Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Ndio hivyo tena mwanaume utajitetea na kujipigania mwenyewe. Mara moja ilikuwa ni jambo lisilo la kawaida, wanawake kufanya kazi kama wahudumu wa mabasi ya masafa marefu nchini Tanzania, lakini...
3 Reactions
24 Replies
904 Views
Nikiwa Rais wa Tanzania kutakua na mpango wa kuzalisha dawa hapa Tanzania, je wajua njia za kutengeneza dawa??? Zifuatazo ni njia za kutengeneza dawa Kama nchi tutategeneze library kubwa...
2 Reactions
22 Replies
1K Views
Shalom wapendwa, Hizi salamu za wasukuma nimeamua kuzifyekelea mbali baada ya kuokoka, kila siku nina enjoy na salamu mpya ambayo ni SHALOM ikiwa na maana ya AMANI IWE KWENU/KWAKO naipenda sana...
18 Reactions
207 Replies
24K Views
Kule marekani huwa wanaitwa donors, mtu anajiandikisha kwenye orodha maalum ambapo anatoa ridhaa yake mwenyewe kwamba pindi atakapofariki basi immediately viungo vya mwili wake kama ini, moyo...
3 Reactions
55 Replies
8K Views
Je, mdau unadhani wako sahihi kuomba radhi kwa jambo la mteja? The Cask Bar and Grill wameomba radhi baada ya kuona video ya wateja wao wakiwa wametumia banner ya the Cask kuweka ujumbe...
8 Reactions
50 Replies
8K Views
Wenye uelewa watujuze hii kitu,inafanywaje?,mazingira gani mazuri kwa biashara hii?, vyumba vya aina hufaa kwa biashara hii?je banda zuri la manyasi linafaa kwa biashara hii?vibali vyake...
3 Reactions
13 Replies
902 Views
Njoo na hoja yenye mashiko. Majina yao ni Simon Peter, Andrew, James (son of Zebedee), John, Philip, Bartholomew, Thomas, Matthew, James (son of Alphaeus)...
0 Reactions
5 Replies
260 Views
Katika kuwaza katika harakati zangu za mambo ya kijasusi na maswala ya upelelezi kuna jambo limenitafakarisha kidogo. Hivi hizi idara za usalama za nchi za kiafrika huwa zina utaratibu au...
14 Reactions
91 Replies
3K Views
Jeshi la Polisi Mkoa wa Ruvuma linamshikilia Wende Luchagula, Miaka 30, Kabila Msukuma, Mkazi wa Kijiji cha Milonji kwa kosa la mauaji baada ya kuwa chinja watoto wa mke mwenzake watatu mpaka...
1 Reactions
6 Replies
913 Views
Abiria waliokuwa kwenye ndege ya Shirika la Ndege la American airlines katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Denver Jumamosi alasiri walishushwa kwa dharura baada ya moto kuzuka kwenye mifumo ya...
0 Reactions
0 Replies
234 Views
Wakuu, hivi ushawahi kufika sehemu ukamkuta kichaa anampigisha story mwenye akili timamu? Yaan kichaa kavaa smart kabisa kitanashati mwingine unakuta kapendeza mavazi ya urembo ila sio mzima ni...
4 Reactions
61 Replies
2K Views
Uzinzi siyo tu dhambi ya mwili, bali ni silaha kali ya adui inayotumika kuvunja, kuiba, na kuharibu kibali ambacho mtu amepokea kutoka kwa Mungu. Katika ulimwengu wa roho, kuna vitu ambavyo si...
16 Reactions
29 Replies
1K Views
Yaani Jiji la Mbeya kuna mambo ambayo siyo mazuri na tukikaa kimya yataendelea, mojawapo ni hili suala ninaloenda kulizungumza leo. Hivi LATRA Mbeya mmeshindwa kabisa kutatua hii kero ya Daladala...
1 Reactions
16 Replies
1K Views
Huu urembo wa wanawake kujiumua lips ni kwa wazungu tu au Waafrika pia?
7 Reactions
47 Replies
2K Views
Chama Cha Mapinduzi (CCM) leo kinaketi mjini Dodoma kwa ajili ya kuchuja majina ya wanachama wake walioomba kukiwakilisha chama hicho katika nafasi za ubunge na uwakilishi, kwenye uchaguzi mkuu wa...
0 Reactions
1 Replies
367 Views
Ndugu wanajamii, Naomba nitoe kilio cha wazi kabisa kuhusu hali ya barabara ya kutoka Mbauda (Arusha) hadi Kongwa (Dodoma) kupitia Komolo – Terrat – Naberera – Orkesumet – Kiteto. (Jina rasmi...
2 Reactions
19 Replies
706 Views
Wadau, Nilifanya muamala Jtatu kwa NMB mkononi, wakakata hela zao za huduma kisha mimi wakaniandikia Transaction inprogress. Niliwapigia simu mara kadhaa, niliwaandikia email lakini hakuna...
1 Reactions
8 Replies
578 Views
Huu ni upumbavu na kudhalilisha jina la Yesu. Yesu ni mmoja na jina lake likitajwa mara MOJA linatosha. Upuuzi huu mnaoufanya redioni ni kumdhalilisha Yesu. Kwa jina la Yesu....bla bla bla ×100...
3 Reactions
32 Replies
1K Views
Amani iwenanyi ndugu wapendwa siku ya leo nimependelea kushiriki nanyi jambo hili ili kuondosha baadhi ya makosa ilitujuwe usahihi wa jambo kwa uhakika na sifungi mlango wa majadiliano. Kwanza...
3 Reactions
41 Replies
1K Views
Leo naomba nije na hili battle katika ya Zanzibar na Tanganyika ama kama mnavoojita Tanzania ya sasa. Hapa tunajadili maendele, hali ya siasa, kiuchumi kiutamaduni, maadili, michezo, viongozi bora...
0 Reactions
3 Replies
272 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…