Parachutes ni moja wapo ya kifaa muhimu katika kujiokoa pale inapotokea majanga kwenye mazingira ambayo msaada unachelewa kufika kwa haraka, inatumiwa sana na wanajeshi kstika kazi mbalimbali...
Wakudri ni Nani na Wapo Wapi?
Wakudri ni kundi la kikabila linalokadiriwa kuwa na watu milioni 30โ40, wanaoishi hasa katika maeneo ya:
Kaskazini mwa Iraq (Kurdistan ya Iraq)...
Kabla ya Yote Thread Hii inahusu Prompt zote, Maandishi Ramani,vitabu,tafsiri , barua,uandishi, Utengenezaji wa Kila Kitu haijajikita Kwenye picha Peke yake.., Kwahiyo nawaomba Mod Wasiunganishe...
15 June.. Remember this date..
Hatujakumbukwa.. Basi nasi tusijisahau..Raha jipakulie mwenyewe hutajipunja
Una lolote la kumwambia baba yako? Liweke hapa kama kumbukumbu ya siku yake duniani...
Niliacha kufuatilia au kusikiliza hotuba za rais Samia au wateule wake baada ya kuona hajui anachoongea.
Ukifuatilia vita hii utaamini maneno ya Donald Trump kwamba nchi zetu ni Shit-holes...
Wakuu!
Leo tena nimeona isipite hivi hivi bila kutia neno lolote la maana na mimi kwenye tafakuri zangu. Hili nitakalolieleza ni moja kati ya yale mengi ambayo nimekaa nikayawaza sana kuhusu...
Haiwezekani sasa nimemeshatumia pesa nyingi kuahkikisha hili dishi linatulia zamani nilijua ni kwasababu ya hali ya hesa ila kila jioni sioni chochote sina hata raha sasa nimeita mafundi wengi tu...
Surat Yunus (10:94)
"Basi ikiwa uko katika shaka juu ya yale tuliyokuteremshia, waulize wale wanaosoma Kitabu kabla yako..."
(Qurโan 10:94)
Allah anasema kwa Mtume Muhammad, ikiwa unayo shaka...
Wakuu,
Kumbe zile kazi za ughaibuni ndo zinakuwaga hivi? katika pitapita zangu huko nimekutana na hii video binti wa kiafrika akiwa mfanyakazi wa ndani anavyokaripiwa na watoto wa boss, watoto...
Nikiwa Rais wa Tanzania moja ya mambo tutakayofanya kama nchi ni kuzalisha battery zitakazotumia dakika 5 kujaa na hii itakuwa sio tu battery za simu, bali itajumuisha battery za ndege, helicopter...
Mwanaume akiishaota ndevu na masharubu, anaanza kuwa na kiburi. Anamdharau mwanamke. Anasahau mama yake ni mwanamke. Anasahau mwanamke ndiye aliyemtunza tumboni miezi 9. Akamzaa. Akamfuta kinyesi...
Wakuu ni wiki mbili sasa nimelipia CONTROL NUMBERS za vyeti viwili lakini STATUS zinasoma PENDING na risiti ndo hizo hapo, kila nikipiga simu HELPDESK za RITA na GePG..wananipiga chenga kwa...
Michepuko imeheshemishwa sana siku hizi, nafasi yake ni kahaba alie changamka ila vijana wana wapa privilege.
Vijana wanaiga ngozi nyeupe kupigia magoti wala ugali wenzao.
Vijana wanababaika na...
UKIFANIKIWA KUMFANYA MTU AFIKIRI UNACHOTAKA BASI UMEFAULI KUMTAWALA.
Na. Comred Mbwana Allyamtu-CMCA
Sunday -8/6/2025
Marangu Kilimanjaro Tanzania.
Upo msemo wa kijasusi usemao "mfumo mbaya...
Katika shughuli yangu ya ufundi umeme napenda kushiriki nanyi mambo machache kuhusu vifaa vya kieletroniki
Hurusiwi kabisa kuchoma moto vifaa kama simu, tv, ving'amuzi, luku mbovu (meter & Sub...