Bukoba kuipiku Dubai kwa miundombinu kabla ya 2017

Unajua haiingii akilin mtu unatokea New York kwa KLM vizuri mpaka Dar es salaam unalazimika kupanda ndege za kimaskini kama Fastjet ukifika Mwanza unasokomezwa kwenye kidege kama Auric ni aibu kwa watu wasomi na uwezo kama wahaya ukiuliza eti uwanja mdogo sijui taa hamna hauruhusu ndege kubwa kutua usiku.
 
Back
Top Bottom