The world doesnt need too many rich people , if everyone had $10 million dollars no one would clean the street ,collect the garbage or take care of gardens.
So to keep society running smoothly...
Mimi ni kijana wa kiume umri miaka 26, si mpenzi wa mpira wala ndondi. Sipendi magari wala kubeti, kifupi sifuatilii, ukiniuliza hata mchezaji wa Simba au Yanga mmoja simjui, wala wa Barcelona au...
Ushauri kwa Serikali Kuhusu Kufungia Makampuni ya Betting
Makampuni ya betting yamekuwa mengi sana katika jamii yetu, yakileta athari chanya na hasi. Kufuatia hatua ya Benki Kuu ya Tanzania (BOT)...
Habari za leo kaka? Naomba utusaidie kupaza sauti ili haki iweze kutendeka. Mdogo wetu Enock Thomas Mhangwa (25), mkazi wa Runzewe, Geita, ameuawa kwa kupigwa na viongozi wa serikali ambao ni...
WanaJF bila shaka mu wazima kama mimi. Mwaka mpya ndio huoo waja. Mola atufikishe. Amina.
Maisha ni safari ndefu sana tena sana. Watoto wa kisasa wakisikia kuwa uyaone wao hudhani ni maparachichi...
Baraza la Mitihani la Tanzania (NECTA) limefuta matokeo yote ya Watahiniwa 71 wakiwemo 70 wa Mtihani wa Kidato cha Sita (64 wa Shule na 06 wa Kujitegemea) na mmoja wa Mtihani wa Ualimu Daraja A...
Nyuzi sensible unakutana na comments za kumshushua jamaa kuwa anajifanya genius 🤣🤣
Ila zile nyingine sasa, hadi yanaundwa magroup ndani comments kuendeleza umbea.
Anyway kila kitu kina wakati...
P Diddy amebeba Ajenda kubwa kwa ajili ya kupromote LGBTQ Community.
Hivyo kwa mnaotegemea anaenda kuozea Jela mtasubiri sana.
Jamaa ataachiwa huru na kila mmoja atashangaa. Huu uzi ubaki kama...
Hata masikini wa kijijini kwake waliokuwa wanalalamika kurubuniwa huduma tena watakuwa wanamsimanga utafikiri wanamcheka kwa nini hakuiwaibia vya kutosha.
MENTALLITY ⚡⚡
Kama unajijua wewe ni mtu wa mishe za magumashi ikiwemo wizi, ujambazi, utapeli na mambo meusi meusi hakikisha hutumii simu aina yeyote sasa hivi mifumo ya usalama wa taarifa imeboreshwa kiasi...
Nawasalimu,
Leo nimeona niwape Tip ya Kijanja kuhusu life la mjini, sio kubwa sana ila nzuri na tamu mnoo.
Ukiwa na uwezo walau jenga kibanda kijijini,Sio ulikozaliwa. Iwe sehemu mpya ambayo...
Wasaalam wote humu.
YAH; MREJESHO NA SHUKRANI KWA WANANCHI.
6 Julai, 2025
UTANGULIZI; mapema tarehe 06 Julai, 2025 majira ya saa 2 asubuhi hivi, niliomba ushirikiano wa jamii kwenye kufuatilia...
MADARAJA 10 MAREFU ZAIDI UKANDA WA AFRIKA MASHARIKI NA KATI
Mind you madaraja ni miundombinu ya kimkakati Ili kuboresha uchukuzi hence uchumi wa nchi
1. Daraja la JP Magufuli - km 3.2...
Hii ni ya ajabu sana: Kati ya Injili zaidi ya 27, ni 4 tu ndizo zilijumuishwa kwenye Agano Jipya.. ambalo lilikamilishwa miaka 335 baada ya Yesu kuondoka duniani. Kwa hiyo, Roho Mtakatifu...
Mtume Paul alipokuwa anachambua karama ya kunena kwa lugha na kuhutubu/ unabii aligusia umuhimu wa kuhutubu (unabii) kwa watu wasioamini wanapokuja mahali kwa walioamini.
Katika karama 9 kuu...
Nimeamua mwenyewe kusema kuwa hakuna kura zinazoibiwa Tanzania kwa mazingira sababu hizi;
1. Wagombea wa vyama vya upinzani wenyewe kwa vinywa vyao utawasikia wakisema kwenye majukwaa, oooh Ubunge...
Unapofanya jambo lolote, litazame kwa umakini sana, Uwekezaji unaoufanya Je unawekeza kwenye Maisha Yako au kwenye Mipango ya wengine.
Maana ukikosea kufanya uwekezaji utajuta Maisha Yako Yote...