Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Madhara ya sigara: Ocean road pale hospitali ya cancer wapo wagonjwa wengi wenye kansa ya mapafu, fizi, koo, n.k. kwasababu ya matumizi ya muda mrefu ya sigara. Cancer inaharibu koo kiasi kwamba...
5 Reactions
16 Replies
2K Views
Ni mwaka fulani nipita apo Dar, nikaamua nipite kwa mshikaji wangu wa kitambo tulisoma wote huko kanda ya ziwa. Nilimtafuta akanambia yeye yupo kulagwa akanambia hana ela ya usafiri kunifata...
46 Reactions
84 Replies
4K Views
Habari zenu wakuu Mwaka unaenda kasi sana njaanuary hioo inaishia Kuna mambo mengi ambayo unakuta mtu anajua kabisa madhara yake au kama hajui hata akishaambiwa madhara yake bado haachi, mfano...
7 Reactions
95 Replies
3K Views
Kama ningekuwa mkuu wa chuo kikuu chochote nchini Tanzania, chuo hicho kingeingia kwenye orodha ya Vyuo vitano (5) Bora Barani Afrika ndani ya muda mfupi sana. Nini ningefanya? Ningehakikisha...
11 Reactions
103 Replies
4K Views
Hapa namzungumzia Mama kama Mama na Baba kama Baba tuelewane tafadhali.
5 Reactions
28 Replies
1K Views
Kwa wale wanaofanya publications za tafiti mbalimbali watanielewa nikisema "journals." Nimeamua kuja ili tusaidiane tuepuke gharama na usumbufu unaoweza kuepukika kutokana na journals ambazo; 1...
0 Reactions
0 Replies
114 Views
Kila nikiungalia na kuusikia huu wimbo najikuta nabubujikwa Na machozi ya huzuni. Imam wetu kipenzi Imam Hussain ibn Ali A.S hakupenda kabisa jamii isiyo na haki ndio maana alijitolea nafsi...
1 Reactions
15 Replies
791 Views
Hii nimeileta kwa sababu nilikuwa na kiu ya kuona nini kilitokea hadi tunaambiwa Dogo pattern kavirugana na watangazaji. Pia ninaamini kuna watu wanakiu ya kuona ilivyotokea hata kwa uchache...
2 Reactions
1 Replies
510 Views
Wana hoja
1 Reactions
0 Replies
176 Views
Kama wahuni wanaosemwa na Ndugu Polepole wakiachwa tutashuhudia kila kitu kinapanda bei na kila inayoitwa leo tutashuhudia upuuzi tuliowahi kuondokana nao. Bei ya mafuta ya kula na ya magari...
15 Reactions
80 Replies
5K Views
Wizara haitatoa vizimba wala boti tena kwa wavuvi, hiyo ndio taarifa rasmi ambayo bado haijawa rasmi. Serikali imeamua kufanya hivyo kutokana na ukosefu wa fedha hasa ikizingatiwa bajeti kadhaa...
0 Reactions
0 Replies
314 Views
Dah basi bwana jana usiku nikaamka nikaenda zangu uani kupunguza maji, nilivyorudi kulala usingizi ukachelewa kunijia nikachukua simu nikawa naangalia kitu cha kupotezea muda wakati nauskilizia...
6 Reactions
28 Replies
891 Views
Habari wakuu, Moja kwa Moja kwenye mada KESI YA KWANZA, Boss anakupigia anahitaji mzigo flani, mnaelewana bei na anataka umfanyie na delivery kabisa. Unapeleka mzigo. Lengo mzigo ukifika...
126 Reactions
205 Replies
16K Views
Wakuu things are cottonfire the ground is hot,tutarajie something worst as soon as possible. siyo yeye tu anayetetemeka kwa presha na hasira kali habari ni kwamba ile press ya Slow Slow ni cha...
8 Reactions
54 Replies
2K Views
ikumbukwe mnamo tarehe 10 julai 2025 ilifanya mnada wa kugawa masafa ya 5G( 3600- 3800 mhz ) kwa watoa huduma za mawasiliano ya simu, na watoa huduma wote watatu walifanikiwa kushinda kupata...
0 Reactions
0 Replies
459 Views
HII HALI SIO YA KUAKAA KIMYA TUENDELEE NA MAOMBI WAPENDWA SHABAIKI WA SIMBA WAMEMPUMZISHA KAJINYONGA TAR 17 RIP SHABIKI
2 Reactions
17 Replies
708 Views
..anamwonaaaa....
1 Reactions
12 Replies
486 Views
Kama biashara ya uandishi wa vitabu inalipa hapa Tanzania nashauri mtu aandike vitabu viwili na avipe majina haya ninaamini atapiga sana pesa. 1. Mwendawazimu mwenye akili timamu. Atumie tu hiki...
3 Reactions
14 Replies
519 Views
WAZIRI NDUMBARO AKAZIA: WIZARA YA KATIBA NA SHERIA NI NGOME YA UTAWALA NA USIMAMIZI WA HAKI Waziri wa Katiba na Sheria, Mhe. Dkt. Damas Ndumbaro, amewataka wakurugenzi na menejimenti ya wizara...
0 Reactions
0 Replies
198 Views
Nimetoka kutizama Video Clip ya East Africa TV na kuona kuwa Jana maeneo ya Kinondoni Makaburini Mtanzania mwenye Asili ya Uturuki kauwawa kwa Kupigwa Risasi na Mtu aliyepanda Pikipiki mida ya...
5 Reactions
18 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…