Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Wakati Serikali inapambana kuhamisha kwenye Mifumo zaidi na kupunguza "paper work" kuboresha ufanisia wa kazi. Mabenki yanapambania fursa za kuboresha maisha ya watumishi kwa njia ya mikopo. Hivyo...
3 Reactions
21 Replies
12K Views
Nikiwa Rais wa Tanzania ntahakikisga nchi nzima inapimwa, na hii kazi ya kupima nchi nzima watapewa waholanzi, wakimaliza Tanzania master planning itakuwa kwenye three dimension na hardcopy...
14 Reactions
124 Replies
3K Views
Itakuwa ni lazima kwa bidhaa zote kwenye mashindano ya sabasaba kuwa made in Tanzania, sio sawa hata kidogo kuchukua bidhaa China au India na kwenda kudisplay kwenye maonyesho ya sabasaba hilo sio...
7 Reactions
24 Replies
920 Views
Leo Julai 7, 2025 ni Kilele cha Maonesho ya 49 ya Kitaifa ya Biashara maarufu kama "Saba Saba". Maonesho ambayo hutumika kuonesha shughuli mbalimbali za Kibiashara kutoka ndani na nje ya nchi Kwa...
0 Reactions
0 Replies
348 Views
Tetesi za ndani zinaonyesha misemo ya chini chini kuhusu idara hii nyeti ya serikali, hasa baada ya jaribio la kumuua kwa kumchinja engineer mmoja aliekuwa amelazwa Hospitali ya Muhimbili...
10 Reactions
58 Replies
5K Views
Katika tafiti za maandiko ya Biblia, na waandishi wa nakala. Hii imesababisha baadhi ya tafsiri za kisasa kuziacha aya hizo ni baadhi ya aya maarufu ambazo hazipo katika maandiko ya awali: Aya...
3 Reactions
71 Replies
2K Views
Hata waislam pamoja na siku kuu ya kuabudu kuwa Ijumaa, biashara zinaendelea kama kawaida, saa sita mchana ataenda kuswali, atarudi kuendelea. Wasabato wengi wanafunga biashara kabisa siku za...
1 Reactions
1 Replies
234 Views
Mnahabar kiwanda cha cement aina ya qilin kigoma kimeanza kuuza cement Yale nje ya nchi nandani ya Nchi Sasa kuipa wakat ngumu dangote ukanda wa ziwa,magharibi
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Naomba mnijuze, wengine tumepotea mtujuze, Bunge la jamhuri ya tanzania lilikuwa livunjwe jana tar 3 sasa sijasikia live au sikuwepo labda, mwenye taarifa kamili atujuze lini litavunjwa.
1 Reactions
3 Replies
339 Views
Husika na kichwa Cha Habari Wadau naombeni muongozo hapa, je hii kitu ni sawa? Kwenye makazi ya watu mtu nyumbani kwake anachanganya sumu Kali zenye harufu Kali za kuua wadudu mashambani na...
0 Reactions
8 Replies
384 Views
Mamlaka ya Rufani ya Zabuni za Umma (PPAA) imetoa rai kwa wazabuni kutumia Moduli ya kupokea na kushughulikia malalamiko katika mfumo wa NeST ili kuokoa muda na gharama zisizo na ulazima. Rai...
0 Reactions
0 Replies
216 Views
Kumekuwa na tatizo la watu kutoa harufu miguuni baada kuvua viatu Leo nimeamua kuwafundisha dawa ya tatizo hili bila gharama yoyote. Najua kuna wengine wanajua baadhi ya dawa nashauri watumie...
4 Reactions
31 Replies
14K Views
Moyo unauma kushuhudia idadi kubwa ya watu wanaumia na hata kukatisha uhai wao kwaajili ya ajali za barabarani. Inaonekana kama vile tumeshindwa kupambana nazo. Wadau wakubwa wa ajali hizi ni...
1 Reactions
3 Replies
319 Views
Kuna UPOTOSHAJI au naweza kusema ni kukosa Elimu pia kukaririshwa na kumezeshwa uongo , kuwa "Quds ni sawa na Yerusalemu" Huu uongo umekuwa ukirudiwa mara nyingi, lakini kwa mujibu wa historia...
7 Reactions
138 Replies
3K Views
Jana nimeshirki misa katika mojawapo ya kanisa katoliki. Nilikaa benchi la nyuma. Mbele yangu alikuwepo mbunge wa zamani wa jimbo ninalolifahamu. Mpaka misa inamalizika hakupewa air time kusalimia...
0 Reactions
3 Replies
355 Views
Mwanamke mmoja aliefahamika kwa jina la Getrude Silivesto miaka 38 mkazi wa kijiji cha Kaulolo Kata ya Nsekwa Wilaya ya Mlele Mkoa wa Katavi amefariki dunia kwa kuchomwa na kitu kinachosadikiwa...
2 Reactions
12 Replies
922 Views
Wamemdhalilisha Amiri Jeshi wetu na wala sio paredi la mapokezi ya kupokea viongozi. Askari , No dressing, mpangilio mbaya kwenye usimamaji yaani ni fedheha kwa kweli 🚮🚮🚮
20 Reactions
85 Replies
4K Views
Watumishi wa Taasisi ya Tiba ya Mifupa na Ubongo Muhimbili (MOI) wameadhimisha kwa furaha na sherehe maalum siku ya 'MOI DAY 2025' , tukio linaloadhimisha mafanikio makubwa ya taasisi hiyo katika...
0 Reactions
1 Replies
285 Views
Katika safari ya maisha uwezi kufanya mambo yote kwa usahii lazima kunapahala utaghafilika na kukosea katika uwajibikaji. Inafaa mtu anapokosea apewe nafasi nyingine ya kuweza kubadilika na...
1 Reactions
2 Replies
223 Views
Je umeawahi Kula Nyama ya kitu fulani bila kudhamiria? Nimekumbuka siku nilipokula nyama nisiyoielewa, nadhani ni ya binadamu Baada ya kujua nilitetemeka sana na mbaya zaid nikaambiwa nikaushe...
5 Reactions
87 Replies
9K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…