*JINSI YA KUONDOA ERROR 77 KWENYE MITA ZINAZOANZA NA NAMBA 2421...*
*ERROR 77*
Hii ni error ambayo inapatikana kwenye mita tengano maarufu kama mita za rimoti au CIU ambazo zinafungwa juu ya...
Yani huduma za kibongo huwa zinaanza vizuri ila baada ya muda basi customer care inakuwa zero.
Mimi ni mtumiaji wa Yas Fiber kwa zaidi ya miezi 8, na nilifungua ahdi thread humu naisifia kweli...
Hizi fremu ni nyingi sana kama ziko chini ya JW wamefanya la maana sana kuliko kulivyokuwa na pori linatufugia viumbe hatarishi na misitu isiyokuwa na faida.
Yaani ukifika usawa wa Lugalo upande...
Habari wakuu natumaini mko poa. Sasa nilikuwa naomba uchanganuzi/ushauri kuhusu kujiwekeza kufungua labda stationary, mgahawa wa chakula, nguo.
Mimi naishi Kibaigwa, sasa hapa jirani Mtanana...
Aliyekuwa mgombea urais wa Chama Cha Mapinduzi mwaka 2015, Maliki Marupu, amemjibu mwanachama mwenzake Humphrey Polepole kufuatia kauli yake kuhusu mchakato wa uchaguzi wa urais ndani ya chama...
Kuna mambo nawaza majibu rahisi ambayo polisi uchukulia.
Mfano kesi ambazo wanapotea bado zipo kwenye uchunguzi mpaka zikawa giza.
Leo hii kama taharuki mshawahi kutoa taarifa kujua miaka 11 ni...
Mlio karibu nao muwape taarifa wanafeli sana .
Mtu unahela kwenye simu ila unakosa kulipia dili au lala njaa kisa mtandao wao .
Soma pia Kampuni ya YAS ni failure katika huduma zao hasa Mix by...
▪️Ni maelekezo ya Mh. Rais Dkt. Samia S. Hassan
▪️Lengo ni kukuza uwekezaji wa STAMICO kwenye madini mkakati
▪️Waziri Mavunde akabidhi Leseni na kuelekeza uendelezaji wa Leseni kuanza mara moja...
Kuna kakitabu kalitungwa na mtu anaitwa Mapunda(Kwa sasa ni marehemu kama sijakosea) nadhani pia alikuwa mchoraji kwenye gazeti la Sani miaka hiyooo ya 90. Kwenye kitabu hicho cha hadithi...
Wakuu natafuta karabai 3 moja niitundike kibaraza cha mbele, moja kibaraza cha uani, nyingine ikae sitting room. Huu umeme wa TANESCO naona kabisa hauna connection na mizimu.
Wasalaam
Leo 24 Julai, 2025 asubuhi, nakiri kupokea taarifa kadhaa kutoka kwa Wananchi wa Kata ya Baraa, Mtaa wa Kibao cha Njano kwa Mrefu, Arusha.
Kwamba, mtu mmoja mzima analea binti wa...
Uchumi wa Frame unashika kasi sana Tanzania, ni Frame juu ya Frame, ni frame ukikata kona ni frame ukinyosha ni frame.
Hii nchi na hisi uwezo wa wetu wa kufikiria nahisi usha fikia tamati yake...
Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya, Dkt. Seif Shekalaghe, ametoa wito kwa wazazi, walezi na jamii kwa ujumla kuzingatia ushauri na maelekezo ya wataalam wa afya na malezi ili kuwalea watoto, kwa kuweka...
Mtoto wa miaka (8) Darasa la Pili anayefahamika kwa Jina la Karim Rahim amefariki dunia baada ya kudaiwa kujinyonga kwa kutumia kamba ya Pazia la Dirishani akiwa kwa bibi yake mtaa wa Osunyai Jr...
Hiv karibuni kumekuwa na malalamiko dhidi ya kizazi cha Gen Z maarufu kama "Watoto wa Elfu mbili". Je, unadhani shida iko kwa kizazi hiko au wale waliopitia mikononi mwao ikiwa ni Wazazi, Walezi...