Tangu nikiwa mtoto wa daasa la tano nimekuwa nikisikia uwepo wa shule za vipaji maalumu yaani kwa wanafunzi wanaodhaniwa kuwa na upeo mkubwa wa akili, binafsi Mungu alinijaalia kusoma mojaya...
Nashuhudia maajabu ya Dunia katika Mahakama za Tanzania.
Askari wasio wa ki mahakama walio jaa silaha za visu, mabomu na bunduki wame tanda siyo nje tu ya mahakama bali ndani ya chumba cha...
Hakuna pahala tunakwenda!
Naona tena tukiwa nafasi ya chini ya namba 10 ikifika hadi december.
Glazers wamefyonza pesa, sasa hivi roho iko juu juu katika financial Fair play (FFP), Tuna move...
Hebu soma hizi kelele MASHARTI NA VIGEZO KIBAO NA VIKUBWA VISIVYO NA UHALISIA na UONE JINSI LINAVYOFOKA (kuwa utajitegemea kwa kila tu)...Kumbe ni VOLUNTEER tu...
Internship and Volunteer...
Asalaam alykhum.
Tumsifu Kristu.
Kuna lile tukio lilitokea kule Serengeti (kama sijakosea) la simba dume kutongozana na kuanza kufanya ufuksa.
Basi leo siyo Serengeti ni mjini kabisa hapa...
Kampuni ya Mabasi ya Abood mnatukosea sana Abiria wenu,haiwezekani tumekata tiketi ya bus la kwenda Mbeya lililotakiwa kuondoka saa Tisa na nusu lakini mpaka muda huu hakuna bus.
Wafanyakazi wenu...
Huyu jamaa anakuwaga kama na kautabiri flan, mimi nayoikumbuka ni ile alowahi kusema bungeni kuwaambia wabunhe wa chama tawala kuwa "SIMNAFURAHIA WAPINZANI TUNAVYOFANYIWA NA SERIKALI, WAKIMALIZA...
Ajira kwa Watoto limekuwa tatizo sugu sana hapa nchini, tukiachana na wadada wa kazi ambao asilimia kubwa wanakuwa ni wale ambao wameacha shule au ndiyo wametoka kuhitimu elimu ya Msingi, kuna...
Mahakama ya Hakimu Mkazi Geita imemkuta na hatia na kumuhukumu kifungo cha maisha Mwalimu wa Shule ya Msingi Waja, Josephat Masenema Shikome kwa kosa la kumuigilia kinyume na maumbile Mwanafunzi...
Wakuu wa kaya ni namna gani ya kujitoa kwenye ajira ambayo ni financial security
Na kwenda kwenye mifumo mingine ya kusaka fedha yenye uhuru Zaidi wa kifedha yaani financial freedom
Unashauri...
Ni nyie tunaowategemea kwenye malezi ya wanetu mnapokuwa nao shuleni, ni nyie tunaowategemea kutuandalia kizazi shindani kijacho, hiki nini tena!?
Sasa naanza kumuelewa Mpwayungu
====
Wazazi wa...
Napenda kuwasilisha malalamiko kuhusu huduma duni na usimamizi mbovu katika Kituo Kikuu cha Mabasi cha Magufuli.
Mnamo 14/07/2025, abiria alinunua tiketi iliyoandikwa kwa mkono kwa safari ya...
Historia ya Joseph Philippe Lemercier Laroche (1886–1912)
Joseph Philippe Lemercier Laroche alikuwa mhandisi kutoka Haiti, anayejulikana sana kwa kuwa mtu pekee mwenye asili ya Kiafrika...
Kiukweli kipande cha Kondo hadi Kwa Msomali njia ya kuelekea Mbweni wanakoishi viongozi wa Serikali palikuwa panatisha sana kiusalama
Pongezi kwa mwekezaji na sasa tishio la kuokota Watu...
Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete, moja kati ya uwekezaji wa maana na wakimkakati. Pamoja na uwingi wa wagonjwa, hawa jamaa wanafanya kazi kwa weredi, unyenyekevu na kujituma sana.
DR. Tatizo...
https://www.youtube.com/live/TESsdXCNBrU?si=zVojh8cRb2WhaVBx
Mkutano wa Pili wa Mabaraza ya Habari Afrika 2025 umeelezwa kuwa ni fursa ya kihistoria kwa vyombo vya habari barani Afrika...
Kesi ya kusababisha madhara mwilini inayowakabili wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM), Mary Matogolo (22) na wenzake wawili, itatajwa leo Jumatatu Julai 14, 2025 katika Mahakama ya...
Wazazi wa wanafunzi wa Shule ya Msingi Magegele Kata ya Kivavi Halmashauri ya Mji wa Makambako mkoani Njombe, wameitaka halmashauri kuwachukulia hatua za kisheria walimu ambao wamebainika...
Dkt. ******* tafadhali Tulia ofisini Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI), nikueleze.
Madaktari wa OPD Sina neno nao isipokuwa mmoja mtu wa Kagera ana lugha chafu sana.
Tuanze kwenye kupima BP...
Shalom shalom
Kama ukapata fursa ya kwenda kufanya kazi ulaya, uarabuni au Amerika nenda haraka sana hata kama ni kazi ya beki 3 au kubeba box, mlinzi au store keeper, kusafisha vibibi nk, acha...