Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Leo tarehe 26 Julai 2025, Chama Cha Mapinduzi (CCM) kinafanya mkutano mkuu wake wa Taifa kwa njia kidijitali (mtandao) Utafiti unaonesha kuwa ni chama cha kwanza Afrika kufanya Mkutano mkuu wa...
3 Reactions
19 Replies
810 Views
Ilikuwa ni December 2004,,,ni miaka 20 iliyopita katika Mkoa wa Shinyanga _Tinde. Miaka hiyo kulikuwa na fisi wa kutosha...nilikuwa nimekosa nauli ya kwenda krismas Moshi,,,,,hivyo nyakati za...
4 Reactions
8 Replies
703 Views
Mtu mwenye utawala wa roho mbaya kuna siku ithibati itafikia JF mkiona JF ikichagua watu na tena watambuliwe huko.
2 Reactions
7 Replies
254 Views
Kuna fursa ya kazi; Nataka anayejua Kireno( Portuguese) Fluently. Aniachie namba yake hapo chini. Plz this is serious.
1 Reactions
9 Replies
406 Views
π—¦π—œπ—žπ—¨ 𝗬𝗔 𝗠𝗔𝗦𝗛𝗨𝗝𝗔𝗔 π—¦π—œπ—’ π—π—¨π—žπ—ͺ𝗔𝗔 π—Ÿπ—” π—žπ—œπ—¦π—œπ—”π—¦π—”,π—ͺπ—”π—‘π—”π—‘π—–π—›π—œ π—§π—¨π—¦π—œπ—£π—’π—§π—’π—¦π—›π—ͺπ—˜! Siku ya Mashujaa Tanzania ni siku muhimu ya kumbukumbu ambayo huadhimishwa kila mwaka tarehe 25 Julai kwa heshima ya mashujaa wa...
1 Reactions
1 Replies
230 Views
Kama una akili nyepesi unaweza usielewe yaani ni kama anamkandia na hataki kumsikia lakini ukienda ndani zaidi unagundua anamkingia kifua asiguswe kuna mipaka anataka akuwekee ili usiwe unahoji...
1 Reactions
5 Replies
505 Views
Kampuni ya usambazaji wa mafuta ya GBP, iliyopo jijini Tanga, imeungana na vyombo vingine vya usalama, likiwemo Jeshi la Zimamoto na Uokoaji, katika juhudi za kukabiliana na moto mkubwa uliolipuka...
1 Reactions
1 Replies
503 Views
Ningetaka tu nimuulize alimaanisha nini aliposema "ku trape" "simu zake" . Au kama alimaanisha "ku tape " " simu zake". https://youtu.be/b5bRxLfG44g?si=JzuSX3JoPcn6_H7R Huenda alimaanisha "...
0 Reactions
6 Replies
401 Views
Kwa yeyote anayeishi au kutembelea maeneo ya Zanzibar, atakuwa ameshuhudia jinsi ujenzi wa nyumba unavyoendelea kwa kasi maeneo mbalimbali. Lakini cha kusikitisha ni kwamba ujenzi huu kwa sehemu...
0 Reactions
6 Replies
445 Views
Hoja Yangu kwa Wanajukwaa na Wasimamizi wa JamiiForums: Wana JF wenzangu, Nchi yetu imebarikiwa kwa natural wonders ambazo dunia nzima inazitamani – kutoka kilele cha mlima mrefu barani Afrika...
1 Reactions
9 Replies
452 Views
Mwenyekiti wa Kamati ya Ulinzi na Usalama wilayani Mlele, Alhaj Majid Mwanga, ambaye pia ni Mkuu wa Wilaya ya Mlele ameliamuru Jeshi la Polisi wilayani humo kuhakikisha askari sita wa jeshi la...
0 Reactions
6 Replies
454 Views
Moja kwa moja kwenye mada. Zilipotoka ajira za walimu wapya, tayari serikali ilishapiga hesabu na kutoa fungu ambalo lilipelekwa moja kwa moja eneo husika wilaya au mkoa. Baadaye vijana wetu...
3 Reactions
9 Replies
549 Views
Ni wakati muafaka kwa admins wa JamiiForums na distributors wake kuangalia mbele kwa jicho la kimaono (visionary approach) na kukubali kuwekeza – kifedha na kiuwezo – katika mradi wa kipekee na wa...
0 Reactions
1 Replies
246 Views
Hawa watu watano ni kwa Mujibu wa Akili mnemba. Manabii watano wakubwa na maarufu Tanzania walio hai hadi sasa Nchini Tanzania, kama ilivyo katika nchi nyingine nyingi barani Afrika, kuna...
3 Reactions
40 Replies
3K Views
Canal+ yenye makao makuu nchini ufaransa mwanzoni mwa mwaka huu ilituma maombi ya kununua hisa zilizabaki za Multichoice (DSTV na ShowMax) kwa Dollar billion 1.9 na kuwa mmiliki kamili wa kampuni...
4 Reactions
4 Replies
1K Views
Huu Usafiri wa Mwendo kasi ndo wakijinga namna hii. Nipo kituoni Fery Toka saa 8 mpaka sasa hivi imekuja gari Moja Tu. Kumbe huu Usafiri hauna uwakika Hata kidogo. Nimejuta kukata tiketi mara...
2 Reactions
2 Replies
316 Views
Kuna nini. Maana Jahazi nasikia sauti za watangazaji mpya. Nikienda Wasafi nako watangazaji maarufu siwasikii tena!! Nini kinaendelea maana maredio haya makubwa watangazaji maarufu siwasikii...
5 Reactions
119 Replies
6K Views
Tukio la kushangaza limeripotiwa mjini Mekelle, makao makuu ya Jimbo la Tigray, Ethiopia, ambapo mwanamke mwenye umri wa miaka 76, Woizero Medhin, amejifungua mtoto wa kiume. Tukio hilo limetajwa...
5 Reactions
55 Replies
2K Views
Haijalishi unampenda vipi Hayati JPM, lakini ameacha shida kubwa iliyoanza katika utawala wake. Tatizo shida ya sisi Watanzania huwa tunafurahi na hatujali pale sheria, katiba ikivunjwa na mtu...
6 Reactions
18 Replies
788 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…