Kwenye pitapita zangu nimekutana na tangazo hili kutoka kampuni ya Bima ya Jubilee Insurance ikitangazia umma kuhusu Bi Neema Vegula kuwa sio sehemu ya familia ya Jubilee Insurance.
Ukilisoma...
Baada ya Mwanachama wa JamiiForums.com aliyejitambulisha kuwa Mwanafunzi na Mnufaika wa mikopo ya Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) kudai wamecheleweshewa fedha za kujikimu...
Mhadhiri na Mwanzilishi wa Utafiti wa Mitandao Jamii Tanzania,Dkt.Jabhera Matogoro amesisitiza kuwa suala la Mawasiliano kwa Watu wote sio chaguo bali ni maamuzi ambayo yanatakiwa kutekelezeka...
Makabidhiano ya magari hayo yamefanyika kwa nyakati tofauti tofauti katika vituo hivyo yamefanywa na Mbunge wa Jimbo la Maswa Magharibi, Mashimba Ndaki.
Akizungumza wakati wa makabidhiano...
Katika kuhakikisha Tanzania inapiga hatua kwenye Masuala ya Teknolojia kupitia hotuba yake aliyoitoa bungeni Mei 26 2025 mjini Dodoma.
Waziri wa Mambo ya ndani ya Nchi , Innocent Bashungwa...
Wakati huu wa joto la kisiasa sio kila jambo ni lazma kulitolea kauli mengine mtu unatakiwa ukubali yakupite.
Mbaya sana kufunua mdomo kuongea jambo usilokuwa na uhakika nalo.
Pia soma: Pre...
Baada ya Gwaji boy kutupa jiwe gizani kupitia mkutano wake na waandishi wa habari , ambapo hoja zake zilienda moja kwa moja katika kuhoji uwajibikaji wa taasisi ya Raisi kufuatia kuongezeka kwa...
Jumla ya migodi 13,279 pamoja na bohari za baruti 164 zimekaguliwa nchini kuanzia Julai 2024 hadi Machi 2025.
Hayo yameelezwa Mei 28, 2025 jijini Mwanza na Mkurugenzi wa Idara ya Leseni wa Tume...
Mdau wa JamiiForums alitaka ushauri kuhusu tabia yake ya kunywa soda mara nne kwa siku, ambapo anaona si hali ya kawaida na alitaka kujua jinsi anavyoweza kuacha matumizi hayo ya soda.
Soma...
Mbunge wa Kionondoni, Abbas Tarimba anajua uchungu wa kupoteza watoto, na sio mtoto tu, bali watoto wasomi wanaochangia katika ujenzi wa taifa
Nimemsikiliza kwa umakini akisimulia mwaka 2019...
Kumekuwa na kawaida ya kupanda kwa kugombania mabasi ya mwendokasi nyakati za asubuhi kituo cha Mbezi Luis hasa kwa route ya Gerezani inayopelekea mkaguzi wa ticket kuzidiwa na kushindwa kukagua...
Inadaiwa kuna Treni ya Abiria imepata ajali kwa kugongwa na Gari maeneo ya Tabora huko, wenye taarifa zaidi watujuze.
=============================
Abiria wa Gari Moshi wamenusurika kifo...
Habari wakuu
Zee la michongo nimewaletea digital items katika kipindi hiki cha no reform no election๐
๐ฒExpress vpn(subsribed) no ads with high speed.
๐ฒNetflix
๐ฒDisney
Na zingine nyingi
Request...
Naona sasa 2025 kila mtu wa ccm anaweza kuja na ukora wake.
Huyu mbunge erick shigongo kwanza nilianza kumuona muongo na vitabu vyake kama kile cha raisi anamtaka mke wake.
Sasa jimboni ana...
Na: Rorschach
Katika jamii zetu, tunaamini kuwa yeyote anayekwenda kanisani au msikitini ni mtu wa dini, muumini thabiti wa mafundisho ya imani husika. Lakini swali la msingi ni hili: Je, watu...
Rais wa Tanzania Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan ameiona Video ya Mwalimu Yusuph ambaye hana mguu mmoja lakini amekuwa akifanya kazi kubwa na yenye ubunifu katika kufundisha Watoto na kuwafanya...
Siri Iliyofichwa Kwenye Ramani Yako ya Kuzaliwa
Katika ulimwengu huu wa ajabu, uliojaa mwanga, giza, na misukosuko, kuna ukweli mmoja mkubwa ambao watu wengi hawajawahi kuambiwa
Hakuna binadamu...
Google imeweka mfumo mpya wa watu kuweza kujaribisha mavazi ya nguo au viatu kabla ujanunua mtandao na kuangalia kama yanaweza kukufa kwa kukutoa kwenye Muonekano bomba endapo ukifanikiwa kuvaa...
Kuna dhana nyingi sana kwamba si rahisi kuwakuta paka wakiwa katika mapenzi. Ipo dhana kwamba ukikuta paka wanafanya mapenzi eti hiyo ni nuksi.
Kuna kipindi nilikutana na kisa ambacho sijawahi...