Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya linamshikilia Mwanafunzi wa Chuo Kikuu cha Sayansi na Teknolojia Mbeya [MUST] mwaka wa kwanza aitwaye Emilian Joseph Duzu [21] kwa tuhuma za mauaji ya Mwanafunzi...
Kwenye haya maisha usipokua Mbishi na ukaishi kibishibishi popote unapoenda ukakaa ukakubari tu watu wakuoneeonee kibwegebwege, mwanangu unakubari tu kila mpuuzi anachukua maamuzi ya kukuoneaonea...
Luka 1:1,3
Luka anaanza kwa kusema:
"Watu wengi wamejitahidi kuandika habari za mambo yaliyotukia kati yetu... Nami pia, baada ya kuyachunguza yote kwa uangalifu tangu mwanzo, nimeona vema...
Wakuu katika watu ambao wapo reckless kabisa kwenye swala la driving ni madereva wa Mabus
Mabus yameshapoteza ndugu zetu wengi sana na Wengine Kuwapa ulemavu wa kudumu Ajabu ni Kuwa mamlaka...
Ni unyama na ukatili wa kutisha! Asubuhi ya leo Alhamisi, Juni 12, 2025, maeneo ya Bonyokwa wilayani Ilala jijini Dar, wanandoa ambao majina yao hayakupatikana mara moja, wamekutwa wamekufa kwa...
Hii imetoka kwa mdau mmoja huko jukwaa la afya...
Sawa wakuu hakuna kitakachobaki wote tutakufa.. ila zingatia haya kama kijana mwenzangu ambaye ni hustler
Ile kauli ya kusema magonjwa fulani...
Wakuu kwa wale wanaolalamika kua michongo yao haifunguki, madeni, mikosi ukata, dawa yao ni hii, watoe sehem ya 10 ya mapato yao hakika hawatajutia maishani kwao daima.
Hata kama huendi katika...
Najua mmechoshwa na ' Uhimilivu wa deni la Mama ' sasa twende moja kwa moja kwenye Mada tajwa hapo juu, Zifuatazo ni kazi ambazo kutoboa kwake kupo mbalii sana..
Wafanyakazi wa Sheli za Mafuta...
Kauli maarufu inayohusiana na kwa sasa wanaitwa chawa chawa na ilitamkwa na mwanafalsafa wa Kirumi Tacitus, ambaye aliandika.
“Even the worst rulers always find men who will praise them.”...
UKWELI KUHUSU USHIRIKINA: SAYANSI INAYOFICHWA NA MKOLONI HADI LEO
By
Æfrica Macka Bara
------------------------------------
Leo nadhani hata kipofu ataelewa kile ninachoelezea katika makala...
Shetani na mapepo ni viumbe wasioonekana kwa macho. Hao ndio wanaosababisha vitisho, hofu, nywele kusisimka, unasikia maneno au sauti bila kuona mtu anayeongea, kukandamizwa kifua, kunyolewa...
Mheshimiwa Waziri,
Sisi, walimu wa Halmashauri ya Wilaya ya Busega, tunakuandikia kwa huzuni na wasiwasi mkubwa kuhusu vitendo vya ukaidi na unyanyasaji tunavyopata kutoka kwa Mkurugenzi wa...
Heshima yenu wakubwa.
Naomba kuuliza kama kuna shida kwa mtu mwenye dreadlocks (kubwa/nyingi) kwenye kufanya biometrics wakati wa kushughulikia passport?
Pia kwenye kujaza form online, kwa mtu...
Mwisho wa dunia
1. KISAYANSI:
Kwa mujibu wa sayansi, dunia inaweza kufikia mwisho wake, lakini si kwa wakati wa karibu. Baadhi ya nadharia kuu ni:
a) Mwisho kwa sababu ya jua kufa:
Jua letu...
Chama cha Wanasheria Tanganyika(TLS) kimewataka wananchi kuwa makini na watu wanaotoa huduma za kisheria bila ya kuwa mawakili(maarufu kama vishoka) ili kujiepusha na madhara yanayoweza...
Busara ya kawaida kabisa inakuelekeza upumzike sasa...uachie kijiti mtu mwingine nae aendeleze pale ulipotufikisha..huko ndiko kustaarabika.
Kwann usubiri kuondolewa kwa kuaibika kama wazee...
Baraza la Wazazi la Chama cha Mapinduzi (CCM) wilaya ya Kahama mkoani Shinyanga limeishauri Serikali kutoa mwongozo wa namna bora ya matangazo ya biashara za nguo za ndani za wanawake kwa kutumia...