Miaka ya nyuma kidogo miaka ya 2011 hivi, kulikuwa na mchungaji ama niseme nabii anajulikana kwa jina hilo pale Mwanza.
Watu wengi walioenda kanisani kwake walitekwa akili kimazingara na...
Sio Kenya tu hata Tanzania ni jambo rahisi kukanusha mpaka waziri leo wa fedha kusema yale magunia yaliyo wekwa watu yenye chapa ya tanzania kuwa yalitupwa baharini.
Hivi unawezaje kujibu majibu...
Simu hizo zitakuwa na sifa zifuatazo
Zitakuwa zinatumia natural satellite kufacilitate mawasiliano
Kwa mtu aliyeko duniani atakuwa na uwezo wa kuwasiliana na mtu ambaye yupo sayari ya mars au...
Kwa muda mrefu moyoni mwangu nimekuwa na tamanio moja kubwa – kuitumikia jamii kwa njia ya Injili kupitia vyombo vya habari. Leo hii naandika nikiwa na furaha kuu moyoni, nikimshukuru Mungu kwa...
Katika hali ya isiyo ya kawaida watu Mamia ya watu wameonekana wakizoa Sukari iliyomwagika barabarani baada ya kutokea ajali Katika eneo la Lugono_ Melela barabara ya Morogoro-Iringa Leo Juni 12...
Alikuwa anazama.
Na hakuna aliyegundua...
Hakuna, isipokuwa yeye mwenyewe.
Ilikuwa Juni 2022, kwenye Mashindano ya Dunia huko Budapest.
Anita Álvarez, mwogeleaji wa sanaa kutoka Marekani mwenye...
Leo nataka kuwakumbusha mambo muhimu (sana) ambayo mtu (kuanzia miaka 27) anakiwa kuwa nayo katika maisha yake kwa rehma za Allah na kuwa na thamani kubwa sana miongoni mwao kuliko aliyejaaliwa...
Katika vitu ambavyo Kila nikifikiria nakosa majibu ni gharama ya kuchimba kisima na Ile mitambo yao kiujumla, Sote tunajua kuwa katika mitambo inayouzwa bei ghali ni mitambo ya kutengeneza...
Kampuni ya China Overseas Engineering Group imeonesha Nia ya kujenga Daraja la km 80 Kati ya Dar na Zanzibar,Naibu Waziri Kasekenya amesema Bungeni..
My Take
Kama Daraja hili litajengwa linaweza...
Nguvu za giza ni neno linalotumiwa kuelezea nguvu au mamlaka ambazo zinahusishwa na uovu, udanganyifu, hofu, uharibifu wa kiroho, au kinyume na nuru (mwanga wa kiroho). Katika muktadha wa kiroho...
Kuna Video ya kutengeneza nimeiona Facebook, Watu wenye Nia mbaya wamechukua Video clip Yako, na kuunganisha Sauti zako Toka kwenye matukio tofauti.
Video Ile Ina nembo ya Jambo tv, na Kuna page...
Na Mwandishi wa Habari Hub
Zanzibar, Juni 12, 2025
Katika juhudi za kukuza ushiriki wa wanawake katika siasa na demokrasia, Chama cha Waandishi wa Habari Wanawake Tanzania (TAMWA-Zanzibar)...
Nimetazama kwa watoto wangu nimeogopa. Hiyo ganzi mtoto anachomwa kwenye uume. Je haiwezi mletea madhara kwa uume wake kweli? Mpaka muda huu uume bado umevimba kwa hiyo ganzi na mbele ya uume pale...
Ni kwamba huenda wewe yamekukumba hapo ulipo na wala haujui kama yamekukumba huenda unadhani upo salama kumbe haupo salama mpaka siku ukitaka service ambayo Taasisi itatakiwa kuvuta information...
Ghorofa hili lipo Kariakoo, Jijini Dar es Salaam, Mtaa wa Nyamwezi na Mkunguni tatizo lake ni kuwa kuna mabati wameweka juu kama ya uzio kuzuia vitu vya ujenzi kutoanguka chini ambapo Watu...
Nimeshangazwa sana na uwezo wa kiakili wa Wana jf wakieneza slogan ya no reforms......Sasa unajiuliza Je hizo reforms zinafanyika mtandaoni? Jibu ni hapana reforms zote zinafanyika bungeni
Nini...
Familia ya Mtanzania Juma Maganga, aliyehukumiwa kifungo cha miaka 13 nchini Sudan Kusini kwa kosa la kumgonga mwanajeshi hadi kufariki, imeelezea hofu yao juu ya hatma ya ndugu yao huyo endapo...
Watanganyika Sasa wanahitaji msaada wa Kisaikolojia
Kwanza nakubali kuwa ushoga ni jambo baya Kwa maadili yetu, na inafaa ukemewe
Siku hizi watu wengi wapo wanahusisha ushoga na jambo lolote...
Kesho ni siku muhimu sana kwa nchi yetu! Bajeti Kuu ya Serikali kwa mwaka wa fedha 2025/26 inasomwa bungeni, na kila mmoja anasubiri kwa hamu kujua nini kimejumuishwa.
Hii inafuatia kauli ya...