Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Katika jamii yoyote inayotawaliwa kwa misingi ya haki na usawa, wananchi wanapaswa kuwa kiini cha mipango ya maendeleo ya taifa. Hata hivyo, hali imekuwa tofauti katika maeneo mengi ambapo...
3 Reactions
8 Replies
428 Views
1.Ni muda mrefu sasa sijapost thread yoyote nimekuwa na maisha mazuri Sana japo yenye changamoto nyingi.mambo ni mengi but najiskia pia faraja hatimaye nimekuwa Baba,Baba grace amezaliwa ana kama...
9 Reactions
20 Replies
1K Views
Newton 3rd law of motion iko very clear kusema "......for every action there is an equal and opposite re-action...." Kwa ufafanuzi rahisi kwa Kiingereza hichohicho, maana yake ni kuwa👇...
3 Reactions
15 Replies
740 Views
Ni 2 : 40Am nimemuona niliamka alikaa karibu na jiko Mimi muoga vibaya naombeni msaada nitumie njian gani kumtoa Alafu haonekani na nipo kitandani sijashuka nimeshusha na net kabisa Msaada je...
5 Reactions
40 Replies
2K Views
Kuna mablankenti ukilalia unajikuta unakohoa sana. Usipolilalia unakuwa sawa. Ni kama yana materials mabaya yenye kuleta allergy. Hatujui madhara mengine yanayoweza kuleta kwenye mfumo wa upumuaji...
1 Reactions
0 Replies
193 Views
ujanja ni pesa yako isitoke hivihivi, kama nimekosea mtaniambia
2 Reactions
7 Replies
548 Views
Bodi ya Ithibati ya Waandishi wa Habari (JAB), imesema haitatoa muda wa nyongeza kwa waandishi wa habari kujisajili,na kwamba kufanya kazi za kihabari bila usajili ni kosa kisheria. Kaul hii...
0 Reactions
1 Replies
328 Views
Wakuu nimekua abiria mwaminifu wa mabasi ya Kilimanjaro Express kwa zaidi ya miaka 10 sasa. Zamani huduma zilikua nzuri lakini kwa miaka ya hivi karibuni huduma yao imekua mbovu na magari...
3 Reactions
15 Replies
1K Views
Mamlaka ya Kukuza Uwekezaji Zanzibar (ZIPA) imemtunuku tunzo ya kuwa mhamasishaji nambari moja wa masuala ya Uwekezaji nchini ambaye ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe...
0 Reactions
0 Replies
218 Views
Mpo salama! Tunajua kabisa Iran inaonewa na kudhulumiwa lakini ndivyo mambo ya falme na tawala za dunia zilivyo. mdogo kumtii Mkubwa. Na kama mdogo akikaidi basi njia zozote hata zisizo halali...
13 Reactions
24 Replies
2K Views
Tofauti Kati ya Police Service ya Kenya na Police Force ya Tanzania ni nini wadau?
2 Reactions
3 Replies
260 Views
Leo Juni 17, 2025 miili ya wale wanandoa ambao inadaiwa walikutwa wamechinjwa chumbani kwao Juni 12, 2025, inaagwa muda huu katika Kanisa Katoliki Parokia ya Bonyokwa, Ilala Dar es Salaam...
6 Reactions
26 Replies
2K Views
Katika filamu ya Borat: Cultural Learnings of America for Make Benefit Glorious Nation of Kazakhstan (2006), kulikuwa na tukio la kushangaza sana nyuma ya pazia ambalo linachukuliwa kama moja ya...
1 Reactions
2 Replies
393 Views
(1) Kwanini kuna makocha maalum wa makipa na hakuna makocha maalum wa forwards, mildfilders au mabeki?? (3) Kwanini wachezaji wengi wastaafu wakiamua kuwa makocha basi ni wale mabeki, forwards au...
0 Reactions
3 Replies
364 Views
WIZARA ya Maji imezindua na kukabidhi kisima cha Maji chenye uwezo wa kuzalisha lita 12000 kwa siku ambacho kitahudumia watu 120 wanaoishi katika eneo la Shule ya Msingi ya Buigiri wasioona...
0 Reactions
0 Replies
226 Views
Naibu Waziri Nishati, Judith Kapinga amesema Serikali kupitia Wizara ya Nishati imetumia takribani shilingi bilioni 107.36 kupeleka umeme kwenye Vijiji vyote 474 vya Mkoa wa Simiyu. Kapinga...
0 Reactions
0 Replies
257 Views
Watu tisa wamefariki dunia papo hapo na wengine 44 kujeruhiwa baada ya basi la Kampuni ya Hai kugongana uso kwa uso na lori lililokuwa limebeba shehena ya sukari katika eneo la Lugono Melala...
5 Reactions
34 Replies
2K Views
Watu 28 wamefariki dunia na wengine tisa kujeruhiwa vibaya kufuatia ajali mbaya ya barabarani iliyotokea usiku wa Juni 7, 2025 majira ya saa mbili usiku, katika eneo la mteremko wa Mbalizi, mkoani...
2 Reactions
53 Replies
4K Views
Kwa wale watakaosoma shule za serikali moja ya mambo ambayo ntayatimiza kwa sababu yana-manufaa makubwa sana kwa nchi
1 Reactions
7 Replies
620 Views
Taarifa kwa uongozi wa CRDB Bank kulifanyia kazi swala hili maana ni kero kubwa sana kwa wateja wenu. Binafsi nimepata usumbufu huu mara nyingi, kukataliwa kufanya direct transfer kwa mawakala...
0 Reactions
0 Replies
361 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…