Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Kuna ukweli kiasi gani Wazanzibar walikuwa wanafinyanga vichwa vya watoto kutengeneza shepu nzuri za kichwa kwa kupunguza vichogo? Mbona huwa naona vichwa vya Wazanzibar wengi vya kawaida tu kama...
10 Reactions
48 Replies
482 Views
Mwanamukuziki mkongwe mzee Ally zero tumwombee hali yake ki afya haiko sawa. Hata kama famimia yake haijasema lakini kimwonekano hali yake ki afya haiko sawa. Katika pita pita zangu huko...
3 Reactions
19 Replies
304 Views
Ukisikia mjini shule, shamba darasa. Jiulize hao waliotunga huo usemi walikuwa na maana gani ama walikutana na masahabu gani! Akili ya binadamu ni kitu cha kushangaza mno. Kina uwezo wa ajabu...
88 Reactions
699 Replies
109K Views
Nimeishi South kwa takriban miaka mitano hivi kuanzia 1996 ni mara baada ya Mandela kuachia hatamu na kumkabidhi Thabo Mbeki kijiti.... Kinachotokea sasa huko kina mizizi na ubaguzi wa rangi...
123 Reactions
287 Replies
29K Views
Panda Hill Kuna haya madini yanaitwa Niobium. Yanatumika kwa kuchanganya na chuma ili kukifanya kiwe imara na kitumike kwenye vitu kama ndege, vifaa vya anga za juu, vifaa vya kivita na vifaa...
3 Reactions
0 Replies
281 Views
Nimejaribu kufuatilia hii kesi tangu ilivyoanza mpaka sasa unaona kabisa serikali inajilaumu kuwahi kumkamata Lissu kabla ya yale machafuko(maandamano halali). Ndo maana kuna kipindi wakataka...
8 Reactions
10 Replies
238 Views
Binti Asnat Philbert ametwaa taji la Miss Karagwe 2026 katika shindano lililofanyika usiku wa kuamkia Septemba 27, 2026, chini ya maandalizi ya The Boom Vibe. Asnat mzaliwa wa Kata Kayanga...
2 Reactions
5 Replies
139 Views
🇹🇿 Tanzania has removed 🇳🇬 Nigerians from its restricted “Referral Visa” list. 1) No more special pre-clearance. 2) Nigerians can now use Tanzania’s e-Visa or visa-on-arrival route like other...
0 Reactions
1 Replies
25 Views
Mkutano huu unatajwa kuwa wa kihistoria kwa Tanzania kwa kuwa ni mara ya kwanza kwa Nchi yetu kuwa Mwenyeji wa mkutano wa IPU, utakao wakutanisha Viongozi na Wajumbe wa Mabunge kutoka sehemu...
0 Reactions
3 Replies
120 Views
Habari wakuu , Katika harakati zangu nilifanikiwa kujisajiri stripe na citi bank UK NA US sasa nauliza wataalamu je nawezaje kujiungizia kipato . Anyone ambae anaujuzi na hili jambo anaweza...
0 Reactions
0 Replies
24 Views
Mbunge wa Jimbo la Vunjo, Enock Koola, amekabidhi kiasi cha shilingi milioni 100 kama mchango wake na marafiki zake kwa ajili ya ukarabati wa Kliniki ya Meno pamoja na Maabara katika Hospitali ya...
0 Reactions
0 Replies
31 Views
Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Mhe. Kaspar Mmuya (MB), amepokea Taarifa ya Tathmini ya Utekelezaji wa Mpango Kabambe wa Jiji la Dodoma wa mwaka 2019–2039, iliyowasilishwa na...
0 Reactions
0 Replies
97 Views
Nafikiri jamaa ukimtoa shetani yeye ndio adui namba mbili kwao😁
0 Reactions
1 Replies
28 Views
Mwendokasi/MoFAT Yatangaza Ajira 360 kwa Madereva na Maafisa Abiria Mwendokasi/MoFAT imetangaza nafasi 360 za ajira, zikiwemo nafasi za madereva wa mabasi ya BRT na maafisa wa huduma kwa abiria...
1 Reactions
2 Replies
99 Views
Kwa sasa mimi nina kero kuhusu Baraza la Madaktari Tanzania (MCT) na PHAB Tanzania. Hawampi Daktari uwezo wa kuona sehemu ambayo ameweka leseni yake kwenye profile yake. Hali hii inafanya baadhi...
0 Reactions
0 Replies
17 Views
TANESCO Kanda ya Ziwa, hususan mikoa ya Mwanza, Mara, Geita na Shinyanga, tunaomba msikilize malalamiko ya wananchi na wateja wenu kuhusu changamoto kubwa ya upatikanaji wa huduma ya umeme...
2 Reactions
17 Replies
531 Views
Chama cha ACT Wazalendo kimepokea kwa uzito mkubwa hatua ya madereva katika maeneo mbalimbali nchini kusitisha huduma za usafirishaji leo Septemba 29, 2026 kutokana na malalamiko yao kuhusu...
1 Reactions
1 Replies
60 Views
Najua pesa haiwezi kutatua kila kitu wala kununua kila kitu lakini kwa kiasi kikubwa niliamini ingepunguza stres nilizokuwa nazo. Nimepambana sana, siwezi hata kidogo kujiita tajiri lakini...
4 Reactions
5 Replies
80 Views
Kwa nini Tanzania hatupo serious na ujenzi wa viwanda licha ya population yetu kuwa kubwa na kukua kwa kasi Kwa nini tusitake advantage ya population yetu wenyewe inayokua sasahivi tukaanza...
6 Reactions
29 Replies
332 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…