Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Wakoloni walitusafirisha kwa majahazi kama watumwa kwenda kwao kuwafanyia kazi bure (manamba) kwenye mashamba, viwanda na majumbani kwao, history mbaya sana hii kukumbukwa, maana sio tu kwenda...
29 Reactions
768 Replies
37K Views
NINA LAANI NA KUKEMEA UNYANYASAJI NA SHAMBULIO LA KIIMANI LINALOFANYWA DHIDI YA WAUMINI WA KANISA LA UFUFUO NA UZIMA.Ni Vema Viongozi wa Serikali wakatambua kwamba 1.Nikiambiwa nichague kati ya...
4 Reactions
6 Replies
518 Views
Sijui kama watanielewa, nahisi watachukia. Ila kama posho zao zimeongezwa, labda watacheka tu. Lakini ukweli ndio huu, na nimeamua kuusema wazi hapa JF -where we dare to talk openly! Kila...
5 Reactions
35 Replies
2K Views
Salaam Members! Huyu kijana ni nani? Ningependa kujua mawili matatu kuhusu yeye maana siyo kwa jinsi anavyojieleza alivyofanikiwa chini ya SSH. Vijana wengine kumbe tunasindikiza tu.
2 Reactions
39 Replies
2K Views
Baadhi ya Wananchi wanaoishi jirani na eneo ambako limejengwa Kanisa la Arise and Shine linaloongozwa na Apostle Boniface Mwamposa, wamewasilisha malalamiko yao wakidai kuwa ujenzi wa miundombinu...
1 Reactions
14 Replies
1K Views
Kwema? Likizo yangu inakuja mwezi wa nane. Nilipenda nitembelee Morogoro, Milima ya Udzungwa. Nilishawahi kupaona nilivyokua naenda Ifakara, lakini sina taarifa za taratibu na gharama za...
0 Reactions
6 Replies
474 Views
Endapo utafanikiwa kumla samaki huyu mwenye gamba gumu anayekwenda kwa jina la Oyster basi utakuwa na asilimia 99 ya kuongeza nguvu za kiume ndani ya dakika 10. Samaki huyu atakurudishia uwezo...
0 Reactions
113 Replies
57K Views
Diogo Jota amefariki wakati ambao alikuwa anaendesha gari kuelekea Kaskazini mwa Hispania kwenye Mji wa Santander akiwa na Mdogo wake Adrian, ambapo wangefika Mji huo wangevuka kupitia Ferry...
3 Reactions
17 Replies
960 Views
Habari zenu wakuu. Naomba msaada wa kuelezwa mti mzuri unaoleta kivuli lakini usio chafua mazingira kwa majani/vitunda. Kwa sasa tuna hiyo miti pichani,ina kivuli na inaleta hewa nzuri ila...
7 Reactions
89 Replies
12K Views
Mkuu wa idara ya biashara manispaa ya ubungo una shida gani? unakaa na maombi ya leseni wiki nzima? mbona hii hali tulishaisahau hapo manispaa ya ubungo. wananchi tunataka kuichangia serikali yetu...
0 Reactions
0 Replies
248 Views
Wakuu habari ya uzima wenu,,,, namshukuru MUNGU kwa uhai na neema ya upendeleo kwetu,,atukuzwe MUNGU. Basi bila kuchelewa Moja kwa moja kwa mada ,,,, tumekuwa na ubishi takiribani inakaribia...
0 Reactions
7 Replies
460 Views
Na chuki kubwa inasemekana ni kwa miaka takribani Mitatu Minne hivi 75% ya Watendaji wa Idara hiyo kutokea Mji wa Ponce anakotoka Rais na siyo Mji Mkuu wa San Juan. Na taarifa ambazo Mtanzania...
7 Reactions
21 Replies
3K Views
Baadhi ya wakazi wanaoishi karibu na eneo linalodaiwa kujengwa Kanisa la Arise and Shine (Kawe), linaloongozwa na Apostle Boniface Mwamposa, wameeleza malalamiko yao kuhusu athari zinazodaiwa...
0 Reactions
1 Replies
893 Views
1. German shepherd 2. Rottweiler 3. Doberman pinscher 4. Bullmastiff 5. Belgian mallinois 6. Staffordshire bull terrier 7. Cane corso
1 Reactions
3 Replies
361 Views
Mikopo Isiyo na Usawa Yaendelea Kuzikwamisha Nchi za Afrika Katika Mapambano Dhidi ya Umaskini Wakati Mkutano wa Nne wa Umoja wa Mataifa kuhusu Ufadhili wa Maendeleo (FfD4) ukiendelea kufanyika...
0 Reactions
2 Replies
338 Views
Wakuu nimekua najitafakari jinsi nilivyo na hulka ya kuchukua mazungumzo kwa mfano ni kawaida kuona watu wanapiga story au wanabishana labda mpira kwa muda mrefu hata masaa kadhaa wanaongea na...
1 Reactions
11 Replies
533 Views
MTU Kama Mimi mwenye miaka 53. Nashangaa Sana pale ninapoacha kuvaa madani shingoni wanasema unapoteza touch. Nilipanga nikifikisha miaka 53 ambayo nimefikisha mwaka huu basi niache kuvaa IST...
9 Reactions
44 Replies
1K Views
Nawafanyia watu (natuma) maombi ya vyeti vya kuzaliwa online. Nikiwapa fomu wakienda ofisi za RITA wanapewa cheti lakini huku kwenye mfumo hakuna mabadiliko yoyote yanayoonekana Ni kwa nini?
0 Reactions
6 Replies
446 Views
Wakuu eti hapa ni Israel Siamini ninachokiona, Hawa wairan wameshindikana haki vile Persian sio waarabu leo ndo nimeamini[emoji1313][emoji1313] This is insane yo[emoji44][emoji33]...
1 Reactions
11 Replies
972 Views
Ifahamu Nyota ya Simba: Jasiri na Wenye Nguvu ya Uongozi Watu waliozaliwa kati ya Julai 23 hadi Agosti 22 ni Nyota ya Simba. Watu wa nyota hii wanajulikana kwa kuwa na haiba ya uongozi, ujasiri...
2 Reactions
14 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…