Dar Kuna nini?
Mtu anakuwa ndugu, rafiki au jamaa mzuri ila akifika Dar akajua kiswahili anakuwa fisi na tapeli.
Yaani anaumiza kichwa anatunga story amtumie elfu 50 halafu anazima simรผ...
Habarini wakuu.
Hivi kuna uwezekano ukawa bado mwanafunzi wa chuo halafu hapo hapo ukawa kiongozi wa kisiasa mathalan diwani wa kata?
Na je ukafanikisha kuwa na hiyo nafasi, kuna uwezekano...
Wanasayansi Toka Uingereza wameleta Teknolojia ya kipekee kwa kuweza kuunda Roboti mwenye umbile la Samaki anayekula vitu vyote vya plastiki vilivyopo baharini.
Samaki huyo anakula micro plastic...
Kama umetembelea nchi za Western kwa mara ya kwanza umeshuka uwanja wa ndege kuna beauty flani amazing ambayo ndo mara ya kwanza unaiona na hata kupitia tu picha utaona kabisa wao wana-beauty...
Dunia hii ina watu wengi waliojaa machozi usoni, huzuni moyoni, na kukosa matumaini. Lakini kwa wale wanaomwamini Yesu Kristo, kuna ahadi yenye thamani kuu: "Heri ninyi mliao sasa, kwa sababu...
Mkaguzi Msaidizi wa Idara ya Uhamiaji Mkoa wa Iringa, Richard Nzagi anajibu swali kuwa โEndapo Mtanzania atapata ujauzito na raia wa kigeni, iwe ni mtalii au ameingia nchini kwa njia nyingine...
Kampuni ya Mabasi ya Mwendokasi (UDART) imeeleza sababu ya kuchelewa kwa mwezi mmoja kwa mabasi 99 yaliyokuwa yawasili Agosti 2025 kuwa ni mchakato wa ununuzi.
Mei 2025, UDART ilipokea basi moja...
Uranium ni elementi ya kemikali yenye alama ya kikemia U na namba atomia 92 katika jedwali la elementi. Ni metali tekevu yenye rangi ya kijivu-nyeupe na ina uwezo wa kuwa na mionzi ya sumaku...
Katika kinyanganyiro cha kuwania ubunge baadhi ya watu mashuhuri na maarufu wametolewa kwenye mchujo wa ubunge mwaka 2025 kwa tiketi ya chama cha CCM huku wengine ambao wamekuwa wakihudumu kama...
Ukiwa kwenye msoto mkali toweka kwa miaka miwili na fanya yafuatayo
1. Miliki kompyuta mpakato.
2. Jifunze ujuzi - copywriting, content creation, programming na video editing.
Kuwa bora...
Wanajumuia .
Salamu kwenuu
Leo nimetafakari sanaa.
Lkn mwisho wa siku nikagundua UCHAGUZI WA MWAKA HUU HAUNA MVUTOO KABISAAA .
NAONA TUME INAFANYA TUU ILIKUFATA UTARATIBU NA MAELEKEZOO.
HUKO...
Kwa sasa TBC 1 wana kipindi chao kinaitwa bango ambacho hutumika kuonyesha picha za marehemu kwa chagizo la onyesha upendo wako kwa kuutangazia ulimwengu picha ya marehemu aliyefariki mwaka 1950...
Kuna watu Wana bahati sana wamejipata mfano NI Yule msanuaji wa clouds anafanya drip check kuwauliza wasanii bei ya nguo walizovaa..kwangu me naona jamaa ana kazi nzuri kwani haiboi yaani kila...
We are going to lose the rights of mountaineers and the entire tourism industry in general.
We are the Mountain Workers Advocacy Union (MWAU) โ a powerful collective voice for porters, guides...
Maskini pombe, haina mdomo wakumsema mtu vibaya, haina miguu kusema itamfata mtu nyumbani kwake, yenyewe imejitulizia ndani ya kifungashio chake kimya.... lkn kutwa kuchwa ipo midomoni mwa watu...
Kwa mujibu wa BOT Asilimia kubwa ya wanaokopa mikopo binafsi bila shaka ni Watumishi wa Umma.
Na hapa huwezi walaumu Kwa sababu hawana mda wa kusimamia shughuli za Uzalishaji Mali ilhali mda...