Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Tangu misingi ya ulimwengu kanuni ya kuishi Ulimwenguni haijawahi kubadilika! Ukitaka kufanikiwa lazima kwanza utambue matumizi sahihi ya kanuni kuu 2 za ulimwengu (High na low) Mifumo yote...
5 Reactions
26 Replies
2K Views
Wadau hamjamboni nyote? Tafakuri ya kina kwa wenye ilimu ya theolojia Wagalatia hamna nafasi peponi labda muamue kumuabudu Mungu wa haki pekeyake yaani Allah Jioni njema
14 Reactions
102 Replies
3K Views
Kuna tofauti kati ya leader (kiongozi) na boss. Boss ana miliki chombo ambacho anawalipa nyie msaidie kukivusha ili anufaike zaidi ila kiongozi anasaidiana na nyie kukisukuma chombo ambacho...
1 Reactions
0 Replies
142 Views
Katiba: matokeo ya Rais hayawezi kuhojiwa katika mahakama yoyote. Tume hata ikifanya uchafu gani haishitakiwi. Sheria: wanaita sheria mpya, Chukua mfano wa upatikanaji wa Mwenyekiti, mkurugenzi...
4 Reactions
3 Replies
256 Views
Kabila la Bajau ni kundi la watu wa asili wanaoishi zaidi Kusini Mashariki mwa Asia ya Baharini, wakipatikana sehemu za Ufilipino, Malaysia, Indonesia, na Brunei. Wanaishi maisha yanayohusiana...
0 Reactions
0 Replies
367 Views
Kama Mungu ana nguvu zote na muweza wa yote kwanini Kuna mabaya duniani kwanini asingefanya dunia iwe ya mema tu? Vipi kama Mungu angefanya iwe ya mema tu watu kama hao wakauliza kwanini yawepo...
0 Reactions
6 Replies
467 Views
Huu ni uhuni mkubwa unaofanywa either na PSSSF or Hazina kwa maana kwamba michango ya pesa zinazotakiwa kuingia PSSSF haionekani kabisa na hii inapelekea kupunguza kiasi cha pesa ambacho mtumishi...
2 Reactions
9 Replies
2K Views
Wanafunzi wa marketing na biashara kwa ujumla, ni muhimu sasa kuelewa kuwa soko la leo haligawanywi tu kwa kipato (income), jinsia (gender), au umri (age). Dunia ya kisasa imeingia kwenye hatua ya...
0 Reactions
0 Replies
238 Views
Wakuu naomba ambae ana hili ua ama ameliona mahali tuwasiliane. Linaitwa clivia miniata. Asanteni.
7 Reactions
67 Replies
3K Views
Naam mkutano na wajukuu zangu pamoja na mama zao(wakwe zangu na binti zangu),,,, Hii ni baada ya kuzunguka na kuielewa hii dunia,hivyo sitaki mateso niliyopitia mimi pamoja na wanangu yafike kwa...
0 Reactions
1 Replies
253 Views
Mwenzenu nawaza fursa tu, si unajua pesa ya kutegemea mbaya.. haya tuachane na hiyo😊 Bunge hiloo linaenda zake, je huwa wanautaratibu wa kutoa zile Samani zake? Maana ni almost 5 years nadhani...
2 Reactions
17 Replies
641 Views
Kwanza, ijulikane lengo siyo kumsagia mtu kunguni ila ni kuonesha madhaifu ili kama itawezekana basi aweze kujirekebisha Pili, ieleweke kwamba kutafsiri movies ni kazi inayowaingizia watu kipato...
5 Reactions
34 Replies
2K Views
Sijaanzisha post hii kwa lengo lolote la kidini, ni pure curiosity. Ni kawaida kwamba kundi lolote linapokuwa na idadi kubwa ya waumini au wafuasi, huanza pia kuzaa watu maarufu kwenye medani...
3 Reactions
23 Replies
1K Views
Palikuwa na mfanyabiashara mmoja mashuhuri, mwenye busara na maarifa ya kipekee katika biashara. Siku moja, alipanga safari ya kwenda nchi ya mbali kwa muda usiojulikana. Kabla ya kuondoka...
3 Reactions
22 Replies
839 Views
"TRUMP JUST NOW: “ISRAEL was REALLY HIT HARD. Boy, those ballistic missiles took out a lot of buildings!” ...ikiwa alisema kwa dhihaka (sarcastically), basi ni kweli — ni mzaha wa kejeli kwa...
7 Reactions
26 Replies
1K Views
#NDOTO: 14 SOKO LA KIVULI Nilijikuta nimesimama kwenye soko lisilo la kawaida—kila mtu aliyekuwa pale alikuwa kivuli, si mtu kamili. Waliuza vitu visivyoonekana: mtu mmoja aliuza “heshima,”...
0 Reactions
0 Replies
212 Views
Tajiri hasalimii.. UFAFANUZI KWA KIFUPI. Ninaposema siamini uwepo wa Mungu simaanishi Mungu hayupo, pengine yupo au hayupo ila ni mimi ndiyo siamini. Na ndiyo maana huitwa: Imani  za kidini...
5 Reactions
43 Replies
2K Views
Iwe ni uwekezaji, kununua kitu, matumizi mbalimbali ya fedha n.k ambapo ulifanya na baadaye ukaona hauna faida au ukakusababishia matatizo. Tuelezee kwa kina tujifunze ili tusirudie makosa ya...
10 Reactions
103 Replies
4K Views
Wakuu nimevumilia hili lakini naona linazidi. Siku hizi kuna wimbi kubwa la watu wameona kuandika maudhui ya kukejeli kabila la wasukuma ni ujanja ama ni Content ! Na wengine wasiojielewa...
26 Reactions
146 Replies
6K Views
Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) imewaomba viongozi wa dini mkoani Morogoro kukataa, kukemea, na kufichua viashiria vya rushwa kuelekea uchaguzi mkuu wa Oktoba mwaka huu.
1 Reactions
5 Replies
298 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…