Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Kununua viwanja mtandaoni katika mradi wa Nala Zulu, Mkoa wa Dodoma, ni mwelekeo unaoongezeka, lakini unakuja na changamoto nyingi. Kutumia taarifa za mipango ya matumizi ya ardhi (TP) na video...
0 Reactions
0 Replies
538 Views
Je ni elimu mbovu? Je ni malezi mabovu? Hii product ya shule za kata vipi? Wengi wao wanaamini maisha ni simple Sana wakati 80% wanaishi kwao!! Imagine kijana wa miaka 23 anakimbizana club...
46 Reactions
142 Replies
5K Views
Uwepo wa informal sector na watumiaji wachache wa bank ni changamoto na tatizo kubwa sana Tanzania., Nikiwa Rais wa Tanzania ntafanya mambo yafuatayo kuondoa informal sector, kuongeza formal...
6 Reactions
11 Replies
596 Views
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, kupitia Sheria ya Bima, Sura ya 394, imeanzisha bima ya usafiri wa lazima kwa wageni wanaoingia Tanzania Bara kwa ada ya bima inayolingana na Shilingi za...
1 Reactions
3 Replies
916 Views
Soko Kuu mjini Singida linawaka moto Muda huu na Chanzo cha moto huo Bado hakijajulikana wakati ambapo juhudi za uokozi zikiendelea kufanyika.
7 Reactions
37 Replies
2K Views
Nauli kutoka Dar es Salaam hadi Morogoro yapanda kimya kimya kutoka Sh 13,000 hadi Sh 13,500 – licha ya kutumia umeme badala ya mafuta Soma Waziri wa Fedha Mwigulu Nchemba anawasilisha Bajeti Kuu...
2 Reactions
22 Replies
2K Views
Kwa ambae hajui Pandora paper ilikua n siri zilizovuja juu ya utajiri mkubwa wa watu walioupata ambao wanaajalibu kuuficha . Kenya ilihusisha familia ya Kenyata. Je hamna tanzania tajiri ambaye...
0 Reactions
0 Replies
183 Views
Tutiririke dhana ambazo zimekuwa zikitumika Kwa maelfu ya miaka iliyopita ambazo hazifahamiki na watu wengi,lakini zinatumika na wachache katika maisha yao.
0 Reactions
0 Replies
145 Views
Wakuu habari ndiyo ni kwamba kama ilivyozoeleka tangu Mhe. Rais Samia aingie madarakani 2021 serikali ilianzisha Tamasha la Kizimkazi kwa lengo la kuenzi tamaduni za asili,uzinduzi wa miradi ya...
0 Reactions
2 Replies
264 Views
Hali ya ubaguzi na upendeleo katika kila ofisi kuanzia zile za dini, binafsi hata serikali ni kubwa sana. Bila kujulikana au rushwa hupewi huduma Bora zaidi utatoka ukiwa una huzuni na wakati...
2 Reactions
5 Replies
299 Views
Wanawake wa Tanzania bado hawapo tayari kui-practice au hawajaielewa hii ideology ya 50/50. Ukifatilia kampeni zao utaona kimsingi wanachokipigania sio usawa ila wanapigania upendeleo. Fatilia...
7 Reactions
10 Replies
777 Views
Muhimbili ambako maiti zinazuiwa kwasababu aliyekufa alipokuwa mgonjwa hajamalizia malipo. Muhimbili ambako mgonjwa anakaa wiki nzima hajapata huduma kwakuwa hajalipia pesa ya kipimo hivyo...
7 Reactions
44 Replies
3K Views
Ni jambo la kusikitisha na la kushangaza kuona jinsi ambavyo Wizara ya Elimu na baadhi ya taasisi zake zimeanza kuingilia kwa nguvu na pupa maandalizi ya mitaala ya vyuo vikuu, kwa kutoa maagizo...
1 Reactions
0 Replies
277 Views
Kuna video imetrend kijana anapigwa magongo na watekaji wake porini huyo kijana anaitwa enok Sasa amefariki taratibu raia wanaanza kukopi na kupest mfumo wa wasiojulikana. Mungu ampumzishe enoki...
2 Reactions
10 Replies
703 Views
Yaani ni kama vile wao hawakosei na ukiwakosoa utashambuliwa sana humu JF kuna muda tuwe na fikra huru na sio za uchama.
8 Reactions
32 Replies
927 Views
Unadhani uchumi wa Bara la Africa ungekuaje Siasa ingekua ya namna gani kutokana na utofauti wa rasilimali, lugha na dini Je jina gani lingekua sahihi United States Of Africa (USAf). Jina linalo...
1 Reactions
7 Replies
476 Views
Nimeshangaa kusikia wananchi wanamuua MTU kwa kosa la kuiba lap top ya lakimbili . Na najiuliza hawa jamaa ni kweli hawana akili .Ila hata kufikiria hawawezi?.
8 Reactions
61 Replies
2K Views
Naendelea na mada za Kuwafahamisha Miradi mbalimbali ya Maendeleo ambayo inatekelezwa na Serikali ya awamu ya 6 Chini ya Mwanamama jasiri na mtulivu Madam Samia. Leo ni zamu ya Mkoa wa Katavi...
2 Reactions
54 Replies
3K Views
Please mwenye soft copy aniwekee hapa!
1 Reactions
1 Replies
254 Views
Serikali imeendelea kuweka mazingira wezeshi yanayozidi kuvutia wawekezaji wa kigeni kuja kuwekeza hapa nchini hususani katika sekta ya usafirishaji. Akizungumza na wandishi wa habari kwa...
0 Reactions
0 Replies
265 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…