Hawa kuku sio wa kuwala kabisa, leo nilijaribu kunywa supu yake kama ilivyo supu ya kuku wa kienyeji nilijaribu supu ya Broiler duuh yaani ni kinyaa wakuu
Bila kuwekwawekwa viungo kwa wale wapika...
Mimi siamini Mungu kabisa wala simtaki kwenye maisha yangu, mimi nimezaliwa kama mkatholic nimesoma marangu kama mlutheri,.
Katika ukristo bora ulio nipa nafasi ya kusoma nakujua dini...
Kuna slogan moja kama wamejipa CCM kuwa hakiwa raisi muislamu basi maisha yatakuwa kama ya marehemu mzee mwinyi au jakaya.
Ila huyu kila anacho shika kinakwenda vibaya sijui kama 2030 tutafika vipi.
HATIMAYE Naibu Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Bara, Mwigulu Nchemba, amekiri kuhusika na video inayomwonesha Mkurugenzi wa Ulinzi na Usalama wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo...
Yaani inachanganya sana. Maana ukiwa na 50 maisha yako ni ya kupata hela ya kula tu.
Bado miaka 10 ustaafu, utaweza kutoboa maisha kweli ujenge, ununue gari na uwe na maisha
Mgomo wa madereva au wamiliki wa vyombo vya usafiri unapotokea, huathiri kwa kiasi kikubwa sana maisha ya wananchi wa kawaida—kama wapo wanaokosa kuhudhuria harusi, misiba ya wazazi, mahojiano ya...
salaam nimeona siyo mara moja kwenye vyombo vyetu vya habari vikimuhoji muhusika kwa video call wakati muhusika akiendesha gari hii ni hatua nzuri sana kiteknolojia kwani unaweza kuhojiwa na kituo...
Kutokana na ufugaji na matunzo mabaya watu wengi hufikiri au wamekuwa na mtazamo kwamba nguruwe ni mnyama mchafu sana ila huo sio ukweli wa kisayansi.
Ukweli ni kwamba nguruwe ndiye mnyama msafi...
Ukitaka kuunganishiwa umeme, unatakiwa kununua nguzo kwa gharama ya Shilingi 300,000 kwa kila nguzo. Ikiwa utahitaji nguzo zaidi, utalazimika kulipia kila nguzo kulingana na mahitaji. Gharama ya...
Siku za hivi karibuni nimekuwa nikiona trend fulani kwenye Instagram ambayo inanifanya nijiulize maswali mengi. Wadada wengi wa mjini, hasa wale wenye magari yao, wameanza kujirekodi video wakiwa...
Nimejifunza ni bora ukatatua shida zako kimyakimya kwa kuchukua mikopo kwenye makampuni au benki.
Vinginevyo utawachukia binadamu bure, mtu ulikuwa unaishi naye vizuri ukiwa na shida hata kidogo...
Habarini wana JF.Hii phone farming nahisi imeshazungumzwa ila kutokana na umaskini na matatizo ambayo CCM inatupelekea kuwa gizani ndio wao wanatumia pesa zetu kila mwenye wazo la kusaidia CCM...
Mnamo Januari 8, 2016, wakati wa operesheni ya Kikosi Maalum cha Jeshi la Wanamaji la Mexico ya kumkamata "Cholo" Iván Gastélum—mmoja wa wauwaji wakuu wa Sinaloa Cartel — maafisa wawili wa Polisi...
Habari wakuu
Natoa ushauri kuwepo na wakala wa SGR TICKETS kama zilivyo huduma ya Mpesa kila sehemu ya miji ambayo SGR inapita
Huyo wakala anapata commission kwa kila ticket atakayokata
Treni...
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Mwigulu Nchemba amelitaka Jeshi la Polisi nchini kutofumbia macho watu wanaojichukulia sheria mkononi wakati mwingine hata dhidi ya vyombo vya...
Imekuaje watanzia wamekuwa watu wapuuzi na kuupa upuuzi kipaumbele.
Kuna haya mashindano ya missgrand.
Kuna mambo ya miaka 30 ya bongofleva.
Simba na Yanga.
Kumfagilia niffer .
Na kusahau...
Habari zenu wakuu.
Tufanye una ndugu au jamaa yako aliyekupita mbali kifedha, unaweza kumbebea zawadi gani ili usiende mikono mitupu? Ile imetokea tu unataka kwenda kumtembelea sio kwamba ni...