Na Mwandishi Wetu, Dar es Salaam.
Dar es Salaam: KATIKA kuendelea kudhihirisha dhamira yake ya muda mrefu katika kuimarisha afya ya umma, Benki ya Exim Tanzania, kwa kushirikiana na Mpango wa...
Waziri wa Fedha Dr. Mwigulu Nchemba amehutubia bunge kuhusu hali ya Umaskini kupungua nchini
===
"Takwimu rasmi zinaonesha kuwa kati ya mwaka 1991 na 2018, umasikini umepungua, mathalani katika...
Serikali kupitia wizara ya afya imedhamiria kuadhimisha Siku ya Wachangia Damu Duniani kwa kufanya kampeni ya kitaifa ya uchangiaji damu, itakayofanyika tarehe 14 Juni 2025 katika mikoa yote ya...
Serikali imesema katika kipindi cha kuanzia Novemba 2020 hadi Februari 2025, jumla ya ajira 8,084,204 zimezalishwa nchini. Kati ya hizo zipo zitokanazo na sekta rasmi na isiyo rasmi.
Takwimu hizo...
Mhu 4:9 SUV
[9] Afadhali kuwa wawili kuliko mmoja; Maana wapata ijara njema kwa kazi yao.
Uwe umekutana na changamoto katika kushirikiana na watu, uwe umewahi kuumizwa na mtu uliyeshirikiana naye...
Nimejaribu kufuatilia katika maeneo na vyanzo mbalimbali kuhusu mwitikio wa wananchi juu ya bajeti ya serikali ya mwaka 2025/2026, nimebaki nikijiuliza, bajeti haina mvuto? Au wananchi wamekata...
Binafsi nikiri ni mchangiaji mzuri wa arusi ingawa ni utamaduni wa hovyo sana kukubalika katika jamii wa watu maskini na wanaojitafuta.
Kusema kweli wengi tunaoshirikishwa tunajikuta tunalazimika...
Wakuu,
Kumbe kwenye masuala ya kudihibiti ulozi nchini mwao, Serikali ya Dubai ndo iko serious hivi?
Huyu jamaa kakamatwa Airport na askari wa Dubai akiwa anaingiza mambo yanayohusishwa na...
Zamani Polisi waliajiriwa wenye elimu ndogo kwa sababu ya uhaba wa wasomi.
Nashauri Serikali itenge bajeti ya kuwaendeleza maaskari waliopo kazini angalau wawe na Diploma mbalimbali zinazohusiana...
Katika habari iliyotolewa juu ya ndege za Tanzania kupigwa marufuku kwenda Ulaya, imewekwa picha ya ndege ya Tanzania na pembeni yake Raisi Samia akinywa juice bila akiwa na tabasamu la mbali...
Siku moja kuna watu watalipa kwa damu na machozi.
Mnaofurahia ufisadi kwenye rasilimali zetu — mtalipa, nawaambieni.
Mnayefumba macho wakati waovu wanatenda kwa mikataba michafu, mnayeziba...
Kupata sio ujanja na Wala kukosa usio Ujinga, ila Yote kwa Yote Anapaswa Kushukuriwa mtoa ridhiki.
Kwa wale ambao awaamini ktk uwepo wa mtoa ridhiki(MUNGU).
Sio Kila mtu anaamini ktk Mungu, ila...
Serikali imesema katika kuwawezesha wananchi kiuchumi imefanya jitihada mbalimbali kwa kuweka mazingira ya wananchi kujitengenezea kipato kwa njia ya kuajiriwa, kujiajiri au biashara.
Hayo...
Meneja Uendelezaji Biashara Changa wa CRDB Bank Foundation, Sharron Nsule akitoa elimu ya ujasiriamali kwa wanafunzi walioshiriki semina katika Chuo Kikuu cha Dar es Salaam.
Dar es Salaam...
Eti wakuu, Jenga picha upo kijiweni saa 12 jioni baada ya kutoka kazini, mnapiga story mbili tatu, mara ghafla linatokea tukio la uhalifu, mtu mmoja anapigwa risasi barabarani/mtaani.
Ila baada...
Tatizo la Betri ya Lithium-Ion
Boeing 787 Dreamliner ilikuwa ndege ya kwanza ya kibiashara kutumia betri za lithium-ion kama chanzo kikuu cha nguvu kwa mifumo ya umeme badala ya mifumo ya jadi ya...