Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

SERIKALI imesema mahitaji ya walimu wa masomo ya sayansi na Hisabati ni walimu 47,354, waliopo ni 30,044 na upungufu ni walimu 17,312. Hayo yameelezwa leo bungeni Mei 29,2025 na Waziri wa Nchi...
1 Reactions
5 Replies
757 Views
Leo jioni niliandika mada kuhusu walimu wa kikenya walivyokuwa wanakunywa nyuka mabel mstarini, lakini cha ajabu naona sijui ni wakenya wameingilia kati ? uzi ume editiwa yaani ili uonekane laini...
2 Reactions
6 Replies
437 Views
Kuna orodha imetoka kwa wanafunzi waliomaliza kidato cha sita kwenda JKT kwa lazima. Hii hapa ipakue. Sasa nauliza kwani ni lazima?
2 Reactions
42 Replies
3K Views
Vijana wameombwa kujitafutia kipato kwa njia ya halali ili kuepusha madhara yanayo tokana na wizi kama ambavyo alivyofanya Rajabu Jumanne Mkazi wa kijiji cha Njilii Halmashauri ya Itigi Wilaya ya...
4 Reactions
35 Replies
2K Views
"Elon Musk alijitolea kununua tuzo yangu ya Ballon d'Or yangu kwa $1-bilioni lakini nilikataa ofa hiyo." __ George Weah Tuzo yangu ya "Ballon d'Or yangu sio tu mafanikio yangu makubwa katika soka...
1 Reactions
4 Replies
382 Views
Ule msemo wa 'ukionja asali utachonga mzinga' umeanza kudhihirika kwa Wa-sauzi waliokatiwa pande kubwa la ardhi na chuo kikuu cha Dar-es-salaam al-maarufu kama 'MLIMANI CITY'. Hali kadhalika kuna...
8 Reactions
77 Replies
12K Views
Salaam. Nimejiuliza hili swali kwa muda mrefu na hua nakosa majibu. Huu ukiritimba tumeukuta na hatujawahi jiuliza kwanini tunauendeleza mpaka leo. unaweza ukakuta jitu lilikua la hovyo sana...
8 Reactions
50 Replies
1K Views
KUOTA NAPAA MARA KWA MARA... Mambo vipi ? Nimekuwa na tabia ya kuota NAPAA mara Kwa mara Toka zamani na kucheza michezo ya kupaa sehemu mbalimbali aswa kwenye milima,miti yaani naota nafurahia...
7 Reactions
21 Replies
1K Views
https://www.instagram.com/reel/DJ0To8sRded/?igsh=MWhjaWJwb3l4Nmp6Zw==
0 Reactions
9 Replies
594 Views
Huenda ukawa ni wewe, ama ukawa hutaki kuwa wewe, let say jamaa yako (kwa ME) ama shosti wako (kwa KE), anafanya biashara gani inayomuwezesha kumudu familia? How such business is running...
4 Reactions
8 Replies
658 Views
Uislamu una muongozo gani wa kidini katika kufuga mbwa wa ulinzi au kama mnyama kipenzi(pet) na kuishi ndani ya nyumba? Hali ya ufugaji mbwa Uarabuni ikoje?
2 Reactions
83 Replies
3K Views
Kwa wanaume wenzangu habari za muda huu, naomba niende moja kwa moja kwenye mada husika kama nilivyoitambulisha hapo juu. Ikiwa una familia au unaishi bachelor tafadhali zingatia hili linakihusu...
93 Reactions
213 Replies
13K Views
Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Prof. Adolf Mkenda amesema madereva wa Tanzania waliopelekwa nchini Qatar hawajaajiriwa kutokana na kushindwa kuyatumia magari ya kisasa.
2 Reactions
14 Replies
1K Views
Mwanaume mmoja alikopa fedha, akanunua nyumba, lakini ikawa karibu kupokonywa kwa sababu alishindwa kurejesha mkopo na riba kama walivyokubaliana. Akatuma ujumbe kwenye Facebook akiomba msaada...
4 Reactions
4 Replies
318 Views
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, amemtaka Mkandarasi anayejenga barabara kutoka Mjini kati Ohio hadi Mwenge na Tegeta, kufanya kazi Usiku na Mchana ili kuhakikisha Ujenzi unakamilika mapema...
0 Reactions
2 Replies
630 Views
Katika uchunguzi wangu wa miradi ya barabara nimegundua kampuni inayojulikana kama ESTIM inajenga barabara zenye ubora wa hali ya juu sana. Cha ajabu zaidi hawa ESTIM wapo vizuri sana kwenye...
15 Reactions
168 Replies
33K Views
Naomba nikushukuru kwa hilo. Rais alisema you are soon exiting. Hili kwangu ni jambo jema maana lilikuwa linaleta kuuana huko vijijini.
1 Reactions
1 Replies
284 Views
Mwana JF Steven Msaki ambaye ID yake siikumbuki ika najua ni member humu amefariki dunia Kwa waliokulia masaki miaka ya 2000 kushuka chini,au Mbezi Beach miaka ya 2000 kuendlea wanamfahamu huyu...
40 Reactions
321 Replies
26K Views
Mtungi mdogo wa Gesi wa Kilo Sita Net bei yake ni elfu 45 mpaka elfu 55 Nimecheki hii Induction Cooker direct from Factory huko China Hata tukichukilia kwamba dollar moja ni elfu 2600 hii cooker...
19 Reactions
86 Replies
5K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…