Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Bara, John Heche, amesema kuwa chama hicho hakiogopi vitisho, ukandamizaji wala hila dhidi ya wapinzani, na kitaendelea kusimama...
Mambo ni mengi ndugu zangu, tuanze na salam kwa wote. Kuna mambo kadhaa yanaboa sana kwenye maisha yetu ya kila siku tupeane mbinu au tuyaweke wazi tuyajue.
1. Unaenda sehemu ya huduma, unakuta...
Waziri wa Maji Jumaa Aweso (Mb) amewataka wakandarasi wa mradi wa maji wa miji 28 katika miji ya Wanging’ombe na Makambako mkoani Njombe kuonesha thamani ya fedha kwa kutekeleza mradi kwa wakati...
Kamati ya Makatibu Wakuu inayoongozwa na Katibu Mkuu wa Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu), Dkt. Jim Yonazi, imekagua na kuridhishwa na maendeleo ya ujenzi wa uwanja mpya wa kisasa wa...
Awali ya yote.Napenda kumshukuru Mwenyezi Mungu kwa nafasi hii.
Pili,nina imani nitaeleweka na maamlaka husika itatoa au kufanya maamuzi sahihi juu ya kero hii na swala hili.
Kero yangu leo hii...
Mkoa wa Dodoma ni miongoni mwa maeneo ambayo yamepata fedha nyingi kupitia mradi wa kuimarisha ubora wa Elimu ya sekondari nchini SEQUIP ambapo umepokea zaidi ya Bilioni 36.596
Fedha hizo ambazo...
Endeleeni tu Kupuuza Maandiko yetu hapa JamiiForums na Kuupuza huu Mtandao ila kama kuna Mtandao nyie mlioko Serikalini na huko sehemu Nyeti za Umedani (JWTZ) na Unjaguni (TISS) mnatakiwa muwe...
Zaidi ya shilingi bilioni 200 zinatumika kujenga kituo cha kupoozea umeme katika kijiji cha Nkangamo, mkoani Songwe…mradi unalenga kuondoa changamoto ya muda mrefu ya kupungua kwa nguvu ya umeme...
Listen to me young generation
The cheapest commodity on earth is access to women. Stop wasting your time, energy, and money chasing what should come to you naturally.
That attention you're...
Kama Hawa ndio washikaji zako , Kama ndio Hawa ndo marafiki zako ,
Ikitokea umekwama una shida unahitaji either buku tano au kumi either ni urgently au sio urgently sasa katika marafiki zako wa...
Tofauti na mdodoma ni mti gani mwingine mzuri kwa ajili ya kivuli, haupukutishi matawi lakini pia mzizi wake hausambai ila una penetrate chini?
Karibu gardeners
Tecknolojia ya AI imekuja na mambo mengi na wengine wanajikuta kama wamepata rafiki vile, Leo baada ya uchovu wa kazi niliamua kupunzisha akili kwa kuangalia kitu/vitu vipya. Leta na za kwako za...
MKUU wa Mkoa wa Songwe, Jabir Omari Makame, ametoa onyo kali kwa vijana wanaojihusisha kimapenzi na watoto wa kike na wanafunzi wakike, akisisitiza kuwa wasichana hao ni "nyara za serikali" na...
Miji ya Tanzania kitambo back ilikuwa mizuri sana, kabla hawa wajinga CCM hawajaingia hadi kwenye mipango miji. Angalia mji wa mishi ulivyo kuwa msafi kipindi fulani.
Now moshi ni chafu imejaaa...
Tanzania kama ilivyo Marekani na CIA (Central Intelligence Agency) , kuna TISS idara ya kijasusi na upelelezi zinazotekeleza majukumu sawa kwa maslahi ya usalama wa taifa.
TISS – Tanzania...
Kilio cha muda mrefu cha wananchi wa Babati kuhusu ujenzi wa stendi kuu ya mabasi sasa kimesikika, baada ya Serikali kutoa shilingi bilioni 19.99 kwa ajili ya kuanza rasmi ujenzi wa stendi hiyo...
Kuna Watanzania wanateseka sio siri na kama tutaendelea hivi kweli lazima umasikini utaendelea kututesa Watanzania, huu sasa ni umaskini wa kutisha.
Mimi ni Mtanzania kijana nileyehitimu mafunzo...
HAMJAMBO WADAU
Leo ni siku ya furaha duniani je wewe unaiazimishaje siku ya leo.
Je ulishawahi kupata furaha maisha mwako? je unayo furaha hata kama ukipitaka hali ngumu.
Je unafurahia kila jambo...
Miongoni mwa mambo machache mazuri ambayo yaliwahi kufanywa na Magufuli basi kumteua Salvatory Mabeyo kuwa CDF.
Hapana shaka utumishi wake jeshini na Taifa ni wa kutukuka. Moja ya jambo kubwa...