Wakuu,
Kwanza niseme wazi mimi sio mwandishi mzuri sana, hapo tutavumiliana. Hapa naomba kwa yeyote yule ambaye anafahamu fursa au mchongo wa kimaisha wowote iwe kilimo, biashara eneo lolote lile...
Kiukweli muda unavyoenda na mimi napoteza imani sana kwenda kanisani kama ilivyo desturi kumuomba Mungu .
Sababu inayonifanya kupuuzia kanisani ni Aina ya mafundisho yanayofundishwa...
Katika kuendelea kutekeleza Mkakati wa Taifa wa Matumizi ya Nishati Safi ya Kupikia, Serikali kupitia Wakala wa Nishati Vijijini (REA) imegawa jumla ya mitungi ya gesi ya kilogramu 15 pamoja na...
Jimmy Lee Swaggart muhibiri kutoka Nchini Marekani na Mjuzi wa muziki. Nilichelewa kumjua Jimmy Swaggart lakini Punde baada ya kumfahamu uelewa wangu juu ya maandiko Matakatifu, juu ya msalaba na...
Nawashangaa sana waandishi wa habari siku hizi sijui kwanini mmekuwa kama waganga wa kienyeji!
Mnapiga ramli chonganishi kwenye kauli za viongozi!
Mnatufikishia wananchi habari ambazo wala...
Kama mdau wa utalii wanauza ndani sijawahi kuridhishwa wala kupatiwa majibu kuhusu inaitwa uwekezaji kwenye bandas za Mpanga Kipengere Game Reserve iliyopo Njombe.
Nia ovu ilianza kipindi Mhe...
Nakusihi ukipanda gari unaposafiri tanguliza jiwe kwenye gari kabla ya kupanda kafara kubwa zinatolowa kwa kasi mno mwezi huu hadi wa 10 mwishoni na kama huna ulazima wa kusafiri tulia nyumbani...
Ukiingia nyumba ya wageni yeyote na popote fanya yafuatayo kwa usalama wako:
1️⃣Kagua uvunguni kwa umakini usije kutana na kamera, kichwa cha mtu-matunguri au msukule.
2️⃣Toa shuka...
Kwa muda mrefu sasa, wafanyakazi wa kigeni waliokuwa wakifanya kazi katika mradi wa reli wa Yapi Merkezi hapa Tanzania hawajalipwa mishahara na mafao yao. Sababu kubwa ni kwamba Shirika la Reli...
Uchambuzi wa kina
1. "Kama Mungu ni mmoja mbona kuna dini nyingi?"
Kihoja: Hili linauliza juu ya mkinzano kati ya dhana ya Mungu mmoja (monotheism) na uwepo wa dini mbalimbali duniani...
Tangu mwanzo hadi ufunuo sijawahi ona biblia imetamka wazi kuwa manefili yalitokana na uzao wa mtu fulani sijawahi ona hilo andiko.Badala yake maandiko yanakuwa yanaibuka ghafla tu na kuwataja...
“Ujobless si kilema – ni hali ya mpito, lakini pia ni cheche ya mabadiliko.”
Katika kona za vijiwe vyetu vya kahawa, mitandao ya kijamii, na hata kwenye foleni za usafiri, sauti moja imeanza...
𝗫𝗶𝗮𝗼𝗺𝗶 𝗯𝗶𝗻𝗴𝘄𝗮 𝘄𝗮 𝗞𝗮𝗺𝗲𝗿𝗮 𝟮𝟬𝟮𝟱
Kwenye Events ya MWC wa mwaka 2025, wachina bhana waliweza kuonyesha simu yao mpya aina ya Xiaomi 15 Ultra ikiwa na muonekano wa kipekee na wa kuvutia kwa mwaka...
Kuna hiki kikundi wanajiita wanatoa mkopo kwa kupitia MO DEWJI Foundation na wanatumia nyaraka za Mo dewji kinyume na sheria na wana kila kitu hadi leseni za biashara na namba zao za mawasiliano...
Dar es Salaam, Julai 2, 2025: MSAFARA wa baiskeli wa Twende Butiama mwaka 2025 umeanza rasmi leo jijini Dar es Salaam, ukiwa na waendesha baiskeli zaidi ya 200 waliojitolea kushiriki safari hii ya...
Fisadi anaweza kulala muda wowote anaoutaka, anaweza kulala mahali popote, anaweza kutembea hadharani muda wowote bila bughuza.
Ila wazee wa NO REFORMS NO ELECTION lazima watembee kwa machale makali.
Karibu jamii zote za wanyama utaona hili jambo la mama kumpenda sana mtoto wake. Ng'ombe, mbuzi, kuku, sokwe, binadamu nk nk. Ni kitu gani kinafanya wanyama wawapende watoto wao?
Wakuu sio mara moja au mbili ni mara kadhaa hasa ukipiga simu haipokelewi kwa wakati.
Ukija kuuliza unaambiwa simu ilikuwa mbali,ilikuwa ndani mimi nilikuwa naosha vyombo/nafua.
Visingizio hivi...
Huwaga nachoka sana na michango ya harusi, sendoff na sherehe nyinginezo.
Ahadi na Michango kwa ajii ya Harusi ya Bwana fulani inayotegemewa kufanyika tarehe xxxx
Robert - 100,000
Wile - 200,000...