π—¨π—§π—”π—π—¨π—”π—π—˜ π—žπ—”π— π—” π—¦π—œπ— π—¨ π—¨π—‘π—”π—¬π—’π—§π—¨π— π—œπ—” π—‘π—œ 𝗒π—₯π—œπ—šπ—œπ—‘π—”π—Ÿ 𝗔𝗨 π—™π—˜π—žπ—œ

π—¨π—§π—”π—π—¨π—”π—π—˜ π—žπ—”π— π—” π—¦π—œπ— π—¨ π—¨π—‘π—”π—¬π—’π—§π—¨π— π—œπ—” π—‘π—œ 𝗒π—₯π—œπ—šπ—œπ—‘π—”π—Ÿ 𝗔𝗨 π—™π—˜π—žπ—œ

Teknolojia ni Yetu sote

JF-Expert Member
Joined
Apr 28, 2020
Posts
1,359
Reaction score
2,789
1_20250712_174950_0000.png


Matukio ya watu kulalamika juu ya simu wanazotumia ni feki yamekua mengi sana wengi wakiamini wameuziwa simu original kumbe kiuwalisia sio original ni kopi TU.

Kuna nyakati kutizama hivi kikawaida sio rahisi kugundua kama simu unayoitaka kununua kweli ni Original au lah, leo nakuambia fanya jambo ili kuweza kugundua kama simu unayoitaka kununua ni kopi au original.

π—ͺπ—”π—§π—¨π— π—œπ—”π—π—œ π—ͺ𝗔 π—œπ—£π—›π—’π—‘π—˜ βœ‹

Kama unatumia iphone basi chukua simu yako au unayoitaka kununua kunakua na box lake angalia serial Namba na IMEI Namba copy pembeni au ingia setting Kisha general>> about utaweza kuiona.

Chukua Serial namba ya simu yako Kisha ingia kwenye hii tovuti kujua kama simu yako ni kweli original au lah πŸ‘‡

Simu yako original au feki_20250712_182036_0000.png


π—ͺπ—”π—§π—¨π— π—œπ—”π—π—œ π—ͺ𝗔 𝗔𝗑𝗗π—₯π—’π—œπ—— πŸ™ƒ
Kama unatumia simu yoyote ya Android hakikisha unaingia kwenye hii tovuti ambapo utaweza kuchukua IMEI Namba yako na kuziweka kwenye box utakalo liona ambapo utaweka IMEI ya kwanza utaangalia taarifa zilizopo kwenye hiyo IMEI Namba ni Sahihi kweli au lah.

2_20250712_174950_0001.png


Hii ni tovuti itakusaidia sana kujua simu unayomiliki ni mpya , kopi au imetumika na kutengenezwa Kisha kurudishwa sokoni na kuuziwa wewe πŸ‘‡ IMEIpro - free IMEI number check service

Usisahau ku share kwa wengine tujifunze sote tusijenunua vitu kopi tukasema original kumbe lah πŸ˜‰.
 
Sawa, sisi wa mitumba aka simu za marehemu tunabaki wapi..!?
 
Ya kwangu hii
 

Attachments

  • Screenshot_20250712_194852_Chrome.jpg
    Screenshot_20250712_194852_Chrome.jpg
    135.7 KB · Views: 40
Back
Top Bottom