Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Kwa kuwa namba za simu zote zinaelekea kusajiliwa kwa alama za vidole na matumizi ya simu janja yakiwa yanaongezeka kwa kasi, nadhani ni wakati muafaka sasa kuacha kutumia S.L.P na badala yake...
1 Reactions
65 Replies
10K Views
Kuna nyie wazazi ambao mnatabia za kizungu, unajua mtoto bado mwanafunzi especially wa kike, alafu unamruhusu kumiliki simu janja Tukiwatongoza na kuwapa mimba ,mnataka tuanze kushikana mashati...
1 Reactions
11 Replies
498 Views
Kwema Wakuu! Kutokana na mjadala fulani uliokuwa unaendelea katika Jukwaa la Intelligence nimeona nianzishe uzi huu kwa lengo la kujifunza na kuweka mjadala huru. Pia kupima katika mizania ya...
117 Reactions
3K Replies
124K Views
Kuna mdada anayeishi Tabata, ambaye aliwasajiliwa laini na mawakala wa Airtel waliokuwa wakipita mitaani. Bila yeye kujua, mawakala hao walifanya SIM swap kwenye laini yake. Baadaye, wale...
8 Reactions
34 Replies
2K Views
wakuu nimeenda benk kwa ajili ya kupata hizi mashine. Bei zake zimeniacha hoi hadi najiuliza n kukomoana au kupunguza watu
0 Reactions
11 Replies
942 Views
Muumbaji wa hii dunia aliweka kanuni zinazojiongoza zenyewe kupitia matendo yetu ili kuibalance Dunia. Hizi si kanuni za dini fulani, Kwani zinafanya kazi kwa watu wote duniani bila kujali rangi...
4 Reactions
21 Replies
2K Views
"Roho wa Bwana hataruhusu hayo, anapenda amani iwe kwenu. Hakuna amani bila haki na kama amani itakuwa kwenu, haki ni msingi wake, Roho Mtakatifu anataka awafariji hawa waliopoteza waume zao...
5 Reactions
8 Replies
532 Views
Prof. Kighoma Ali Malima ameacha hazina kubwa ya kumbukumbu zake kuhusu mwenendo wa serikali wakati akiwa Waziri wa Fedha katika serikali ya Rais Ali Hassan Mwinyi. Hiki kilikuwa kipindi muhimu...
6 Reactions
50 Replies
10K Views
Mfanya kazi ni nani ? Au ni mtu yoyote mwenye cheque number ?
2 Reactions
8 Replies
601 Views
Yule uliemuua ili uchukue pesa zake pale benki.. Ndugu zake walimzika kwa vilio, na Dunia nzima ililaani kitendo kile.. Yule bondia mwenzio ulingoni, uliempiga mpaka akazimia.. Mkewe alipiga...
10 Reactions
26 Replies
1K Views
Makundi yote ya WhatsApp Tanzania yamegeuka kuwa makundi ya ushabiki wa SIMBA & YANGA. Hatukatai kwamba mpira ni burudani kubwa sana hapa nchini, lakini sasa imekuwa kero kwenye makundi ambayo...
2 Reactions
10 Replies
643 Views
Dar es Salaam, 05 Juni 2025 – Benki ya CRDB imeandika ukurasa mpya wa mafanikio baada ya kutangazwa mshindi wa tuzo ya Benki Bora kwa Wajasiriamali Wadogo na wa Kati (SME) katika hafla ya tuzo za...
0 Reactions
1 Replies
334 Views
"Pale taasisi inapojengwa juu ya mtu mmoja badala ya misingi, huishi kama kivuli cha maisha ya huyo mtu. Na pale ukanjanja unapochukua nafasi ya utawala, taasisi hugeuka kuwa hadithi ya muda mfupi...
1 Reactions
0 Replies
227 Views
Nimetembelea masoko mbalimbali hapa Tanzania, hali ya Usafi kwakweli huwa sio nzuri, takataka, harufu mbaya, mitaro ya maji taka, vyoo vina hali mbaya . Kwanini watanzania hatuna utamaduni wa...
0 Reactions
2 Replies
321 Views
Kuamka kiroho ni hali ya mtu kufumbuliwa macho ya ndani (macho ya roho) na kuanza kufahamu ukweli wa kiroho, uwepo wa Mungu, kusudi la maisha, na hali ya ulimwengu wa roho. Ni kama kutoka...
9 Reactions
35 Replies
2K Views
Kuna msanii wa hapa kwetu Tanzania Alisha wai kusema maisha Yana ubongo wake Sasa ndugu yangu Kama wewe sio mtu wa kuchunguza Mambo unaweza mwona aliandika hivyo au kuimba hivyo ili tu kuvi weka...
2 Reactions
2 Replies
355 Views
Huyu jamaa anaitwa Ibra,kaenda kenya,badala avae bendera ya nchi yake Tanzania,yeye kavaa bendera ya nchi ya kenya. Hivi anajielewa kweli?
2 Reactions
10 Replies
499 Views
Mhu 3:20 SUV [20] Wote huendea mahali pamoja; wote hutoka katika mavumbi; na hata mavumbini hurudi tena. Kuongelea kifo sio jambo linalopendwa na wengi, sio jambo tunalolipenda, na ukiona mtu...
1 Reactions
4 Replies
301 Views
Pomoja na biblia kutowa mwongozo kuhusu wajane wa kweli na wagane wa kweli.Lakini kumekuwa na tatizo kubwa la watoto na watu wazima ombaomba jambo ambalo linatafakarisha na kudhalilisha. Kuna...
0 Reactions
4 Replies
409 Views
NAIROBI: Rais wa Shule ya Utawala Afrika (ASG), Profesa Kingsley Moghalu, amesema changamoto za utawala zinazozikabili nchi nyingi barani humo haziwezi kutatuliwa kwa kutegemea kutumia mifumo ya...
0 Reactions
0 Replies
201 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…