1. Ongezeko la Bajeti – Bajeti ya Wizara ya Madini imekuwa ikiongezeka mwaka hadi mwaka. Kutoka shilingi bilioni 89 mwaka wa fedha 2023/2024 hadi shilingi bilioni 231 kwa mwaka 2024/2025. Kwa...
Watumwa wengi kutoka Tanganyika na Afrika Mashariki walipelekwa Uarabuni na Afrika Magharibi walipelekwa Marekani kusini na kazkazini kama mnavyoona hapa chini
Taifa hili kuna eneo muhimu linafumbiwa macho hasa taarifa za Mauzo ya Bidhaa Nje ya Nchi.
Ni vema Serikali hasa Wizara ya viwanda na biashara na msemaji wa ikulu pamoja na yule wa Serikali...
Siku ya juzi na janausiku nilisumbuliwa na maumivu makali ya mdudu ndani ya kidole cha pete.
Huyu mdudu anakusubiri umalize mishe zako, vile umetulia au umelala yeye ndio anaanza kazi yake, ni...
Wakuu niende moja kwa moja kwenye mada nipongeze ujasiri wa mueshimiwa Raisi mama samia kuhusu mradi wa nyuklia na kupendekeza itunufaishe wenyewe kwanza iyo uraniam.
Ushauri wangu kabla ya...
Mustakabali wa intaneti unapokuwa chini ya mamlaka yenye uwezo wa kuzuia mitandao ya kijamii na kuwaruhusu wananchi kuona au kusikiliza kile tu wanachotaka—kama ilivyo kwa China na Korea...
Tanzania kuna shule zozote za msingi na sekondari ambazo zimejengwa pembezoni ya bahari, ziwa au mto kwenye mazingira ya kuvutia ambapo wanafunzi wanaweza kuwa wanasoma huku wanatazama maji?
Mtaa kwa mtaa tukizungumza na vijana kuhusu umuhimu wa amani ya nchi yetu ya Tanzania, tukizunguka kwenye vijiwe mbalimbali ndani ya jiji la Dar es Salaam na kufanya interview na vijana kubaini...
Sio lazima arithishe familia yake, Tatizo hashirikishi hata ndugu zake. Ni kwa lengo la kupunguza upotevu wa mali, Matapeli kujimilikusha vitu kiholela, n.k.
Wala hakuna ugomvi familia inaishi...
Juzi nilipost hapa namna akaunti binafsi ya Rais wa Zanzibar kwenye Chanel ya WhatsApp,inavyotoa taarifa yake kama na yeye anaripoti badala ya kueleza kile alichofanya
Baada ya hapo nimeona...
Kwa heshima na taadhima kwenu Wana-JA Mungu ashukuriwe na mtaji wa pumzi ninapumua na afya njema ila swala la kiajira nimekwama nishapita kwenye jukwaa la ajira ila nimeona nije na hapa maana...
Ulaya ilikuwa inanuka. Tena inanuka sana.
Wazungu walikuwa wachafu, sema haya mambo hutokuja kuyasikia wakiyaandika kwenye vitabu vyao.
Unawajua watu walioitwa Moors? Hawa walikuwa watu weusi...
Utafiti wa kisayansi uliofanyika huko Sweden unaonyesha ufaulu wa wanawake warembo ulianguka pale ambapo mdarasa na masomo yaliyahamishwa mtandaoni wakati wa janga la COVID-19.
Naibu Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ambaye pia ni Waziri wa Nishati Dk, Doto Biteko anatarijiwa kuwa mgeni rasmi katika ufunguzi wa Mkutano wa 14 wa Jukwaa la Usimamizi wa...
Uwanja wa nanenane uliopo jijini mwanza nyamhongolo umejengwa baa za kuuza pombe, Kuna huduma zote nyama choma, malaya kibao na sehemu za kucheza watoto.
Ikumbukwe kuwa huu ni uwanja uliotengwa na...
Wasaalam.
Bajeti ya Wizara ya Maendeleo ya Jamii Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum kwa mwaka wa fedha wa 2025/26 itasomwa tarehe 27 Mei, 2025.
Karibuni kwa ufuatiliaji.
Ahsanteni sana.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.