Habarini,
Waafrika ifikie wakati tuanze kuwaza kwa akili na bongo zetu,hivi kweli kama makanisa na misikiti yangekuwa na UMUHIMU serikali za Afrika zingeyafunga?
Je serikali zinazofunga makanisa...
Habarini,
Hivi karibuni nilileta hoja ya hospitali nyingi za serikali kuwaandikia dawa wagonjwa na kuwataka walipie dozi nzima na wakishalipia ndani ya muda mfupi wanabadilisha dawa na kuwataka...
Baba hana uwezo kabisa wa kumpeleka mtoto songea JKT. Hawezi kupata nauli ya kwenda huko na mahitaji mengine.
Anaamua kutokwenda.
1. Akiacha kuna tatizo lolote? sheria inasemaje?
2. Nimemshauri...
Beautifully Beach Plot for Sale at Kigamboni Kibugumo
โArea size 18 acres
โPrice 1.3m usd
โDocument Title deed
โDistance from main road is 1km
Contact us and Schedule a visit:
๐น๐ฟ+255758844717
Akijibu hoja iliyoibuliwa na Mwandishi wa Habari kwenye kikao maalumu baina ya Ofisi ya Msajili wa Hazina na wahariri, kuhusu changamoto ambayo imekuwa ikijitokeza kwa nyakati tofauti kwa Shirika...
MILIMA 10 MIREFU DUNIANI; HIZI NDIO NCHA ZA JUU KABISA ULIMWENGUNI.
Na. Comred Mbwana Allyamtu (CMCA)
Saturday-04/06/2022
Kilimanjaro National Park Marangu Mtoni, Kilimanjaro Tanzania
Jana...
โIkiwa huwezi kusoma vizuri, kufikiri kwa mantiki, au kuelewa habari unazozipata โ basi wewe si sehemu ya suluhisho, bali ni mzigo wa taifa.โ
Ni wakati wa kusema ukweli bila kificho: Ujinga sio...
Barabara nyingi za pembezoni jijini Dar es Salaam zipo katika hali mbaya sana kufikia Juni 2025, zimetoboka kupita kiasi.
Tunatoa wito kwa TARURA kuchukua hatua za haraka kuziba matundu hayo...
Msajili wa Hazina, Nehemiah Mchechu amesema takribani Sh Bilioni 900 zimekusanywa kutoka taasisi za umma na kampuni ambazo Serikali ina umiliki wa hisa chache zipatazo 200.
Amesema โHadi kufikia...
Wafanyabiashara wa Kijiji cha Ipunga wametakiwa kufanya shughuli za kujitafutia kipato kwaajili ya familia zao bila kusahau malezi ya watoto wao ili kuwawezesha watoto kukua vizuri kutokana na...
Hakuna wizara ambayo ngumu kama wizara ya Mambo ya Ndani, naona wangesoma waliopitia hii wizara na mwisho wake walikuwaje.Kuna wengine mpaka wakadharaulika, wengine walijiondoa kulinda heshima...
Tafiti za Kiafya kuhusu Afya ya Akili zinaonesha Binadamu yeyote katika wakati fulani hukabiliana na mambo kadhaa yanaweza kuathiri Ubora wa Afya ya Akili kwa muda mfupi au kubaki na athari hizo...
Wapo watu wanadhania Mungu haoni maumivu ya watu wake!
Kuna watu wanafikia hadi kuhoji kama GWAJIMA angekuwa na Mungu asingefanya vile na vile!
Iko hivi kanuni ya Mungu haijawahi kubadilika...
POSTA KUSHIRIKIANA NA TANTRADE KURAHISISHA USAFIRISHAJI WAKATI WA MAONESHO YA SABASABA
Shirika la Posta Tanzania (TPC) na Mamlaka ya Maendeleo ya Biashara Tanzania (TanTrade) wametiliana saini...
Mzee Exavery Mgavilwa (71) maarufu kwa jina la Boy Safi ambaye ni mkazi wa kijiji cha Ninga halmashauri ya Wilaya ya Njombe ameiangukia serikali akiomba kufikishiwa nishati ya umeme nyumbani kwake...
Katika habari njema kuhusu Maendeleo ya Teknolojia ni hii ambapo nchini Tanzania iko mbioni kutunga sheria Pamoja na kuweka muongozo kwa kuweza kutekeleza mfumo wa kitaifa wa mtandao wa simu...
Siwafahamu wahanga, lakini baada ya kusikiliza mathila yaliyowapata, nimejikuta nalengwalengwa na machozi!
Kama mimi mwanaume, tena nisiye na ukaribu wowote na wahanga nimeumia hivi, watu wao wa...
Hebu tengeneza picha umeajiriwa, halafu aliyekuajiri anakutumikisha kwa mateso makali na mwisho wa siku anakulipa mshahara wa kifo!, Je kabla ya kuanza hiyo kazi, utakubali kutia sahihi mkataba...
SIRI NA MUSTAKABARI WA MAISHA YA SASA YA WANASIASA NA WASANII DUNIANI
Tom McDonald ni msanii wa muziki wa hip-hop ambaye ameweza kujitokeza na maudhui yanayohusiana na masuala ya kijamii, siasa...