Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Maisha hubadilika kabisa Kucha zake huwa ndefu sana na zimepinda - haziwezi tena kushika mawindo ya wanyama Mdomo wake unapinda sana - hauwezi kurarua chakula. Manyoya ya kifua na mabawa yake huwa...
12 Reactions
18 Replies
1K Views
Siyo siri, ujenzi wa mradi wa Dar es salaam Rapid Transport(DART), una matatizo makubwa. Mkandarasi barabarani hana vifaa kabisa vya kukidhi kazi hizi kubwa. Kwa observation ya wazi ni kwamba...
7 Reactions
8 Replies
593 Views
Napenda kutoa mfano mchache tu wengine mtaweka hapa. Watawala wakishafika kujenga genge la kuwasimamia kila kona kuna siku watapenda nao nafasi uliyopo washike wao endapo mkipishana. Swala la...
0 Reactions
2 Replies
277 Views
Mi kwa sasa siwezi lalamika mzungu,mwarabu na wachina wakituita nyani.Kama tunashindwa hata kuishi kama wao kwa nini tukatae. Mfano leo kuna viongozi wanaweza kuja kubisha kauli zao za nyuma kuwa...
2 Reactions
2 Replies
262 Views
Je, Tumeshauzwa? Zaidi ya asilimia 90 ya apps za mikopo hapa Tanzania zinamilikiwa na makampuni ya Kichina β€” lakini udhibiti uko wapi? Riba ni kubwa kupita kiasi, na wakopaji wanaposhindwa...
1 Reactions
0 Replies
483 Views
Enyi Wakristo! Wapi ambapo mimi Yesu nilisema "Mimi ni Mungu" au "Niabuduni"? Niliwaamuru katika Marko 12:29 kuwa muabudu Mungu wa kweli, nami pia nilimuabudu Mungu huyu wa kweli, Luka 6:12...
0 Reactions
6 Replies
396 Views
Katibu Mkuu wa Wizara ya Madini, Mhandisi Yahya Samamba amewataka watendaji wa Tume ya Madini kuongeza ubunifu kwenye usimamizi wa Sekta ya Madini hasa katika kuongeza ushiriki wa watanzania...
0 Reactions
0 Replies
210 Views
Katibu Mkuu wa Wizara ya Madini, Mhandisi Yahya Samamba amewataka watendaji wa Tume ya Madini kuongeza ubunifu kwenye usimamizi wa Sekta ya Madini hasa katika kuongeza ushiriki wa watanzania...
0 Reactions
0 Replies
329 Views
Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Mhe. Jerry William Silaa (Mb), ameelekeza kuwa ifikapo tarehe 12 Mei 2025, saa 6 usiku, ujenzi wa minara ya mawasiliano vijijini uwe umekamilika na...
1 Reactions
4 Replies
601 Views
27, 000 20, 007 Wadau hamjamboni nyote? Usitoe maoni unachotakiwa ni kuzitaja hizo namba hapo juu kwa usahihi wa maneno ya kiswahili na kiingereza
4 Reactions
29 Replies
1K Views
Iko wazi kabisa hakuna Jibu la kueleweka.. Hapa tutapuyanga sana kutafuta wakwe Halisi wa Adam na Eva ni kina nani πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡
2 Reactions
17 Replies
696 Views
Boom ni 600k, toa 156k kulipa deni la boom advance toa Kodi, toa chakula toa nauli toa book na stationary...!! Kifupi namaliza chuo sina hata mia, na sio mia tu sina hata business idea...
11 Reactions
45 Replies
2K Views
Ngono na watu wengi husababisha mikosi na kutofanikiwa kwa mambo yako. Upo uwezekano kwamba, unaanzisha mambo mbalimbali lakini hayafanikiwi. Katika utaalamu, kila mtu unayefanya naye ngono...
5 Reactions
14 Replies
3K Views
Tangu nimehamia huku Kisasa, Dodoma kuna eneo lilisemekana ni la Shule! Lakini Miaka ya 2012 hadi wakati huu, eneo Hilo limezidi kujengwa nyumba za kuishi watu! Wakati nahamia huku Kisasa, eneo...
0 Reactions
1 Replies
366 Views
Wadau hamjamboni nyote? Huku ndiyo ukweli hata kama unaumiza ila ndiyo ukweli Kanisa Katoliki lafundisha utii na unyenyekevu pamoja na tafakuri ya kina kwa waumini wake wote Hali ni tofauti na...
4 Reactions
27 Replies
1K Views
wakuu napitia msoto sijui natokaje hapa nilipo, age yangu 29 yrs ,ni mtu mwenye ndoto kubwa lkn naona kila nikitafuta mafanikio naona kama napokea matatizo yakutosha. elimu yangu nina bachelor...
13 Reactions
84 Replies
3K Views
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Mahmoud Thabit Kombo amechanganua Mtu ambaye anastahili kutambulika kuwa ni Diaspora kwa mujibu wa Sheria za Tanzania. Amesema...
0 Reactions
3 Replies
966 Views
Nataka kusafiri kwenda Ziba lakini Sina hela ya basi naomba kama Kuna dereva wa Lori anayepita njia ya Igunga aniache Ziba, nitachangia kidogo
0 Reactions
4 Replies
876 Views
Taasisi ya Tiba ya Mifupa na Ubongo Muhimbili (MOI) kwa kushirikiana na Umoja wa Wanataaluma na Wajasiriamali wa Kanisa la Wa Adiventista Wasabato Tanzania (ATAPE) wametoa matibabu ya kibingwa na...
0 Reactions
3 Replies
346 Views
"Hatuwezi kuendesha Shirika la Posta kama tulivyokuwa tunaendesha miaka ya nyuma, lazima twende na mabadiliko ya TEHAMA na mahitaji ya sasa ya Dunia, na ndio tafsiri ya kauli yangu ya...
1 Reactions
3 Replies
587 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…