Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Nchi yoyote kubaki hai ni lazima iwe inapitia pol-econo social revolutions sio nchi kubaki constant kama maiti miaka yote Tanzania imekua nchi-nfu tangu tupata Uhuru, wananchi hawajawahi ku...
7 Reactions
32 Replies
1K Views
At last serikali kupitia waziri wa Ujenzi ndg Abdalla Ulega, imesema rasmi leo kuwa hairidhishwi na spidi ya ujenzi wa barabara ya DART inayotegemewa kuwa ya mabasi ya mwendokasi. Akiongea na...
2 Reactions
30 Replies
2K Views
Jana kwenye msiba wa mhe marehemu Makamu wa pili wa rais, Waziri mkuu mstaafu Cleopa David Msuya nilisikia mshereheshaji wa serikali akichanganya mafaili nikagundua ni bahati mbaya hajui na wengi...
10 Reactions
32 Replies
2K Views
Enzi za Kisu cha ngariba Njemba ukikatiza mtaani mademu watasemezana ama Ana Muhogo au ana โ€œ kichwa cha paka โ€œ lakini Siku hizi utasikia jamaa ni Kibamia ama ana mbilimbi Kwahiyo nakubaliana...
1 Reactions
15 Replies
472 Views
Maelfu kwa maelfu wanakikimbia Chadema kwasababu ya sera za kibaguzi zinazo fanywa na Lissu na Heche. Wanachama wamekerwa sana kiasi kwamba wanajutia kuchaguliwa kwa Lissu na Heche kuwa viongozi...
2 Reactions
12 Replies
630 Views
Sio kwamba ni wavivu, wajinga au sio wajanja, ni basi tu fursa kama yako haijawafikia.
12 Reactions
19 Replies
773 Views
Matukio mengi sana yanayofanywa na askari wa JWTZ wanaojichukulia sheria mkononi kwa kupiga raia na kuwasabibishai vifo na ulemavu kwa sababu za labda kuibiwa mali au kukosana na raia...
0 Reactions
21 Replies
3K Views
Waziri wa Uchukuzi Mhe. Profesa Makame Mbarawa, ameliarifu Bunge namna serikali inavyonufaika na fursa zake za kijiografia kwa kubuni na kukamilisha miradi mikubwa ya kimkakati ili nchi iweze...
2 Reactions
9 Replies
516 Views
Tuburudike kidogo na Video hii, Kwa Hakika CCM hawana Furaha ,Licha ya CHADEMA Kuwa wanyonge ila wanafuraha.
5 Reactions
10 Replies
823 Views
Nilikopa boom advance bhana, Sasa hili boom ndio la mwisho na hela ikiingia tu kwenye account inakatwa automatically na system Wazee wa IT nitumie njia gani kukwepa deni hili ??
1 Reactions
5 Replies
467 Views
Watu wa makabila mbali mbali walioko mijini ama mbali na nyumbani (sehemu ya asili yao) mara nyingi wakitaka kusema wanarudi kwao watataja jina husika la mji ama sehem anayotoka. Mfano kwachaga...
20 Reactions
300 Replies
23K Views
Stendi ya makumbusho ni kati ya Stendi ambazo zimekuwa zikipokea daladala nyingi kutoka maeneo mbalimbali ya Jiji la Dar es salaam, lakini stendi hiyo imekuwa ikipoteza hata ubora mdogo...
2 Reactions
7 Replies
1K Views
Nina imani sote humu tuko njema. Niende direct, kumekuwa na wimbi kubwa la watoto wenye umri kati ya 7-14 wamezagaa sana mitaani mkoani Kigoma hasa Kigoma Mjini Hii nadhani ni tatizo kubwa...
1 Reactions
5 Replies
370 Views
Balozi Polepole ameandika hivi katika mtandao wa kijamii Kama sehemu ya kuhamasisha matumizi ya TEHAMA katika zama hizi za Mapinduzi ya Viwanda ya Nne ambayo yanaleta pamoja watu na TEHAMA...
2 Reactions
6 Replies
561 Views
PSSSF (Mfuko wa Hifadhi ya Jamii kwa Watumishi wa Umma PSSSF) unatekeleza huduma bora kwa wastaafu kwa kuhakikisha wanapata mafao yao kwa wakati na kwa urahisi. Huduma hii inaboresha maisha ya...
4 Reactions
2 Replies
411 Views
Mambo yanayondelea CHADEMA inawezekana yakaonekana mageni machoni mwa watu wengi CHADEMA ina vita mbili, vita ya kwanza kati ya CDM ya sasa na iliyopita CDM ya sasa imeshindwa kuvaana na...
1 Reactions
9 Replies
648 Views
Magari yanayosafiri kutoka Bukoba mkoani Kagera kuelekea mikoa mingine, yamekwama katika eneo la Kyetema kufuatia kuharibika kwa barabara ya dharura inayotumiwa na magari hayo na kusababisha adha...
1 Reactions
2 Replies
833 Views
Habari wakuu! Kama kichwa cha uzi kilivyojibainisha ukweli ni kuwa Afrika bado haina Umoja. Sote tunajua wanaharakati kama Kwame Nkurumah walihubiri kuhusu hili ila bado juhudi zao hazikuzaa...
0 Reactions
0 Replies
174 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ