Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Mei 15 kila mwaka nchi ya Burkina Faso inaadhimisha siku ya mila,desturi na tamaduni. Siku hii ni fursa ya kuonesha vyanzo vyenye rutuba vya maarifa ya mababu zetu ili kuhamasisha upendo wetu kwa...
0 Reactions
4 Replies
332 Views
Ukianza kuingia singida na ukanda wa ziwa kuna mawe yanayo tumika kujenga misingi ya nyumba za huko. Ingekuwa kwa wenzetu ndio wamepata haya mawe basi mpaka uchochoroni kungekuwa na rami.
5 Reactions
22 Replies
916 Views
Tafadhali angalia wawakilishi na viongozi wa Tanzania. Kuna viashiria vya urithi katika siasa.
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Kipindi wanajeshi wa uganda wakifanya uvamizi na kuumiza watu ila mkuu wa mkoa muhamed kisoki aliwaita wanahabari na serikali kusema kinacho endelea mpakani ni mambo tu ya kutoelewana. Wakati...
0 Reactions
1 Replies
269 Views
Nina hoja ya msingi kuhusu jinsi baadhi ya mitandao ya mikopo ya simu inavyokiuka makubaliano ya ulipaji. Kwa mfano ukikopa tarehe 15 mwezi huu, makubaliano yanaonyesha kwamba malipo yanapaswa...
1 Reactions
15 Replies
799 Views
Kati ya maajabu niliyokutana nayo Duniani yapo sita ambayo mpaka Leo yanaishi kwenye fikra zangu. 1.ilikuwa kati ya miaka 96 ad 98 wakati mdogo niliona nyoka ana vichwa viwili niliogopa...
40 Reactions
212 Replies
10K Views
Habari wakuu, Ni aibu kuwa na mbunge kama huyu haoni umuhimu wa periodic table kisha baadae utamkuta anasifia mama ameleta soko la madini kuna kila sababu ya kufanya reform kabla ya uchaguzi watu...
23 Reactions
137 Replies
6K Views
Nimeshangaa Mbunge wa Arusha kuzindua daraja lenye mabanzi mawili Yaani ameenda ni timu ya viongozi kutoka CCM kufanya mzaha na upumbavu kama huu Hilo daraja kulitengeza haizidi elfu 20 za...
12 Reactions
88 Replies
4K Views
Unaacha familia yako na watoto wako kwa uchungu unakwenda vitani kupigana mpaka kifo na mwanaume mwenzako aliyeacha familia yake kwa uchungu mkubwa kama wewe kwa sababu ya maamuzi ya wapuuzi ambao...
22 Reactions
133 Replies
15K Views
Mfano kusikia gharama za maisha ya mkoa flani zipo chini kumbe kuingiza hata pesa kidogo ni shida, Kusikia mkoa flani una mzunguko wa pesa kumbe kumbe maisha yapo juu mno
1 Reactions
7 Replies
639 Views
"Wakati mwingine, wewe ndiye tatizo." Kuna baadhi ya kweli katika maisha ambazo ni ngumu kumeza—lakini kuyakwepa hakuyabadilishi. Yanauma, lakini yakikubaliwa, yanaweza kukuokoa. Ukitaka kuwa...
3 Reactions
4 Replies
517 Views
Wajeda wamejengewa baa zao lakini wanakuja kitaa pub zetu huku ukizingua kidogo wanakuzibua Haya sasa mmoja kapoteza life hivi hivi mwisho wanakuja kutupiga wengine hatujui chochote. Tupo...
111 Reactions
413 Replies
34K Views
Kununua gari ya Range Rover ya milioni 150 kwa mshahara wa laki tano (500,000 TZS) kwa mwezi ni jambo gumu sana bila vyanzo vya ziada vya kipato, kwa sababu gharama hiyo ni kubwa mno ukilinganisha...
6 Reactions
21 Replies
2K Views
Nimeibiwa sim na nisharipot police Sasa niitrack au police watakula ela zangu Nawaza niachane nayo tu lakini moyo unasema labda nijaribu upande mwingine naona nitapoteza mida na fedha Maana...
30 Reactions
223 Replies
8K Views
Salaam wakuu, Najua humu kuna watu jasiri, lakini nawaambia leo hili si jambo la mzaha! Kuna watu waliowahi kukaribia kifo na walipoamka, walikuwa na simulizi za ajabu, zisizoelezeka, na...
3 Reactions
31 Replies
2K Views
Habari zenu wadau, nimetumiwa ujumbe kwenye namba zangu mbili tofauti kuwa nilitafutwa muda flani na hawakunipata kwa hiyo wananiomba nifike kwenye ofisi ndogo za hazina ya mkoa. Mimi binafsi...
2 Reactions
7 Replies
617 Views
Wasalam wakuu.. Katika kipindi hiki cha mvua hapa dasalam na hata mikoa mingine tujitahidi kuwa wasafi. Magonjwa ya milipuko kama kipindu pindu ndio yanaanziaga hapa. Kwa wale wenzangu wa nyumba...
8 Reactions
105 Replies
3K Views
Kuna baadhi ya wafanyakazi kazini ni kama wanakinga , hawaguswi hata wakikosea vipi. Wanafanya makosa ya wazi, lakini hawaguswi. Lakini wewe ukisema tu kitu kidogo, unaandikiwa barua...
9 Reactions
34 Replies
2K Views
Majibu na: CHAT GPT Haha, Ukweli ni kwamba watu hawampigi mbu tu, bali wanatoa adhabu ya kihisia kwa "uhalifu" mkubwa wa sauti usiku na kuchukua damu bila ruhusa. Lakini kiuhalisia, sababu kuu...
11 Reactions
23 Replies
1K Views
Asalaam, Hopefully wote mpo salama na mnaendelea vizuri kabisa na shughuli zenu nzito za ujenzi wa taifa letu pendwa la Tanzania. Well, This week niliona Wizara ya Nchi Ofisi ya Rais, Menejimenti...
0 Reactions
1 Replies
265 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…