Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Wakati basi za mwendokasi zinaingia Dar es salaam tulijua italeta ahueni kwenye swala la usafiri wa Umma, lakini yameleta mateso afadhali ya Daladala mara mia! Hivi hii inatokana na nini? Uhaba wa...
10 Reactions
122 Replies
4K Views
Bila kuweka maneno mengi, hapa chini kuna somo zuri sana kwa wale wanaotaka kulielewa lile andiko la nitambariki atakayekubariki na kumlaani atakayekulaani. Madini mazito yanatolewa humu, chukua...
1 Reactions
0 Replies
160 Views
Kuna wakati umepitia au unapitia kitu fulani kinacho uchosha moyo akili mwili na nguvu zako kwa ujumla. Ukikaa chini ukitafakari au ukamwona jirani yako kwa anayoyapitia au yaliyomkumba ukasema...
5 Reactions
36 Replies
1K Views
Kwa yanayoendelea na muafaka ukipatakana wa uchaguzi, kuna dalili nyingi za uvunjifu wa amani. samia matamko na vitendo vyake ni kama tayari ameshajipitisha urais anasubiri wa ngazi za chini...
3 Reactions
13 Replies
662 Views
Ile disco ilikuwa inaitwa "Mbowe Disco" kabla ya kuitwa "Bilicanas". Mimi sikwenda Bilicanas hata siku moja, lakini nilikuwa nakwenda sana Mbowe Disco. Sasa huyu jamaa kanitumia msg kuniuliza...
9 Reactions
41 Replies
3K Views
Habari za humu Jumba la Melo! Ninatarajia kupata mgeni kesho Ijumaa hii akitokea kusini kwa kina Miso Misondo. Mgeni wangu amehitaji hotel au lodge nzuri maeneo ya Ukonga, Gongo la Mboto au...
0 Reactions
19 Replies
3K Views
Kisa cha Adam. Utangulizi 1 🧠 "Mbu" kama ufunguo wa Maarifa Aya ya Qur'an ya Q2:26 haimtaji tu mbu kama kiumbe, bali inaunda mfano wa kipekee: kitu kidogo kinachoangaliwa na walioamini kama...
3 Reactions
6 Replies
647 Views
Majeshi majeshi! VAENI SILAHA ZOTE ZA IMANI KUPIGANA NA YULE MUOVU! Elewa neno SILAHA ZOTE (MASHINE mpya yesu na analogi za maombi ya sadaka na karamu za zamani katika agano la kale hatuwezi...
4 Reactions
22 Replies
831 Views
Wakuu Sheria yetu inasemaje kuhusu mtu kujitengenezea hombwa ya kunywa home? Nchi kama US nyumba inaruhusiwa kutengeneza hadi lita 1000 kwa mwaka. Hapa Tz muongozo ukoje? Na vipi mtu akifungua baa...
1 Reactions
5 Replies
442 Views
Vatikan huweka kemikali ya inayotoa moshi mweupe au mweusi wakati wa kuchoma karatasi za kura katika uchaguzi wa Papa mpya. Mfano: MOSHI MWEUSI (ishara kwamba hakuna Papa mpya amechaguliwa bado)...
4 Reactions
53 Replies
4K Views
Mimi mtaani kwangu jina langu maarufu ni Big,wengine wanapenda kuniita Natorius. Wewe je?
7 Reactions
94 Replies
3K Views
Hivi wanaCCM mna akili timamu kweli, CCM nzima mmekua akili kisoda namna hii? Hii ndo CCM ile ile ilosimama kidete kuleta ukombozi SADC au naota?Hiyo ndo ile TANU na ASP kweli?? What a...
1 Reactions
3 Replies
383 Views
Chumba changu cha kwanza kupanga hapa DSM kilikuwa kipo vibaya ila kutokana na hali ikabidi nikizoee licha ya uchakavu wa chumba changu ili kuna baadhi ya vyumba mitaani vilikuwa too much...
6 Reactions
18 Replies
1K Views
Muhammad ndiye muanzilishi wa dini ya Uislamu, jamaa ameharibu watu kwa dini na kitabu cha kutunga kwa kuiba kutoka vyanzo hasa vya wayahudi na wakristo waasi ,Quran ni mkusanyiko wa vitabu vya...
14 Reactions
206 Replies
8K Views
Habari wakuu. Naomba kufahamishwa majina na maelekezo ya lodge nzuri ya gharama ya wastani maeneo ya karibu na Airport ya Dar. Nitakua na safari ya usiku wa manane hivi karibuni na nafikiria...
0 Reactions
51 Replies
9K Views
Wanaigeria watatu wakamatwa nchini Algeria wakijaribu kupanda ndege kuelekea Dubai kusafirisha madawa ya kulevya waliomeza tumboni mwao huku wamevalia kama na kupakwa rangi ya muonekano wa...
6 Reactions
7 Replies
566 Views
My Take Hii sheria tupambae ije na Tanzania maana wanawake wamegeuza kuwa mtaji wa kupata Mali kihuni. https://www.instagram.com/p/DL6X1RGR67e/?igsh=cmlmNHlqZHEzYXF2
1 Reactions
9 Replies
350 Views
1.Oooh Mimi siezi eka kikojoleo Cha mume wangu kwa mdomo,,my furendi nje huko wanamumunya hicho kikojoleo mpaka mumeo asikia ganzi kwa uume,,yaaani roho bariidiii kama Ambae ameekwa donge la...
9 Reactions
36 Replies
2K Views
Katika moja ya hesabu ambazo zinatumika sana kwenye physics basi differential equation ni moja wapo na zimesashatumika maeneo yafuatayo;- Newton alitumia differential equation Schrodinger...
12 Reactions
68 Replies
2K Views
Kama mungu ameahidi kuwa hurumia na kuwapa pepo wagonjwa wa Tauni apa duniani, aangalie kwa jicho la pili awa ndugu zetu waliozaliwa na kilema cha kuongea au kusikia au kuona maana wanapata shida...
3 Reactions
3 Replies
276 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…