Mtu kama alifeli darasa la saba asipewe cheti Cha udereva na hasa kama alifeli somo la hisabati! Unawezaje kumpa leseni ya udreva mtu aliyefeli hisababi yenye vipengele vya kujua ,distance ,speed...
Inatia aibu na fedheha kijana umeshamaliza shule kwa ngazi yoyote na bado unakaza chogo na komwe nyumbani kwa wazazi wako. Kwa sifa hizi beba begi au mfumo wa Jero ukapambane mbele kwa mbele;
1...
Leo, Juni 29, 2025, Msemaji Mkuu wa Serikali ambaye pia ni Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Gerson Msigwa, atafanya mkutano muhimu na waandishi wa habari.
Mkutano huo...
Watu 43 wamefariki dunia na wengine 44 kujeruhiwa katika ajali mbali za magari zilizotokea Wilayani Same mkoani Kilimanjaro na Manispaa ya Sumbawanga mkoani Rukwa.
Tukio la kwanza ni la basi la...
Niaje niaje.............irani huko Amezika majenerali na wanasayansi zaidi ya 60..........kwenye vita vya siku 12 tu..........hakika huu ni ushindi kwa bibi netanyahu kwenda kwa Israel bila...
Tumezoea Kuona watu wanaumwa
Na kutegemea Dawa sana
Na wengine wanaenda kwa waganga kumbe wanaongeza matatizo
Kwa Nguvu za Mungu hakuna lisilowezekana
-Imani
Kuwa na Imani na unapo sali
Na pia...
Jana wakati wa hotuma ya Mh Rais uapisho wa viongozo mbali mbali kuna sehemu kuhusu maelekezo ya Mh Rais kuhusu matumizi ys sheria za PPRA uachwe,
Ushauri wangu kwa jopo la washauri wake...
Naweza kusema hii ni aibu kubwa sana kwa ofisa wa jeshi la magereza kushikiliwa na jeshi la Polisi akituhumiwa kumlawiti mtoto mdogo mwenye umri wa miaka 13.
Taarifa fupi ya jeshi la polisi...
Katika mitandao mingine, ukabila hujitokeza mara chache, ni mambo ya mpito, lakini Tiktok imegeuka jukwaa kuu la majivuno na mashindano ya makabila, Tiktok imekuwa kama kiwanda cha kuchochea...
NIKIWA RAIS WA TANZANIA NTAIFANYA TANZANIA KUWA SAFI NA YENYE USTAARABU MKUBWA
Ukweli ni kwamba watanzania sio wastaarabu na wasafi kwa asilimia kubwa sana, wanatakiwa kufundishwa ustaarabu;-...
TANZANIA NA ALMA WASAINI MKATABA WA UENYEJI
Serikali ya Tanzania na Umoja wa Viongozi wa Afrika wa Kupambana na Ugonjwa wa Malaria (African Leaders Malaria Alliance-ALMA) wamesaini Mkataba wa...
Huu ni mwendelezo wa somo letu la kanuni ya ubongo sehemu ya pili.
Ubongo wa kushoto
Kwenye mada iliyopita tuliona vile kazi ya ubongo wa kushoto inavyoratibu viungo vyote vya mwili upande wa...
‼️The new face of Kim Jong Un: North Korea's new tourist gem on the coast of the Sea of
June 28, 2025
North Korea has officially opened its most ambitious tourism project to date – the...
Karibuni wote katika darasa maalumu tuliloanzisha hapa Jamii Forum, lililopewa jina la: Siri za Nyota na Hatima
Katika darasa hili tutajifunza:
Nguvu ya nyota zako na zinavyoweza kuathiri maisha...
NYOTA YAKO LEO JUMAPILI JUNI 29/2025:
UKIWA NA SHIDA YOYOTE YA KINYOTA NA TIBA, NIPO MOROGORO MJINI NAPATIKANA KILA SIKU OFISINI KWANGU FOREST KILREKA KUANZIA SAA 12 ASUBUHI MPAKA SAA 12 JIONI...
Twende mbele turudi nyuma haa basi tuende mbele.
Tukiacha siasa hii kitu inatuangusha sana kwenye majukwaa huko duniani. no wonder ndio maana wakenya wanatupiga gepu sana huko kwenye mashirika...
https://youtu.be/dmc-xxRof60?si=AQyC2o1xsr_iCO7m
Bro hebu kaa chini tusimuliane hii ishu ya zamani lakini bado inabamba hadi leo. Kama uliishi enzi za Bongo Flava halisi, lazima utakumbuka ule...
Habarini wana JFwenzangu,
I hope mko gud.
Moja kwa moja niende kwenye mada asilimia kubwa ya mademu wa chuga wanazingua kichizi wengi wao unakuta wanavuta bangi, kuchanja mirungi (veve) na...
Pamoja na kuwa na bandari 3; Tanga, Dar es Salaam na Mtwara kwa mujibu wa kijarida cha CHANZO, kwa mwaka 2024 Watnzania wamepitisha Tani 455,000 za mizigo kwenye bandari ya Mombasa.
Je tunakosea...
▪️ _Umoja wa Madereva wa Mtandaoni (UMM) wamshukuru Rais Samia kwa Mazingira Wezeshi, Wawataka Watanzania Watumie SwifPack
UMM umeendelea “kukiwasha hadi SABASABA” baada ya kufanya matembezi ya...