KERO Miundombinu pale mpakani Sirari haiko sawa

KERO Miundombinu pale mpakani Sirari haiko sawa

  • Thread starter Thread starter Anonymous
  • Start date Start date
Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
A

Anonymous

Guest
Sirari weighbridge upande mmoja haufanyi kazi huduma zimesimama inabdi gari linalotokea mpakani ulazimika kuzungunga had entrance ya kwenda mpaka kupima uzito yaani imekua kero sana na huduma imesimama tokea januari tunaomba serikali ishugulikie mara moja kwani ni kero san kwa madereva na hata maderev wageni wanapata shida sana kwa sababu hakuna caution sign ya kuaribika kwa mzani

Asanteni
 
Back
Top Bottom