Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Nchi nyingine, watu maarufu na Mastaa usimama na Wannchi linapokuja swala au jambo la maslahi ya wananchi kwa ujumla. Huko South Africa, Nigeria hata hapo kwa majirani zetu Kenya wasanii wengi...
33 Reactions
97 Replies
4K Views
Mmmh Mkurugenzi mzima wa idara ya habari anaandika hivi. CHAUMMA jitajidini muwe na namna ya kuvutia kwenye uandishi wenu
0 Reactions
6 Replies
598 Views
Protas Magesa Katibu wa zamani TSC (Teachers Service Commission)wilaya ya Bunda anatajwa na wajumbe wengi kama kiongozi anayestahili kuwa naibu Katibu mkuu CWT. Hakika kwa walimu huyu mtu...
0 Reactions
0 Replies
313 Views
Kuna mambo mengine ukisikia mitaani unaweza kusema wanawatetea watu ambao hata wajawahi kuwepo kwenye hizo nchi. Yani mfano mimi ni muone putin au marcon kuwa watu wenye haki wakati sipo nchini...
0 Reactions
1 Replies
304 Views
Mambo haya , yanaenda kutimia
2 Reactions
4 Replies
443 Views
Hii ni kwa wazazi Tu na walezi, kataa ndoa piteni pembeni. Hapa naomba tupeane ushauri jinsi ya kulea watoto wetu. Kama Una maoni au ushauri ambao unaona inafaa kwa wazazi wenzako pls share hapa...
3 Reactions
3 Replies
293 Views
Nsikuchoshe na Usinchoshe, Tusichoshane! Akiwa Makamu wa Rais,Samia Suluhu Hassan alinikuliwa akitamka maneno ya Kejeli,dhihaka na dharau Kwa wapiga kura wa Chunya Mkoa wa Mbeya ! "Msipigie...
7 Reactions
4 Replies
519 Views
1: Doctors 2: Marafiki wa mitandaoni 3: Headmasters/Mwalimu wa mwanao 4: Boda Boda 5: Boss wake kazini 6: Garden boys 7: Graduate alieko kitaa muda wote 8: Mfanyakazi mwenzio 9: Mpangaji...
7 Reactions
31 Replies
2K Views
Habari Nimekua na muda mrefu sana pasipo kuhudhuria Misa takatifu ya roman Catholic kulingana na shughuli mbalimbali ambazo nimekua nafanya pengine kukosa muda wa kwenda kanisani kutokana na...
2 Reactions
1 Replies
288 Views
Kwa wale tuliosoma ifunda tech tunajua mziki wa engineering science (physics) sio poa. Mimi tangu nipo form one mpaka namaliza form six sijawahi kupata chini ya A kwenye somo lolote lile...
27 Reactions
412 Replies
45K Views
Makala ya utangulizi katika safu mpya ya JamiiForums Na: Mwandishi wa Uchumi 360 Je, tunaishi au tunapumulia tu? Hili ni swali gumu, lakini linastahili kuulizwa. Tunaamka kila asubuhi...
0 Reactions
0 Replies
229 Views
Mtu analipwa laki 8 kwa mwezi baada ya makato yote halafu anachukua mkopo wa milioni 10+ na anaanza kukatwa karibu laki 4 kwa miaka mitano. Hizi akili watu wanatoa wapi? Hela zenyewe hamna cha...
41 Reactions
124 Replies
12K Views
Leo siku ya pentecost tunafundishwa kuwa ni sikukuu ya kuzaliwa Kwa kanisa takatifu la Mungu sikukuu ya Mavuno... Watu Wana ongea lugha mbalimbali lakini zote Zina msifu Mwenyezi Mungu... Hakuna...
2 Reactions
6 Replies
390 Views
Kuna njia nyingi ambazo watu hutumia kufifisha mjadala au mazungumzo hasa pale inapobainika kuwa kuna ukweli usiowapendeza au unaoweza kuathiri maslahi yao. Hapa kuna baadhi ya njia zinazotumika...
3 Reactions
3 Replies
337 Views
Elon Musk na Donald Trump wameingia kwenye mgogoro mkubwa hivi karibuni kwa sababu kadhaa ambazo ni 1. Mgawanyiko kuhusu “One Big Beautiful Bill” Musk amekosoa kwa nguvu muswada wa $3‑trilioni...
0 Reactions
5 Replies
528 Views
Humu JamiiForums inabidi tuanzishe campaign ya ku ignore machawa wote ili threads zao wasome machawa kwa machawa.
47 Reactions
112 Replies
4K Views
Nimeanza kumcheki jamaa mida ya saa 6 usiku, ubao wa followers IG ulikua unasoma hivi (note muda juu kulia) Saa moja baadae saa 7 usiku, ubao unasoma hivi: Imagine hii ni usiku wa manane...
26 Reactions
108 Replies
8K Views
Katibu mkuu wa Kanisa la Glory of Christ (Nyumba ya Ufufuo na Uzima), Dk Erick Shoo ametangaza kutokuwa na ibada katika matawi yote ya kanisa hilo leo Juni 8, 2025 ikiwa ni utekelezaji wa kufungwa...
1 Reactions
0 Replies
412 Views
Mambo ntakayoyafanya nikìwa Rais wa Tanzania kwa Kuboresha mazingira ya vyuo na kua ya kisaaa kama ifuatayo Kuhakikisha ndani ya campus za vyuo vya serikali barabara zote zinapigwa lami...
8 Reactions
35 Replies
2K Views
Habari wana jf. Naomba kama kuna wasukuma org. humu ndani wanisaidie mila na tamaduni za kisukuma wanazoamini ni zao, wanapaswa kuziish. Mim ni msukuma fake(mama mnyarwanda, baba msukuma) watoto...
2 Reactions
8 Replies
754 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…