Habari ndugu wanajukwaa
Kwanza nianze kwa kusema hamna watu wanapitia changamoto nyingi za kimahusiano kama wanaume waliooa.
Kwasababu wanawake wengi wanaamini mwanaume alieoa ni mtu ambaye ana...
Habarini za wakati huu!
Kumekuwa na utitiri wa taasisi nyingi za ukopeshaji zikiwalenga watumishi wa umma, wakitumia njia mbalimbali kuwarubuni watumishi kukopa ktk taasisi zao huku wakijinadi...
NYOTA YAKO LEO JUMATATU JUNI 30/2025:
UKIWA NA SHIDA YOYOTE YA KINYOTA NA TIBA, NIPO MOROGORO MJINI NAPATIKANA KILA SIKU OFISINI KWANGU FOREST KILEKA KUANZIA SAA 12 ASUBUHI MPAKA SAA 12 JIONI...
-Panya Hawezi Kutapika.🐭
-Nyoka anaweza kulala kwa miaka 3.🐍
-Asali ndio chakula pekee kisichoharibika.🐝
-Twiga hawawezi kuogelea.🦒
-Nyoka hawasikii.🐍
-Mchwa hawawezi kulala.🐜
-Hedgehog hawazami...
NIGERIA. Ilikuwa sikitisho kubwa kwa waumini baada ya mchungaji wao kusombwa na maji baada ya kujaribu kutembea juu ya maji kama vile masihi Yesu alivyofanya wakati wake alipokuwa duniani.
Pastor...
Treni ya abiria ya SGR iliyokuwa ikitokea Dodoma kwenda Dar es Salaam leo asubuhi imekwama katika eneo la Stesheni ya Pugu.
Shirika la Reli Tanzania (TRC) limesema kukwama kwa treni hiyo...
Wakuu
Duniani kuna zaidi ya dini 4000, kila moja ikiwa na waumini wanaoamini kuwa njia yao ni sahihi.
Hata hivyo, Wakristo na Waislamu — wakiwa dini mbili kubwa zaidi — mara nyingi...
Ukweli nimekuwa na tabia ambayo inanipa wakati mgumu sana hasa ninapoenda sehemu harafu ukute wale mama ntilie hapo ndio nakutana na changamoto.
Mimi chakula kama kina mboga ndogo siwezi kabisa...
Hapana, hakuna Mtanzania halisi ambaye hana kabisa asili ya nje—kwa sababu karibu watu wote waliopo Tanzania leo ni matokeo ya mchanganyiko wa makabila, mataifa, na tamaduni zilizokuja kupitia...
Nashangaa sana hii ni habari kubwa watu hamsini kufa Kwa ajali huko same na jamiiforums yote isijue sio kawaida. Naomba kama kuna Uzi wa hiyo ajali nijue maana Mimi ni mpare na same ni kwetu.
Uoga wa kuchukua risk ni sumu kwa maendeleo. Hili ni tatizo kubwa sana kwa jamii nyingi za Kiafrika, na lina mizizi katika malezi, mfumo wa elimu, dini, na hofu ya kushindwa. Watu wengi wanajikuta...
Mimi ni kijana niliesomea uhasibu kwa ngazi ya Diploma, na pia nimesomea ICT kwa ngazi ya certificate.
Nina changamoto ya usikivu hafifu.
Hali hii ya kutosikia vizuri imekuwa inaninyima fursa...
Hekalu Pacha za Sol na Mon: Kupanda Ngazi ya Kusahau kwa Kimbingu hadi Kurejea kwa Ulimwengu
Ufichuzi wa Siri Zilizofichika
1. Uduality wa Kimwili-Kiroho (Mwili, Akili, Nafsi)
Marudio ya "MWILI"...
Wanajamvi kama nilivyotangiliza heading, mara kadhaa nimekua nikikutana na neno KOBAZI kwenye comment mbalimbali humu jamvini, nimejaribu kufuatilia bila mafanikio.
Juzi nimeuliza nikaambiwa ni...
Mtandao wa Watetezi wa Haki za Binadamu Tanzania (THRDC) umeeleza kusikitishwa na kulaani vikali kile ilichokiita ukiukwaji wa Haki za Binadamu uliofanywa na Jeshi la Polisi dhidi ya waumini wa...
Kupitia kitabu hiki utajifunza yoga hatua kwa hatua na kumaster mikao [asanas] kwa urahisi zaidi pia utajifunza jinsi ya kudhibiti pumzi yako [pranayama] kwa faida ya afya ya mwili na akili, pia...
Majirani zetu sasa wameongeza route ya Nairobi - Gatwick, London, UK. Kama nyongeza kwa Ile ya route ya awali NBO-LHR.
Nairobi - Gatwick - J5, Ijumaa na j2