conquer mind za wanaume miaka na miaka, moja wapo katika historia hio imekuwa issue ya makalio makubwa ya mwanamke.
"THE BOOTY TAKE OVER"